instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Who are you?Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.
My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Stop acting like a stupid person.Who are you
Hiyo njia ya hekima na busara unayosema uvccm waitumie, Mchengerwa aliitumia?Stop acting like a stupid person.
Ni nini maoni yako kuhusu mtekaji kuteliwa kuwa Katibu mkuu wa hilo kundi lenu la uvccm?UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari
Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.
My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Stop acting like a stupid person.
Mtajijua wenyewe na FUTUHI zenu.Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.
My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Utekaji upo chademaNi nini maoni yako kuhusu mtekaji kuteliwa kuwa Katibu mkuu wa hilo kundi lenu la uvccm?
View: https://youtube.com/shorts/YVlVlCwRtv0?si=_9QnL84Gs0E8VNV_
View attachment 3694034
Jaribuni muone ... panyaroad mtanyooshwa kisawasawaMtajijua wenyewe na FUTUHI zenu.
#OCT 29 tunatoka ,Kataa WAHUNI ,Justice for Polepole ,Mdude ,Soka.
Nidhamu kidogo sana. Yafaa wabadilikeUvccm walimdhihaki nchibi mchana kweupe Leo hii inawauma.kile kitoto Cha uvccm ni Cha kumdhiki nchibi kisa kafukuzwa umakamo .
Pumbavu kabisa
Leo hii sindano imewaingia
Matusi ya nn sasaMataqo yenu wote, hao ma uvccm na ww chawa!
Wacha kurukaruka kama maharagwe yanayochemka jikoni, tulia.Utekaji upo chadema
Bado tunasubiri Nchengerwa achokonolewe tena atoboe siri nyingine kwamba ndio wanaowateka watu na kujifanya watu wasiojulikana kumbe wanajulikana mbali na rushwa hawa ndio wanaoongoza kwa kuteka watu, oya sijui watamfanyaje mimi naangalia kwa kutumia darubin yangu huku mbaliUkweli unauma sana ujue, sasa UVCCM wameambiwa ukweli
UVCCM hakuna rushwa nadhani hawakumuelewa Mh.Hebu tueleze rushwa inafanyikaje huko UVCCM kiasi kwamba waanze kuparuana nchi nzima nahitaji kueleweshwa