instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
-
- #21
Wanaoteka watu ni chademaBado tunasubiri Nchengerwa achokonolewe tena atoboe siri nyingine kwamba ndio wanaowateka watu na kujifanya watu wasiojulikana kumbe wanajulikana mbali na rushwa hawa ndio wanaoongoza kwa kuteka watu, oya sijui watamfanyaje mimi naangalia kwa kutumia darubin yangu huku mbali
Leta huo uzi wa mchengerwa tupime hoja zake maana humu si kila mtu ni ccmUVCCM hakuna rushwa nadhani hawakumuelewa Mh.
Conflict of interest !Who are you?
Mkuu unasahau kuwa msingi wa mgogoro huu ni RUSHWA KUBWA KUBWA.Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.
My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Na wengine humu hawana chama chochote bali wao wapo kwa maslahi ya Nchi tu !Leta huo uzi wa mchengerwa tupime hoja zake maana humu si kila mtu ni ccm
Ishu za rushwa ni propaganda za kuchafuana tu kakaMkuu unasahau kuwa msingi wa mgogoro huu ni RUSHWA KUBWA KUBWA.
Vijana wa UVCCM wanaona kile kinachofanyika katika sera ya UREFU WA KAMBA!
Sasa nao wakishiriki sera hii mnabwabwaja nini.
Kwai yeye yule anayelalama juu ya rushwa , yeye msafi kiasi gani?
Ni propaganda tu za kuchafuana CCM hakuna rushwaUV CCM nao ni chadema? Maana instinct kila anayepinga ni chadema. CCM imejaa rushwa mpaka wewe mwenyewe na threads zako mnanuka rushwa. Wewe ndo faiza fox, ovyo sana, hahaha
Mimi CCM na ni kada.Ishu za rushwa ni propaganda za kuchafuana tu kaka
Hakuna kitu kama hicho. CCM hakuna Rushwa, Kuna ufuatiliaji mkubwa sana wa mienendo ya viongozi na wafuasi wa CCM juu ya upokeaji na utoaji wa rushwaMimi CCM na ni kada.
Mkianza kuwaumbua vijana na UVCCM, tutaleta picha za miradi ya hao wanolalama, huku wao wanakula rushwa hadi wanajitapikia.
RUSHWA ZIMEJAA HUKO KWA WENZETU CHADEMAKama kawaida masisiemu na vizazi vyao kwao rushwa sio tatizo, issue ni kutajana hadharani wakishadhulumiana, hapa kukosoana ni kwa nini mchengerwa kasema wazi badala ya chumbani kwao?
Kwamba rushwa ni shida? Hapana, kila ntu anakula kwa urefu wa kamba yake, so mkwe kaona uvisisiemu wanakula kuzidi kamba zao baada ya kupewa bili kubwa kuliko alivyozeoa.
Hajui uvisisiemu ge zee wana mambo mengi kuliko walivyokuwa wao
Boss, una matatizo na ukweli.Hakuna kitu kama hicho. CCM hakuna Rushwa, Kuna ufuatiliaji mkubwa sana wa mienendo ya viongozi na wafuasi wa CCM juu ya upokeaji na utoaji wa rushwa
RUSHWA ZIMEJAA HUKO KWA WENZETU CHADEMA
We jamaa bana๐๐Hakuna kitu kama hicho. CCM hakuna Rushwa, Kuna ufuatiliaji mkubwa sana wa mienendo ya viongozi na wafuasi wa CCM juu ya upokeaji na utoaji wa rushwa
Fuatilia Press za ikulu utajua Kila jambo linalowanywa na ikuluBoss, una matatizo na ukweli.
Tuanzie shina la rushwa.
Kama mwana CCM tuambie Chivayo alikuwa anafanya nini Ikulu.
Sasa kama makada wanaona yanayofanyika, wao watafanya kama vipi.
Jibu hayo kwanza kabla hatujarudi UVCCM.
Ni ukosefu wa nidhamu wa UVCCMWe jamaa bana๐๐
Basi tuambie wewe mchengerwa na hao Uvccm shida ni nini?
Huyu https://www.jamiiforums.com/members/instinct-desire.829153/ akiweza kujibu hili, wallahi nampa jiji la Harare.Boss, una matatizo na ukweli.
Tuanzie shina la rushwa.
Kama mwana CCM tuambie Chivayo alikuwa anafanya nini Ikulu.
Sasa kama makada wanaona yanayofanyika, wao watafanya kama vipi.
Jibu hayo kwanza kabla hatujarudi UVCCM.
Chadema ni Chama pekee kinachoendeshwa kwa rushwa.Chadema wana pesa gani hadi wapeane rushwa na ili iweje? Hazina imeshikiliwa na wala rushwa waliobobea hadi wamefikia kuhonga na wamarekani wamuunganishe mama na Trump asafishike
Rushwa ilihalalishwa na kina chenge na Jekee ikiitwa takrima na jiwe kuuita pesa ya kubrashia viatu na mama yao akakomeleoa kwamba kila ntu alambe anapoweza, so uvisisiemu hawana kosa wanaenda na baba zao, mchengerwa analialia kapigwa bili kubwa
Mchengerwa ndiye aliyeanzisha. Akiwa kama Waziri wa Afya na Mbunge wa Rufiji, alisema hadharani kuwa rushwa imekithiri ndani ya UVCCM - viongozi na baadhi ya vijana hawafanyi kazi bila kuhongwa.Ni ukosefu wa nidhamu wa UVCCM