UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

1:RUSHWA NI ADUI WA HAKI. 2:RUSHWA NI CHANZO CHA MIGOGORO YA NDANI YA CHAMA. 3:RUSHWA NI CHANZO CHA UVUNJIFU WA AMANI. 4:RUSHWA NI CHANZO CHA UVUNJIFU WA HAKI. 5:RUSHWA NI CHANZO CHA KUKWAMISHA UWAJIBIKAJI. N.K UVCCM na MCHENGERWA(CCM) wacha wapuruane. hata CCM yenyewe ipo mwishoni kujifia kwahiyo, hapo ni CHUKUA CHAKO MAPEMA..Mwigulu alianza kukifufua chama lakini matokeo yake hayaonekani..Huyu wa sasa ameanza kwa kasi lakini sijui kama ataweza...CCM mnajimaliza wenyewe kwa kutosikiliza wananchi wanataka nini na nini muwatimizie bila ubaguzi wa kikanda,kidini, kisiasa na n.k..
 
Unaukataa ukweli kamanda
Usijishaue, nikukumbushe ahadi za mwana CCM, sisi kama tulivyofundishwa na kuapa.

AHADI 10 ZA MWANA CCM
1. Binadamu wote ni ndugu zangu na
Afrika ni moja.
2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake
wote
3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa
umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
4. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala
kutoa rushwa.
5. Cheo ni dhamana. Sitakitumia cheo
changu wala cha mtu mwingine kwa faida
yangu.

6. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo
wangu na kutumia elimu yangu kwa faida
ya wote.
7. Nitashirikiana na wenzangu wote
kuijenga nchi yetu.
8. Nitasema kweli daima, fitina kwangu
mwiko.
9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa
CCM na raia mwema wa Tanzania na
Afrika.
10. Nitakuwa mtiifu na mwaminifu kwa
Rais wa Serikali ya Tanzania
 
WhO cares!?
Stupid boy
 
Sijajua ni kwanini hili jambo limekuzwa sana mitandaoni. Waziri aliongea kutokana na taarifa alizonazo hivyo alitoa tahadhari, ni vizuri sana kwa kuwa kiongozi kaamua kukemia rushwa hadharani. Huwezi ukakemea rushwa gizani, rushwa ikemewe wazi wazi kama hao uvccm hawana hivo vitendo hakuna haja ya kuwa wakali wapokee maneno ya waziri na kuyafanyia kazi positively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…