UVCCM wagonjwa hawahitaji picha ya Rais, acheni hizi propaganda

Dah!
Nimecheka sana aisee hii nchi kuna watu wajinga kujipendekeza sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza tu ingekuwa mie nimelazwa wodini mnakuja na hilo picha naamka nawazaba vibao na hilo picha napasua[emoji849]
Badala ya kumpelekea mgonjwa matunda, juice au hata maji ya buku mnaleta picha kweli?!
 
Jana nilikuwa naongea na jirani zangu wana ccm wa kutegemewa na chama chao.

Lkn kwa sasa wanasema kabisa kuwa wapo tayari kukipigia kura chama cha upinzani kuliko kuipigia ccm kura kisa Hangaya.
Kwani haupigi mwingi tena kama mlivyokuwa mnamshabikia?
 
Hapa ni kufirisika kwa fikra kwa kiwango cha kimataifa.
Huwezi kudhani ujinga huu unafanyika ndani ya Nchi yenye umri wa MIAKA 60 tangu kupata kwake uhuru.
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu.
 
Hapa ni kufirisika kwa fikra kwa kiwango cha kimataifa.
Huwezi kudhani ujinga huu unafanyika ndani ya Nchi yenye umri wa MIAKA 60 tangu kupata kwake uhuru.
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu.
CCM ndiyo wanalidhalilisha hili taifa kwa kuendelea kuwafanya vijana kupitia uvccm kuwa mazezeta
 
Hahahaha biskuti moja na picha hahahahaha yote kuonesha wanamuunga mkono raisi Ili wapate teuzi
 
Hawa ni usalama wa taifa tupu
 
Jana nilikuwa naongea na jirani zangu wana ccm wa kutegemewa na chama chao.

Lkn kwa sasa wanasema kabisa kuwa wapo tayari kukipigia kura chama cha upinzani kuliko kuipigia ccm kura kisa Hangaya.
Ni hali ya hatari sn
 
Naona kama kampeni ya kitanda kwa kitanda vile.
 
Mambo megine tusifanyie siasa jmn, chichiem acheni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…