UVCCM wagonjwa hawahitaji picha ya Rais, acheni hizi propaganda

Lwahiyo wewe uvccm umebakia na akili za kujikomba hadi unatembea na picha ya mwenyekiti wako hadi mahospitalini na kwa waganga wa kienyeji?
 
Vijana tufanye kazi tuache kujipendekeza kwa viongozi wa nchi.

Tujipendekeze kwa Mungu zaidi maana yeye ndiye anayetoa hayo mamlaka kwa hao tunaopambana kujipendekeza kwao.
Pumbavu kabisa we mbona ulimlamba jiwe matako
 
Battle for the soul of CCM. Hii ni vita ya “kiroho”.

Naona lile tishio la “serikali ya mpito “ lilimstua na kumzindua mama kikamilifu akaamua kujiweka kwenye “full campaign mode” hadi 2025. Sasa ni mwendo wa “kubandua” picha ya legasi na kubandika yake vichwani mwa Watanzania wanaoghilibika kirahisi na taswira, mbwembwe na propaganda endelevu.
 
Kwa kwel,yule pimbi aendelee kupigwa moto huko jehanamu maana katuachia mambo ya hovyo sana,watu wanajipendekeza kupita kiasi

Kuna fala mmoja mwenyekit wa ccm sjui mkoa gani ambae video yake ilisambaa akiwa kwenye madarasa mapya akimtukana Ndugai huyo nae hatofautian na hz mana
 
Lwahiyo wewe uvccm umebakia na akili za kujikomba hadi unatembea na picha ya mwenyekiti wako hadi mahospitalini na kwa waganga wa kienyeji?
Umenichekesha Sana, kumbe ni huyu?
 
Iwe Wana mapenzi mema ama tofauti bado kitendo wanchofanya ni Cha hovyo Sana na Cha kutia aibu
 
Hahahah aisee hadi aibu naona mimi hahahah aisee hawa sio wazima kabisa vichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…