Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Acha uzwazwaHayo mambo yalianza na jiwe 2016
UvCcM ya akina Nchimbi ilikuwa makini.Wote waliokuwa vimbelembele kuwashinikiza viongozi wa juu, hawakuishia vizuri. Hakuna rais atakayekubali kushinikizwa na armatures kama UVCCM. Mtu amepita kote huko, mpaka mekuwa Rais wa nchi, zaidi anafanya mambo makubwa mno ya kila namna yasiyokuwa na mfano kwenye chombo chochote nchini, ndiye mnawaza afundishwe kazi na vijumuiya vya watoto kama UVCCM?
Endeleeni na hizo ndoto.
Kuna kitu Mama anacheza nacho lakini kitamgharimu yeye binafsi. Watu wengi wanamwona January kama tatizo kwenye serikali hii, lakini Bro nakwambia bora abaki January lakini Mwigulu ni Kirusi.Kumwambia afanye hivyo ni sawa na kumshauri mtu angoe jicho lake.
Yaani ni kitu kisichowezekana.
Ni zama hizo, ambapo vijana walichukuliwa kwa wingi wakapelekwa huko kwenye elimu, wakajifunza, wakaelewa, wakaja na mawazo mapya.UvCcM ya akina Nchimbi ilikuwa makini.
Ujinga uko huko kwenu Machadomo na wapumbavu wengine..UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Umesema ingekuwa na uwezo,haina sasa wanamipaka yao ya kusema levo nyingine wanatazama kwa tochi tu.UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Kuna mambo mengi sana mfano Fao la kujitoa kwani wao wamebaki na hulka ya kusifiasofia tu basi.UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Chuki zako tu kwa Makamba, na hiyo umeonesha tangu siku ya kwanza tu alipoteuliwa. Maumivu yako ni kwa Kalemani kutolewa hapo, huna jingine la maana.UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Acha utotoChuki zako tu kwa Makamba, na hiyo umeonesha tangu siku ya kwanza tu alipoteuliwa. Maumivu yako ni kwa Kalemani kutolewa hapo, huna jingine la maana.
Ulisomea wapi fani ya wivu na uchonganishaji?UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.