Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.
Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.
Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.