UVCCM wangekuwa wanajali maslahi ya wananchi wangemshinikiza Rais Samia amfute kazi January Makamba na Mwigulu Nchemba

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.

Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.

Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
 
Ajira ngumu kwa wengi kwa hiyo wanaona bora watulie inawezatokea upenyo kwenye halmashauri huko Lamadi yeye akateuliwa.
 
Hayo mambo yalianza na jiwe 2016
 
Kumwambia afanye hivyo ni sawa na kumshauri mtu angoe jicho lake.

Yaani ni kitu kisichowezekana.
 
Wote waliokuwa vimbelembele kuwashinikiza viongozi wa juu, hawakuishia vizuri. Hakuna rais atakayekubali kushinikizwa na armatures kama UVCCM.

Mtu amepita kote huko, mpaka mekuwa Rais wa nchi, zaidi anafanya mambo makubwa mno ya kila namna yasiyokuwa na mfano kwenye chombo chochote nchini, ndiye mnawaza afundishwe kazi na vijumuiya vya watoto kama UVCCM?

Mawazo ya kuwa UVCCM ni think tank ya CCM ilikuwa zamani sana. Siku hizi think tank ya CCM ni wastaafu waliopitia nafasi mbalimbali kwenye chama.

Mnaowaona UVCCM wana akili yoyote ya kuleta tija serikalini mnakosea sana. Itendeni haki UVCCM.

UVCCM wanapaswa wapiganie mambo kama.ushindani sawa wa kidemokrasia ili nao wapate fursa ya kujifunza na kujadili siasa kwa uhuru bila kuogopa wakubwa.
 
Ukikipenda chombo kwa ajili ya maslahi yako hakika, utakuwepo kwenye hiko chombo kwa maslahi yako wala si kwa maslahi ya umma.
 
Wote waliokuwa vimbelembele kuwashinikiza viongozi wa juu, hawakuishia vizuri. Hakuna rais atakayekubali kushinikizwa na armatures kama UVCCM. Mtu amepita kote huko, mpaka mekuwa Rais wa nchi, zaidi anafanya mambo makubwa mno ya kila namna yasiyokuwa na mfano kwenye chombo chochote nchini, ndiye mnawaza afundishwe kazi na vijumuiya vya watoto kama UVCCM?

Endeleeni na hizo ndoto.
UvCcM ya akina Nchimbi ilikuwa makini.
 
Kumwambia afanye hivyo ni sawa na kumshauri mtu angoe jicho lake.

Yaani ni kitu kisichowezekana.
Kuna kitu Mama anacheza nacho lakini kitamgharimu yeye binafsi. Watu wengi wanamwona January kama tatizo kwenye serikali hii, lakini Bro nakwambia bora abaki January lakini Mwigulu ni Kirusi.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
UvCcM ya akina Nchimbi ilikuwa makini.
Ni zama hizo, ambapo vijana walichukuliwa kwa wingi wakapelekwa huko kwenye elimu, wakajifunza, wakaelewa, wakaja na mawazo mapya.

Hii ya sasa ni muunganiko wa vikundi vya wahuni, wanaogombania fursa ya kuwa chawa, na ni chawa yupi ana kidomdomo sana katika kuwasifu na kuwaabudu wakuu.
 
Uviccm imejaa vijana wenye njaa kali na ufinyu wa kufikiri..wamejificha huku kusubiri fursa na teuzi mbalimbali ndani ya chama na serikali..wengi ni wanafiki balaa..wanatumika sana...kiufupi ni wale wanasiasa malaya ndio hao sasa...waoga sana.

Hawana walijualo zaidi ya kusifu na kuabudu..kila kitu akisema kiongozi wa chama ni ndio..hata wakiambiwa walale chini wachapwe bakora watalala bila kuhoji..kiufupi uvccm ni bendera fuata upepo...mazuzu.

Absurd

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ambavyo jiwe hakumfukuza bashite
Kama jiwe alivyomlinda mhalifu sabaya na mnueti..
Hangaya alishasema yeye na jiwe ni kitu kimoja
Vumilieni tu
 
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.

Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.

Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Ujinga uko huko kwenu Machadomo na wapumbavu wengine..

Kwani Makamba kawafanya nini? Una hakika tukikuteua wewe au yeyote unaemtaka ndio matatizo ya Tanesco yataisha? Muwe mnatumia akili nyie kenge.

Pili Mwigulu kafanyaje? Tozo ni za serikali wala hazihusiani na Mwigulu ndio maana zinapita Baraza la Mawaziri na Bungeni.

Mwisho hakuna popote ambapo tozo zimesababisha unachoita mfumuko wa bei bali sababu ziko wazi na wewe unazijua ila chuki zako binafsi ndio zinakusumbua..

Mwisho inflation iko kwenye target ya serikali ya Kati ya 3-5% ila kama unaona Tzn kuna Hali mbaya hamia Nchi yoyote ambayo hakuna mfumuko wa bei.

Screenshot_20220406-182339.png
 
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.

Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.

Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Umesema ingekuwa na uwezo,haina sasa wanamipaka yao ya kusema levo nyingine wanatazama kwa tochi tu.
 
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.

Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.

Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Kuna mambo mengi sana mfano Fao la kujitoa kwani wao wamebaki na hulka ya kusifiasofia tu basi.
Badala sifiasifia chunguzeni changamoto mbalimbali zifanyieni ktk jamii zifanyieni kazi na kuja na majibu kwani yanawezekana
 
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.

Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.

Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Chuki zako tu kwa Makamba, na hiyo umeonesha tangu siku ya kwanza tu alipoteuliwa. Maumivu yako ni kwa Kalemani kutolewa hapo, huna jingine la maana.
 
UvCCM ya sasa imebaki kuendekeza njaa tu na kusifia viongozi ili kujaza matumbo yao.

Miaka ya nyuma UvCcM walikuwa mstari wa mbele kukosoa serikali pale inapoonekana inasahau majukumu yake na kusababishia wananchi kero za kimaisha.

Leo hii mfumuko wa bei upo juu, tozo kibao za kila namna huku nishati ya mafuta na umeme ni tatizo lakini UvccM wapo kimya wanachowaza ni kupambana na vijana wa Chadema tu. Ama kwa hakika UvccM ya sasa ni hopelessness kabisa.
Ulisomea wapi fani ya wivu na uchonganishaji?
 
Back
Top Bottom