UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

Waliouliwa na kuumizwa kuharibiwa mali zao waanze kwanza kuwapmba radhi hadharani vinginevyo sisi tupo ma mama tu wao waendelee na mikakati yao ovu.
 
Waliouliwa na kuumizwa kuharibiwa mali zao waanze kwanza kuwapmba radhi hadharani vinginevyo sisi tupo ma mama tu wao waendelee na mikakati yao ovu.
 
Huyu ndio aliyesema safari hii (uchaguzi mkuu 2020) kwamba hawatatumia nguvu nyingi (Kwa Tundu?) ni SINDANO TU ( ya sumu) psiiiiiiiiii!!

Atavuna alichokipanda!
 
Ulipokuwa ukiwatenda wenzio vibaya, haukujua madhara yake? Tumeumia vibaya sana na wengine mliwapoteza! Je, Uko tayari kuwarudisha?
 
Mjomba alimuandaa ili awe kiongozi wa baadae. Mjomba hakuwa na historia na chama ila alimuandalia mpwa historia .
 
Ulipokuwa ukiwatenda wenzio vibaya, haukujua madhara yake? Tumeumia vibaya sana na wengine mliwapoteza! Je, Uko tayari kuwarudisha?
Waende jela wakae miaka kusubiria ushahidi kukamilika kama walivyowatendea wenzao
 

Kama kweli anamaanisha basi option nyepesi kwake ilikuwa ni kujiuzulu ili amtengenezee mama mazingira mazuri ya kazi yasiyo na makunyanzi. Anasema β€˜inawezekana’ hekaheka zao zilipelekea umoja wa vijana kutetereka. Inaonekana hana uhakika au ni mnafiki. Ukweli ni kuwa kauli na β€˜maagizo’ yake yamepelekea si mpasuko tu baina ya vijana, bali yameacha wengi kuwa wahanga. Huo msamaha anaouomba uendane na uwajibikaji. Vipi kuhusu walioumizwa wanafidikaje na huo msamaha ambao ni kama ameshajisamehe (kwa maneno yake mepesimepesi... eti hatuoni aibu kuomba radhi). Kirahisirahisi hivyo????[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Misamaha mingine huambatana na uwajibikaji na siyo maneno matupu!

Hata kwenye Biblia kuna watu ambao ili msamaha wao ukubaliwe ilibidi wakubali sharti la kwenda kufanya marejesho mara 4 ya kile walichodhurumu watu.

Je madhara ya makosa yao ni makubwa kiasi gani?

Mfano wengine kusababishiwa ulemavu wa kudumu, vifo, wategemezi, kupoteza haki ya kushinda uchaguzi huru wa kuchaguliwa na wanachi n.k.

Yatupasa kutafakari sana.
 
"Sasa hivi hatupigi risasi tunachoma sindano ya sumu " Hii kauli yake naijumbuka mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…