Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na zile traffic lights zitasaidia ng'ombe wenu wasigongane na mbuziWasukuma tutaanika michembe yetu pale...
Bado wewe na walamba makalio wenzio wa humu mtandaoni hasshasa humu JFKila zama na kitabu chake bwashee!
Hapo bado David Kafulila aka tumbili anatunga mistari !
Wewe tayari?Bado wewe na walamba makalio wenzio wa humu mtandaoni hasshasa humu JF View attachment 1737614View attachment 1737615
Mjomba alimuandaa ili awe kiongozi wa baadae. Mjomba hakuwa na historia na chama ila alimuandalia mpwa historia .Huyu hakushinda nafasi hio ya uenyekiti alishinda kwa maagizo ya mjomba.Msamaha pekee ni ajiuzuru nafasi hio.Walijimilikisha chama toka cha wakulima na wafanyakazi ni kuwa mali binafsi ya familia.Mjomba mwenyekiti,mpwa mwenyekiti,maamuzi ni yao kununua wapinzani, kurejea chaguzi,kuvuruga chaguzi,nk.Ni Kati ya watu walioibip the hague.
Uzuri technology utunza historia
Walipora chama na kutugeuza mifugo yao.Mjomba alimuandaa ili awe kiongozi wa baadae. Mjomba hakuwa na historia na chama ila alimuandalia mpwa historia .
Waende jela wakae miaka kusubiria ushahidi kukamilika kama walivyowatendea wenzaoUlipokuwa ukiwatenda wenzio vibaya, haukujua madhara yake? Tumeumia vibaya sana na wengine mliwapoteza! Je, Uko tayari kuwarudisha?
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa umoja huyo Taifa, Kheri James wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma akibainisha kuwa huu ni wakati wa kusamehe ya nyuma na kufungua ukurasa mpya wenye mambo yatakayokuwa na tija kwa Taifa.
“Inawezekana katika siasa zetu na hekaheka za kutofautiana kimitazamo yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukatetereka, sisi kama umoja wa vijana hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kuyarekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa rais wetu kuanza upya akiwa na watu walioshikamana ili nchi yetu iweze kwenda mbele.”
“Vijana wa nchi hii ndio watakuwa wanufaika wa kwanza Serikali ikiwa imara na vijana wa nchi hii ndio watakaokuwa wahanga wakubwa nchi ikiwa dhaifu.”
“Kwa hiyo ninasisitiza vijana tunahakikisha maneno na matendo yetu yanafanana na dhamira ya rais wetu ili kumrahisishia kazi yake mpya aliyopewa ya kutuongoza kama mkuu wa nchi ili sisi tuwe ni nguzo ya umoja, mshikamano na maendeleo ya nchi yetu,” amesema James.
Kweli maisha yanaenda kasi sana, Kheri James leo anaongea maneno kama kanyeshewa na mvua.
Yaani hii ni fast, faster, fastest!!Time flies so damn fast.
Kaka sio kina roho ya uaji, ni muaaji number moko kawa vunja sana na kuua wengi tu, wakitumia police, ila malipo hapa hapa duniani.Hivi naskia huyu mdogo wake na Ditto James!!!
Kina roho ya uuaji hiki kijamaa
Fasterstostestic....(Kwa hisani ya mkalimani)😂😂Yaani hii ni fast, faster, fastest!!
Shikamoo Mkalimani wetuFasterstostestic....(Kwa hisani ya mkalimani)😂😂