UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

Jibu NDO lenyewe kabisa ilishapotea, huyo katambua kibri,majigambo mbele za mungu ni bule
Kitendo cha mwenyekti wa UVCCM taifa ndugu kheri James kujitokeza hadharani na kuomba msamaa ni kosa kubwa sana la kukidharirisha chama na apaswa kujiudhuru vinginevyo chama kimchukulie hatua.

Meki-undemine chama na kuwapa nguvu wapinzani .Sasa hivi imekuwa ajenda yao ya kuona CCM sasa hivi imepoteana.
 
Yani kama anaona kakosea asiombe msamaha?
 
Anatokeza mwanasiasa anajibaragaza kuongea na wanahabari eti mkuu wa nchi kasema kuna ukurasa mpya umeanza. Hivyo anaomba msamaha kwa maneno na matendo mabaya ambayo yaliuliza watu huko nyuma. Hivyo watu wasamehe na kusahau.

Hivi anadhani watu walioumizsa kwa kupoteza ndugu, uhai na kujeruhiwa sio binadamu?

Kama ni muungwana kwa nini asizungumzie habari ya mahakama? Walioumiza na kujeruhi, kuua na kuharibu maisha ya watu wapande kizimbani.
 
..Nategemea IGP Sirro amuelekeze Kheri James aripoti kituo cha Polisi ili achukuliwe maelezo.
 
si kwambia utegemee misamaha kwa makosa unayotenda mengine misamaha utaikuta kanisani ma mbinguni hapa duniani ni hukumu tu, rejea matamko yako ya kichonganishi kwa ajili ya kujipendekeza ndio uvunje haki za wengine, tupo duniani bana !tuache
 
Ana roho ya mauaji alieneza Sana chuki na utengani kwa mwavuli wa mjomba yake,ambae Mungu kaamua kulisaidia taifa kwa maana hakuwa na nia njema na taifa hili.
 
Sijui aisee, ila binafsi nilijiuliza chuma kilipata wapi ujasiri wa kufanya mikutano ya hadhara ilhali wimbi la pili lilikuwa limepamba moto.
Mungu alipotaka kumuangamiza farao alimfanya moyo wake kuwa mgumu kwanza !

Ili wakati wa kumuadhibu ukifika ajitwalie utukufu ! Kifo cha farao kilikua ni cha aibu
 
Back
Top Bottom