Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Kigogo huyu lazima atakuwa anacoonnection na membe. Naona anguko kubwa la utawala wa magufuli.
Yani utawala wa Magu uanguke sababu ya kigogo?

Aisee... Ukute haya mawazo yako hata Mbowe anayo kama hayahaya
 
maendeleo hayana chama
IMG_20200531_143543.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ngoja nisome tu.
Ukipitia makala za kigogo utagundua sio mtu mmoja ni Kama vile kataasisi Fulani,maana Kuna wakati anaandika, alipohojiwa na mwandishi wetu,mwisho wa kunukuu.utagundua sio mtu mmoja,l.
Ngastuka,wacha niwe msomaji.
mzee Punch alitisha enzi hizo UDSM , Leo yuko wapi?
 
Naomba niwashauri idara yetu nyeti ya TISS kuhusu jinsi mnavyomfuatilia Kigogo2014 ili kumweka mikononi mwenu kwa sababu ya kutoa siri nzito nzito za Serikali.

Niwaeleze ukweli kwamba, Kigogo2014 hamuwezi kumkamata hata iweje kwa sababu Kigogo siyo mtu mmoja bali ni syndicate kubwa ndani ya syndicate nzito na yenye nguvu kubwa.

Inasemekana zimetumika zaidi ya Bil 1.4 kumsaka Kigogo, mmeshindwa kubaini ukweli na badala yake mnazidi kupoteza pesa za umma kumsaka mtu ambaye hamuwezi kumpata.

Ujio wa Kigogo umesababishwa na uwepo wa utawala mbovu, unaominya haki za Binadamu Uhuru wa Habari, Demokrasia na uharibifu mkubwa wa uchumi.

Badala ya kujikita kwenye kuleta maendeleo, awamu ya Tano imetumia Pesa za umma kununua wapinzani na kuvuruga Demokrasia.

Ajira ya TISS imejikita zaidi kwa vijana wa UVCCM na siyo kwa intelligence experts, sasa watu Kama hao watawezaje kumpata mtu mwenye level ya Mossad na CIA?

Uongozi hauhitaji mabavu bali hekima, unapoamua kuwa mbabe na kwa sababu unawaongoza siyo mbuzi, ni watu wenye akili zao, tarajia kukutana na ma whistle-blowers wengi.

Na mwisho wa siku utashindwa tu, tatizo lenu mnatumika kisiasa sana, yaani mpo kwa ajili ya kuhakikisha CCM inatawala milele na siyo kwa ajili ya ustawi wa nchi.

Awamu hii hii ya Tano inayosifika kwa kukamata wakwepa kodi, kuna kampuni nyingi tu nazijua na nina ushahidi mkubwa kuwa zinakwepa kodi. Ajabu eti serikali makini haijui, ila serikali hiyo hiyo inajua ni lini Mbowe atafanya mkutano wa ndani ili waweze kumdhibiti asichafue amani ya nchi, kichekesho kweli.

Kama Trilioni 1 ilipotea na CAG akatolewa kwa kusema ukweli, basi acha watu wakwepe kodi. TISS wapo bize kuwarekodi kina Steve Nyerere wakiigiza sauti ya Mbowe anamnyanyapaa kimapenzi mbunge wa Chadema (jina linahifadhiwa)

Yaani badala ya kufanya mambo ya msingi kwa Taifa mnatumika na mambo ya hovyo, baada ya Kigogo kuwavua nguo huko Twitter sidhani kama bado mnaendelea tena na hujuma dhidi ya Mbowe.

Fanyeni ishu za maana kwa Taifa, acheni roho ya usaliti kwa Taifa, vinginevyo mtadukuliwa mno.
Long live Kigogo2014.
Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana Kigogo2014 alikuwepo toka awamu iliyopita ya nne ila nyinyi saccos mnapapalika bure na huyo kigogo mara nyingi tu anawaingiza chaka! Poleni.
 
Haaaaaaaaa watu wanajua mpaka VPN na ant virus anayotumia inaisha lin usione watu wako kimya na kupa principal moja usijetegemea ukiwa blackhakers hutokamatwa utakamatwa tuunajua kwann jamaaa 24hrs Yuko online????? Watu wanachek vulnerability ya kumnyambua tu

Tech Ni kubwa Sana aiseee achana nayo kabisa watu wanajua meng hakuna msalit yoyote Alie salama anae jificha nyuma ya mwamvur wa keyboard.

Unadhani kwann mange hawez Rudi tz anajua kitakacho mpata

Hao akina kigogo Ni vijana wachache wanaotumiwa bila kujijua Kama wanatumiwa na mwisho wao Soon utaisha huu mwaka hauishi utapata majibu
Acha vitisho vya kishamba wewe, unajua maana ya msaliti wewe?
Msaliti ni mtu kapewa madaraka halafu anayatumia vibaya, huyo msaliti mnayemwabudu siku zake zinahesabika, muulizeni kilichomkuta Al Bashir wa Sudan.
Mange aje kufanya nini Tanzania? Kama nyie ni wanaume kweli mfuateni Marekani, mkione cha moto, na kigogo hamna la kumfanya mnajipa moyo tu, Bil 1.4 imeisha bila kumpata, bado hamkomi, hao Verient wa Israel na Romania wanawalia pesa zenu tu, mwaka huu maji mtayaita mma.
 
Back
Top Bottom