TISS haipo simple kama mnvayo ichukulia. Ina watu smart na wenye IQ kubwa sana na wanatenda kwa sehemu zao kwa weledi wa hali juu,vivyo hivyo kuna vichwa maji mle na ndio wanaipaka idara matope ya mavi...
Na kasema June atawasomesha namba mpaka waombe poo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mataga hawalali wanahaha kigogo anawahenyesha
Yaani upeo wako ni kidogo sana, maana unatetea ufisadiKama ujajua mpaka sasa kati yangu na wewe nani mwenye upeo mdogo. Basi mwambie jirani yako akusadie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikamatwa watu wajanjaa wakale wapi?Kigogo anamkosesha sana usingizi Jiwe
Nikupe siri...wakati mwingine unaweza kuifanyia idara ya tiss kazi pasipo wewe kujijua.Kuna watu huwa wanaota kuja kuwa TISS hivyo wamejitahidi Hata kuangalia muvie za ulaya za intelijensia na kuzihamishia kwetu ndo hawa ambao wanatusumbua kila siku kujifanya wanaijua idara. Laiti ungepata wasaa wa kukutana nao ni wafanyakazi wa kawaida kabisa ambao zamani tulidanganywa eti wanajua ata unafikiria nini. Cc genius Bia yetu Statesmann state agent na wengine wanaojiona kupitia ndotoni wameshakua Tiss
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeamua kuamini sasa...Una ushahidi wa hiyo bilioni 1.6 kitumika kumtafuta kigogo?
Sasa unakuta mtu ni baba/mama wa familia kabisa alafu anaamini huu ujinga
Kuna watu huwa wanaota kuja kuwa TISS hivyo wamejitahidi Hata kuangalia muvie za ulaya za intelijensia na kuzihamishia kwetu ndo hawa ambao wanatusumbua kila siku kujifanya wanaijua idara. Laiti ungepata wasaa wa kukutana nao ni wafanyakazi wa kawaida kabisa ambao zamani tulidanganywa eti wanajua ata unafikiria nini. Cc genius Bia yetu Statesmann state agent na wengine wanaojiona kupitia ndotoni wameshakua Tiss
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah... Kwahiyo pale kigogo anatoa siri ipi ambayo ni hatari kwa utawala wa JPM?JPM ndio kamleta kigogo mwenyewe!!Unapiga pini media ili uibe bila wananchi kujua ili iweje??TISS wameamua kubalance utawala bila jiwe kujua!!!ASANTE TISS KWA MISSION KIGOGO 2014!!!
Hivi mtu anayejielewa atapoteza muda kumtafuta mtu ambaye hajulikani?
Huyo ni mropokaji tu
Kuna watu wako humu JF special kwa ajili ya kupindisha mada..kuna watu wako special kwa ajili ya spining..kuna UVCCM humu aka MATAGA ambao wanadhan wao ni TISS kumbe hawajui lolote zaid ya ilani ya CCM yaan they are too far nje ya loop...kuna watu wa idara ya TISS kweli kweli humu JF na most of the time hawacomment bali husoma tu replies na kuzifanyia kazi...saying so, niwape Fact isiyo na chenga, ukweli ni kwamba Kigogo2014 wa twitter anawasumbua sana serikali nikiimaisha TISS ya awamu hii na wameweka kilakitu pamoja na resources zote walizonazo in place ili wamnase..its a matter of time watamdaka na kumnyamazisha. You cant play with any STATE and get along with it..you simply CANT