Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Unapoongelea suala la usalama ni eneo pana sana kiuteñdaji na wamwgawanyika kutokana na majukumu yao ingawa conclusion hua ni usalama kwa sehemu husika. Hua kuna nadharia kadhaa kulingana na Huyu anayeitwa KIGOGO HUKO TWITTER, Kuna uwezekano akawa mtu wa ijnr ya mfumo wa TISS ila akawa mtu wao kwa maana anapewa nyenzo zote na wao kwa nia ya kubughuzi na kutia wenge wale waliodhani system iko weak ktk weledi wa kazi husika, hii ina maana hata wale wa ndani kuna wasaliti na ndo wanaotafutwa zaid. Pia kuna uwezekqno kweli huyu jamaa anajua mifumo yao ilivyi weak na namna gani ya kucheza nao ndo maana hata waziri amesema wanakaribia kumnasa ila utabaki pale pale kwqmba ni mtu wao na pia kunà iwezekani anachosema ndo wanachotaka tukijue kati ya siri walizonazo. Umakini muhimu sanakati ya hizi taarifa tunazopata.
 
tuma namba yako ya whatsapp PM nikufanyie connection

napenda vijana wazalendo kama wewe
Aisee wakuu naomba MSAADA Mimi nataman Sana kujiunga na TISS ila sijajua vigezo na jinsi ya kujiunga naombeni MSAADA wenu ASANTE.
 
Sometimes huwa nawalable watu wa aina yako kwa kuwapa majina ambayo huakisi uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua hoja! Na Leo nakubatiza kwa jina la bumunda. Ni mkulima yupi uanyemzungumzia hapa? Huyu wa Tanzania anayetumia jembe la mkono Hadi Sasa? Au huyu ambaye hapati pembejeo na ushauri wa kitaalamu na akibahatika kupata ni katikati ya msimu? Na au huyu ambaye Hana solo la uhakika la mazao yake? Au yule anayekopwa mazao yake? Ni yupi katika hao? Wakulima wa korosho, pamba, nyanya na hata mshindi? Ni yupi hasa?
Usiwe unabweka tu huku ukiwa umekalia Kochi la shemejio, njoo shambani uyaone masaibu ya mkulima!
Na hizo Barabara ni zipo zinazojengwa tangu nchi ipate Uhuru na haziishi? Nenda kigoma, sumbawanga,mbeya, songea na hata hapo pwani uzione Barabara zinazoingia vijijini na hata wilayani Kama hujalia! Next time try to think vividly and rationally! Usiwaze kubweka Tena humu kwani huna hoja!
 
Mara zote zinavuja zile nyepes lkn zile nzito hazivujagi na km zikitaka kuvuja lazima roho iache mwili.
 
 
Ndugu yetu Kigogo,

Tumempeleka kule ambapo watu wakienda hawarudi tena.

Kazi nzuri imefanywa na vijana wetu adhimu.
 
......hongera kwako..,..kichwa yako inafanya kazi..
 
Unaweza kuta TISS wamedesgn an imaginary weasel blower kwa dudisgn ka sub unit kadogo wakakapa ac TWITTER ili wawe wanamstopisha mzee baba kwenye vitu au matukio ambayo hawakubariani nayo.
 
Nimeona Bwana yule mlipua mabomu kule twitter ame-post nyaraka za ununuzi wa zile Pangaboi jambo linalooashiria kuwa ndani ya system huenda kuna kuhujumiana na hii ikimanisha kuwa hawa watu hawako pamoja au inawezeka kuna mtu wamemchoka na sasa wanaamua kuanika kila kitu hadharani.

Kama ni kuchukua tahadhari,huenda mpaka sasa ameshachelewa na siri nyingi teyari ziko mikononi mwa watu na sitoshangaa kadri uchaguzi unavyokaribia, yakaibuliwa mengine mengi huku nyaraka husika nazo zikiwekwa wazi mitandaoni.

No wonder wanajitengeneza kinga mbele ya Mapilato ingawa inawezekana teyari wameshachelewa.
 
Mnashinda mnazinanga na wakubwa zenu wanashinda wanapanda
 
Una maanisha nini unaposema kuna jamaa kule twitter?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…