Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Kwani wenye siri za Serikali ni tiss tu? Au anayetakiwa kutunza siri za Serikali ni tiss peke yake?
Kwani hicho huyo mwehu kigogo independent source ipi Ime verify kuwa Ni hakika na si uzushi
 
technically,
Kosa kubwa Daud Bashite ni sehemu yao anapewa taarifa nyingi na yeye pasipo kujua huwapa taarifa cyprian Musiba, Le Mutuz, Steven Nyerere na wengineo ambao hawana siri na kuzivujisha mitaani, Siri nyingi huvujishwa na Le Mutuz kwa wanawake hasa akiwa mrembo kwani Le Mutuz ni kiumbe Dhaifu mbele ya mwanamke haijapata kutokea Duniani,
 
Huyu wa Sasa unamsifia kwa usichokijua au pengine ni mahaba tu yalishakuzidi so umekuwa Kama kipofu. Kwa kukukumbusha tu Ni kwamba Kipindi cha Kikwete, Mange alikuwa CCM kindakindaki na ameshiriki katika kapempeni za kumweka Magufuli madarakani. Aligeuka baada ya kuona Magufuli haeleweki kwa upande wake wakati walipoingia madarakani
 
kama ungekuwa mkakati wasingetenga mafungu ya pesa kumsaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, hayo mafungu ya pesa yeye anaweza akawa ni mnufaika pia!
Tena pengine yeye ndie master plan na mshauri mkuu!
Mwisho wa siku watamkamata mwenzao kimagumashi lakini yatakayoendelea nyuma ya pazia si rahisi umma kujuwa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo hili,nimekuuliza miaka saba ilopita ulikuwepo hapa Jf we unaanza kuleta habari za verified,sijui uchambuzi,utopolo mtupu,sijui maharage ya wapi haya,vichwa vingi maji matupu,jibu nilichokuuliza hizi kona kona waachie madereva wa langalanga
Wewe jamaa huwa nakuona kama bashite tu, sorry kama kuwa bashite ni tusi(kosa) kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unategemea uwape hawa vijana hovyo wa CCM kazi za TISS unategemea nini?
 
Jidanganye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…