mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Uwanja umefurika kweli kweli,na bado kuna misururu ya watu wanaingia uwanjani wewe kinachokusumbu wivu tu.Mkuu tupo uwanjani tunaona live ujue. Kinachoendelea hapa ni aibu na uwanja hauna watu kabisa. Yani Bora tungeenda Mbagala Zakhem
Kwenda kumfurahisha mfaulmeNilikua taifa kwa ofisi ya DMO,ajabu eti huduma zote hakuna staff wameenda kwenye kampeni.
Magari ya TRH yamebeba hadi vitoto aibu sana
Hatujadili dini lakini baada ya uchaguzi Ndio utaona mikoa kama Tanga. Na pwani CCM itashinda kwa kishindoHoja hii haina kichwa wala miguu, haina tija. Hatijadili dini hapa. Nenda kanisania au msikitini. Full stop
Maana uwanja umelipiwaSawa
kazi na dawa, hata Marekani wanafanya hivyoSera zimeanza kutolewa ufafanuzi au bado ni burudani???
Anamalizia diamond tusepe. Sera tutaangalia kwenye jamii forum kama zitakuwepoSera zimeanza kutolewa ufafanuzi au bado ni burudani???
Ila wakifika uwanjani wanakutana na sera changanya na burudani wanaelewa vizuri walichoambiwa, tarehe 28 wanafanya jambo lao, halafu mtu mwingine anakuja kukataa matokeo, kampeni ni kama tangazo la kibiashara ambalo linahitaji pia kupata wateja ambao wapo mbali na bidhaa yako, unatakiwa kuwavuta upande wako.Watu wanafuata burudani tu kutoka kwa akina Ali Kiba, Diamond, Harmonize,nk Hakuna jipya.
sasa ukitaka uwe kama mkutano wa msiba. Mzee relax. Wewe umeshasikia Mc anasema ni sherehe ya mafanikio ya awamu ya tano muhula wa kwanza. Sisi wenywe tunaelewa na hatupo bias kabisa. Tupo weng hapa Montreal .Watu wanafuata burudani tu kutoka kwa akina Ali Kiba, Diamond, Harmonize,nk Hakuna jipya.
Tulia wewe kwani Oct 28 mbali?Hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa Magufuli, narudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMUONDOA MAGUFULI.
Wakumuondoa Magufuli na CCM yake hajazaliwa bado na hatazaliwa.
Labda aondolewe na aliyemuondoa "NKAPA"!Hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa Magufuli, narudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMUONDOA MAGUFULI.
Wakumuondoa Magufuli na CCM yake hajazaliwa bado na hatazaliwa.
of course ,ila ushindi ni lazimaAnamalizia diamond tusepe. Sera tutaangalia kwenye jamii forum kama zitakuwepo
Kumekucha, kumekucha....!!!
Inawezekana mwaka huu huko Zanzibar kukatokea "KIMBARI" ya kutisha sana..!!!
Hii itakuwa zaidi ya ile ya 2001 ambako Wazanzi-bar zaidi ya 20 walipoteza maisha na mamia kwa maelfu kuwa wakimbizi wa Kisiasa kwa mara ya Kwanza Tanzania!!
Tunaomba JUMUIA ZA KIMATAIFA ZILIMRIKE HILI.
Uliangalia jana RVS online usiku? waulize wale waliokuwa wakipiga simu na kuandika maswali wengi wanatoka wapi?Mawazo yenu tuu hayo na chadema wengi mnatamani iwe ivyo na kamwe haitakuja tokea.
hahahaah si nasikia uwanja unafungwa mkishaingia.Anamalizia diamond tusepe. Sera tutaangalia kwenye jamii forum kama zitakuwepo