P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
angalia kwenye tv utaona hadi replay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uwanja wenyewe nimekuja kuuona kwa macho tena kwa nje mwaka Jana mwezi wa 10, 🤣 kumbe umepakana na uwanja wa uhuru ambao nauskiaga tu.Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃
Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
Kwa umbali huo sidhani kama naweza vutiwa kwenda uwanjani. Labda kwa ajili ya socialization na sio burudaniNi kweli mashabiki wanakuwa mbali na pitch hata ukikaa kule mbali kwenye mzunguko sometimes unakuwa na uoni hafifu, Azam sasa hivi washaanza kuweka viti na pameanza kupendeza lakini kwa Mkapa kuna mashabiki wanaangalia mechi zaidi ya umbali wa mita 100
Kabisa. Heri kuangalia kwenye TV na replay tunapata😆😀😃Kwa umbali huo sidhani kama naweza vutiwa kwenda uwanjani. Labda kwa ajili ya socialization na sio burudani
Huo nao ni ujinga mwingine. Mtu wamepromote tickets since day 1. Mimi shabiki nimekata mapema kabisa siku 7 kabla ya mechi halafu siku ya mechi nakuta kuna kifutu kakaa na hajalipia VVIP. hii haipendeziPale kinachoonekana kuna upendeleo kwa kujuana,kuna waheshimiwa hawakati ticket au hata wakikata ni za mzunguko ila wanaenda kukaa kule,maana idadi ya seats zinajulikana na kama watu wamekata zikaisha haiwezekani kuongeza sasa inakwaje watu wanazidi kuliko viti?
Au ndiyo maana watu wengi siku hizi badala ya kwenda kwa Mkapa wanabaki vibanda umiza na majumbani mwao kuangalia mechi?Kwa uwanja wa Taifa,labda ukae kwenye viti vya benchi la fundi na wachezaji wa akiba.
Nyuma ya mabenchi ya ufundi ila kaa juu kidogo.Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃
Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
Uli mhola ng'wanangwa/nkoyi.Jamani mimi natokea kishapu🤣🤣
Wengi jiji la Dar huwachanganya sana uelekeo wa pande za dunia.Hakuna goli la mashariki kwa mkapa,ni kusini na kaskazini
Kumbe mwelekeo wa pitch ni kutoka mashariki kwenda magharibi na si kusini kwenda kaskazini....Sehemu yeyote utakayokaa utaona vizuri eneo lile litakalokuwa na uwiano mzuri na macho yako..!
Mfano Aliyekaa karibu na goli La mashariki ataona vema matukio ya hapo golini kumshinda aliyekaa VVIP
Mkuu kwani inakuwaje kuwaje..Kuna raha sana kuangalia mpira live pale kwa mkapa. Kama umezoea kuangalia kwa tv af uingie uwanjani unaweza dhani wachezaji hawako serious kumbe wako serious.
Af uwe na earphones uwe unasikiliza matangazo kwenye radio🔥🔥
Yaani dar ukiwa ubungo kaskazini kwingine,ukienda mabibo ndanindani kaskazini kwingine kabisa,ukienda yombo ndiyo utachoka,na jua tu huwa lina muelekeo wa ajabu ajabu siyo kama mkoaniWengi jiji la Dar huwachanganya sana uelekeo wa pande za dunia.
Nadhani huyo kaskazini ndiyo anaona kuwa ndiyo mashariki yake.
Ah weeh kule huoni hataaKaa kule juu kabisa kwenye vitu vya mzunguko
iWaodoe running tracks na kuongeza viti. Hizo lines sijawah ona manufaa yake. Uwanja mzuri unapaswa kuwa hivi
View attachment 3196242View attachment 3196241
View attachment 3196244