Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

CCM wakatwe ruzuku kugharamia matengenezo ya uwanja.
Aaah wapi? Kwa sasa menejiment ya uwanja itulie tuu ili kuponya kazi za watu wake wasije zipoteza au kupoteza maisha.
Wao waandae tuu invoice ya gharama zote, kisha Novemba tutajuana nao.

Hawawezi kufanya nchi hii ya kijinga namna hii hata kidogo. Chama chao kikikosa hela ya kulipa tutakata hata kwenye pension ya magu, maana starting next month the person is going to be pensionable
 
Mbona baadhi wanasema uwanja haukua na watu sasa huo uharibifu umatoka wapi,
wakati nyomi ndio husababisha uharibifu wa viwanja.
 
Mbona baadhi wanasema uwanja haukua na watu sasa huo uharibifu umatoka wapi,
wakati nyomi ndio husababisha uharibifu wa viwanja.
Wameuchimba chimba mashimo halafu watu walikusanywa eneo moja kwenye pitch wakaharibu nyasi baada ya kuona kuwa wangekaa majukwaani ingekuwa aibu. Pia umejaa takataka hadi vyooni
 
Hivi Kuna waandishi wa habari wanaotumia weledi wao? Naona sasa hivi weledi weka pembeni, tumia unafiki na kujipendekeza. Weledi tutatumia huko mbele ya safari
 
Waandishi wanaogopa kuuliwa
 
Nilidhani ule uwanja wa zamani pembeni uliachwa ii uendelee kutumika kwa ajili ya maujinga kama haya.

Inasikitisha sana. Na sidhani hata CCM wamelipia kuutumia.
 
Chama hovyo kabisa hiki.
 
Ndugu yangu, waandishi wa habari hilo watalisemea wapi?
 
Sasa hivi hakuna waandishi wa Habari,

Kuna washika kalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…