ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Ilikua lazima wawekwe kwenye pitch kwa sababu walishindwa kujaza uwanja,wangeruhusu watu wakae majukwaani kingekua kituko.Kwa makusudi majukwaa yalikuwa empty ila watu wakalazimishwa kukaa kwenye pitch
Kuhusu waandishi nadhani hakuna anataka kuwa azory Agwanda