Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mechi tumeshashinda ikiwa mikia hawatobebwa
Daima Mbele Nyuma Mwiko.
mkuu mbona hujiamini, kwa hii post yako hapa inadhihirisha unafahamu kuwa simba ina kikosi bora kuliko yangaHii mechi tumeshashinda ikiwa mikia hawatobebwa
Hii mechi tumeshashinda ikiwa mikia hawatobebwa
Tuonane humu baada ya game Kama hutakuwa umelala au kuingia mitini kwa uchungu wa kipigoVyura kwenye huu uzi hawaji labda wabahatishe japo sare ndo utawaona hapa.
Yaani ni kwamba hawajiamini kabisa na timu yao.
Naona wanachungulia tu na kuondoka.
Pics speak louder than........Nipo uwanjani ila nashangaa upande wa Yanga hamna watu,Simba karibia wanajaza upande wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sikimbii wewe sina nidhamu ya woga, usije kimbia wewe tu.Tuonane humu baada ya game Kama hutakuwa umelala au kuingia mitini kwa uchungu wa kipigo
Bora umesema mianya imezibwa, baadaye usije ukaleta sababu zingineLeo yanga inashinda....mianya yote imezibwa