Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Leo yanga inashinda....mianya yote imezibwa
 
Vyura kwenye huu uzi hawaji labda wabahatishe japo sare ndo utawaona hapa.
Yaani ni kwamba hawajiamini kabisa na timu yao.
Naona wanachungulia tu na kuondoka.
Tuonane humu baada ya game Kama hutakuwa umelala au kuingia mitini kwa uchungu wa kipigo
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] UTABIRI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Vyura 1 Mikia 2

Mechi iko fixed
 
Tuonane humu baada ya game Kama hutakuwa umelala au kuingia mitini kwa uchungu wa kipigo
Mm sikimbii wewe sina nidhamu ya woga, usije kimbia wewe tu.
 
Back
Top Bottom