Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

1583672003108.png
1583672040961.png
1583672183365.png

1583672207892.png
 
Eti simba mnyama mkali wa porini!hata mjini kuna wanyama wengi tu wakali!
 
Nyie Vyura endelee kufukia Hirizi lakini kipigo hakiwaepuki tu

IMG_20180308_120003.jpg
 
Gooooooooooooooool

Naaaam kiongozi wa CHAPUTA anapiga cha kwanza ple choo cha uwanja wa Taifa bila aibu
 
Gooooooooooooooool

Naaaam kiongozi wa CHAPUTA anapiga cha kwanza ple choo cha uwanja wa Taifa bila aibu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]mkuu SUBIRI kidogooooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

kelphin kepph
 
naona yanga wamewaweka haya viongo wakabaji fei toto na shishimbi ili wawazuie hawa viungo wetu washambuliaji ili wasitawale kabumbu.
kwa mantiki hiyo yanga wanacheza kwa pressure kubwa
Hujakosea mkuu
 
Back
Top Bottom