Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchukue na pia siyo ushindi tu.Mashabiki ya Yanga tujuane mapema vile tunachukua ushindi mapema
Yanga Daima mbele..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kikosi bora? Hell no..mkuu mbona hujiamini, kwa hii post yako hapa inadhihirisha unafahamu kuwa simba ina kikosi bora kuliko yanga
Hahahahahahahahah Mechi imeisha hiyoVikosi kwa pande zote Yanga SC na Simba SCView attachment 1380972View attachment 1380973
naona yanga wamewaweka haya viongo wakabaji fei toto na shishimbi ili wawazuie hawa viungo wetu washambuliaji ili wasitawale kabumbu.Vikosi kwa pande zote Yanga SC na Simba SCView attachment 1380972View attachment 1380973
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]mkuu SUBIRI kidogooooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Gooooooooooooooool
Naaaam kiongozi wa CHAPUTA anapiga cha kwanza ple choo cha uwanja wa Taifa bila aibu
Hujakosea mkuunaona yanga wamewaweka haya viongo wakabaji fei toto na shishimbi ili wawazuie hawa viungo wetu washambuliaji ili wasitawale kabumbu.
kwa mantiki hiyo yanga wanacheza kwa pressure kubwa
Hali ilivyo nje ya uwanja na ndani ya uwanja wa Taifa ni ya kupendeza kweli kweli View attachment 1380989View attachment 1380990