Sawa [emoji4]Hata tukiwafunga goli 10 Aibu tulioipata tar 8 bado ipo palepale.
Nyie kenge mna point ngapi ambao mmetuzidi uwezo?
Gadiel Michael ameingia ametoka KapombeKipindi cha pili kimeaanza Uwanja wa Uhuru,
Mabadiliko kwa Simba, Mkude anakwenda nje, ameingia Shiboub
Nakukumbusha tu Anfield kuna mauaji leo.Aibu naona mimi aseee!
Nakukumbusha tu Anfield kuna mauaji leo.
Watu wanajipongeza baada ya kurusha bomu mochwaliLuis Miquissone wakeup man kwenye hii sherehe ukose kweli.