Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

Point yako hasa ni nini? Unadhani wapinzani ndiyo wanapata hasara au ni nchi kwa ujumla wake. Mtu mwenye elimu na exposure kama wewe nilitegemea asimamie kwenye hoja na siyo chuki binafsi. Hata CCM ikiendelea kutawala milele na milele wewe unadhani hasara ni ya wapinzani tu? Tatizo ninyi mnayachukulia mabadiliko kama ni mafanikio ya wapinzani na siyo watanzania. Samia hana mkataba na Mungu, vivyo hivyo hayati Magufuli. Leo hii mambo yanaweza kubadilika na tukaingia kwenye kipindi kingine kigumu kuliko hata kipindi cha Magufuli.
 
Mdude ni jasiri asiye na unafki, wewe pia ni jasiri kwa unayoyaamini, tatizo ni kwamba Mdude ameshajinyumbulisha yeye anataka Nini, wewe ni jasiri usiye na msimamo, au mara nyingine hujui unataka Nini? Pengine unatengeneza mazingira ya kurudi nyumbani.
 
Hata CCM wameiga mavazi ya ANC na wakatuletea wimbo wabTaifa unaofanana na ule wa South Africa na Zimbabwe Hadi rangi za bendera.

Nothing new brother.
 
Wewe Chahali,kwanini huwa una hasira sana ukikosolewa,unamfata mtu Inbox,unamtukana na kumblock??
Deal kwanza na atittude zako,huwezi stahimili mawazo mbadala,so is CCM.
 
Hivi haya majizi ya maccm lini ulisikia YANAPEKULIWA majumbani mwao!!? Au wako juu ya sheria za nchi! Mfumo wa vyama vingi una miaka 30 sasa lakini bado tuna katiba ya chama kimoja. Unataka Watanzania tunaotaka kuona nchi ina Katiba ya mfumo wa vyama vingi na Tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zetu ni za haki na huru badala ya uhuni na uporaji kama uliotokea October 2020 tusubiri hadi lini!?

Kumbuka HAKI NA UHURU katika nchi yoyote ile huleta amani, mshikamano na furaha katika jamii na dhuluma na udhalimu huleta hofu, huzuni, kuharibu mshikamano na hata kuleta machafuko.

Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye hati miliki ya kuendelea kufanya dhuluma na udhalimu vile atakavyo.


 
Hivi na wewe uliingia mkenge wa kukubali kudnganyika kuwa mama Samia ataibadilisha nchi? Kwa huu mfumo hata aingie Tundu Lissu kuwa rais, asipofanya overhaul ya system nzima hakuna atakachofanya. Mfumo tulionao unamfanya rais asiweze kuongoza vizuri, afanye makosa mengi. Samia alipokosea ni kusema tusubiri kwanza kubadilisha mfumo. Hii ina maana anataka kutawala miaka yake kumi kwa hii system ya urais-ufalme akidhani kuwa atashindwa kuibadilisha nchi kama atakubali katiba yenye kumnyang'anya ''umungu'' alionao. Hili ni kosa kubwa sana anafanya. Angekubali watu waanze mijadala sasa hivi ili ukifika wakati wa kuandika katiba mambo yawe mezani na siyo tena kuanza mijadala. The sooner the better.
 
Kwa upumbavu wako dikteta Samia kuvunja katiba na sheria unaona sawa kwa kuwa tu anatumia polisi kugandamiza haki!

Shame on you!

Kumbuka hata kusema na kulaani ni mbinu pia kwa sababu ujumbe umemfikia live. Hata ndotoni anaota kuwa hatendi haki!
 
Tatizo linaanza na fikra hizi, kudhani haki ni hisani inayotolewa na kiongozi fulani na si zao la sheria za nchi!
 
Sasa hiyo ya viongozi kuchukiwa na kuwekwa rumande huoni kama ilikuwa ni starting point ya kuingia road?

Lisu hana mvuto kabisa kwa wafuasi wake ndio maana aligalagazwa na Nyarandu kwenye kamati kuu
 
Na wewe na usenge wako ulionya?
 
Ukisikia naye kaenda Mzena urudi tena hapa kuuliza tutakupa majibu Mungu hataniwi , yaani Chahali hata hufahamiki unapigania nini , labda ulikuwa unampinga Magufuli tu , sisi tunapigania haki za nchi , ikiwemo Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Haki gani umenyimwa kwenye katiba hii?
 
Kilichokukimbiza hapa Tanzania mpaka ukaamua kuolewa Ulaya ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…