Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

Ni Mjinga tu ndio Ataubeza Upinzani

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia naye kaenda Mzena urudi tena hapa kuuliza tutakupa majibu Mungu hataniwi , yaani Chahali hata hufahamiki unapigania nini , labda ulikuwa unampinga Magufuli tu , sisi tunapigania haki za nchi , ikiwemo Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .
Mkuu,

Hakuna siri tena kwamba Chadema mnapigania tu maslahi yenu
 
nimesoma mawazo yote ya wachungaji, ikiwa katiba ni ya wachache hao chadema kwa nn ccm wasiwaache waendelee na agenda yao isiyofaa?
 
Kwahiyo mdude ni muhuni tu???
 
Chahali una akili ndogo sana, unalinganisha kati ya mvunja sheria mwenye madaraka na polisi upande wake, dhidi ya anaetii sheria, asie na madaraka wala polisi, ila mwenye kauli tu?

Umepitwa na wakati.
Anatafuta njia na namna ya kurudi nyumbani huyo!

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Samia ni dikteta kwa sababu hafuati sheria, kutumia kigezo cha kuwafutia kina Mbowe kesi ndio u-justify Samia sio dikteta ni ufinyu wa kufikiri, hii nchi inaendeshwa kwa sheria sio hisani.

Unajichanganya mwenyewe!!
Kumbe ulitaka asiwafutie kesi.

Wewe binafsi famila yako inakushinda.
Kijana tulia punguza hisia za chuki hazisaidii
 
Kwa mtazamo wako mtu kupata haki ni hisani .kama tumefika hapo basi ni shida sana
 
Naichukia chadema na nafurahi walivyokamatwa mwanza na nafurahi bandiko lako ILA wewe jamaa ni Kati ya watu wajinga ambao mmavuta oxygen ya bure tu
Yani watu kuonewa kwako ni furaha .Niki punguza mihemuko Bado safari ni ndefu Sana.
 
Shida kubw inayoikumba chadema kwa sasa ni mipango yao mibovu wameiga mavazi ya EFF wameshindwa kuiga mfumo wao .

Wao wameshika ajenda isiyokuwa na nguvu kwa Watanzania KATIBA .

Watafute ajenda zenye tija
Duniani hakuna mtu ambae haigi hata MAENDELEO tuliyonayo tumeiga kwa Wazungu hivo kuiga kitu sio kosa.
 
Wembe upo wa aina nyingi kumbuka Mama huyo anataka kujenga uchumi na anategemea watanzania wote, katika dunia ya sasa na haswa nchi za dunia ya tatu yenye budget tegemezi yenye kutegemea nchi wahisani na jumuiya za kimataifa atawekewa vikwazo na kukosa fedha ambazo zinahitajika kwa miradi ya kimkakati. Tunarudi kule kwenye vita ya kiuchumi
 
Mbowe ana elimu kubwa tu hauko sahihi tafuta CV yake uione .
 
Tubaki na chama kimoja tu ila tusisikie kelele huu ya tozo na kodi za mafuta
 
Mbowe anawaiga vijana kina Malema aibu sana.

Watanzania waache kufikiria Tozo za miamala wamfikirie Mwanasiasa ambaye hana kipya kwao.
 
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜‚
 
Mwaka jana hakukuwa na uchaguzi, kulikuwa na unyang'anyi.

Ndiyo maana Mungu akachukia. Divine intervention ikashuka Tanzania mwezi March 2021.

Unyang'anyi ukiendelea, divine intervention is always there - jiandaeni tu. Mungu hawezi kukubali watu wake wateseke miaka 60 baada ya kujitawala. NEVER!
 
Mkishavuta bangi mkashushia na mbege iliyochacha mnadhani Mungu ni kaka yake makengeza mbowe na yupo kwaajili ya kuwasikiliza ninyi tu.

Kwahiyo sasa hivi hiyo Divine intervention imeshuka Chaggadomo na kwenye familia ya mbowe. Inawapukutusha balaa kina Baregu, kaka Mbowe, Karugendo nk

Laana ya kumuua Chacha Wangwe imeanza kuwatafuna
 
Wachague moja tu - kutenda haki au la divine intervention inawahusu. Hilo halina ubishi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…