UWATA wamesambaratisha familia yetu

We jamaa
Simama juu ya meza hapo sitting room
Afu jipige pige kifua Mara tatu
Sema mimi ni kengeee
 
Heri yako wewe umekumbatiwa. I’m done with you maana hata mngetaka kunikumbatia nisingekubali. Nyinyi ni mashetani. Na huyo mtu endeleeni kumng’ang’ani mkimchoka mkumbusheni sisi hatukumchoka.
So chuki zako binafsi ndio unasema watu wa watu? Mbona ndio ushetani wenyewe waonyesha hapa? Kwa hiyo unasema baba yako hana akili huoni una laana wewe? Maana biblia inasema ana laana amdharaue babaye
 
So chuki zako binafsi ndio unasema watu wa watu? Mbona ndio ushetani wenyewe waonyesha hapa? Kwa hiyo unasema baba yako hana akili huoni una laana wewe? Maana biblia inasema ana laana amdharaue babaye
Nasemaje huko faraghani leo mtabong’oka sana i said what i said msinilishe maneno. Unaonekana unaujua ukweli but you are just in disguise. Nampenda baba yangu sana na kinachowauma zaidi ni anajua nampenda nae ananipenda zaidi na you people won’t rest kila siku ni kumjaza chuki. Fanyeni mnayofanya na Mungu yupo anafanya yake pia. Mtadhalilika. If anything i said here ni ya uongo wasingekuwepo wanaodhani na kujua ninayojua mimi kuwahusu. With regards, MIMI.
 
We jamaa
Simama juu ya meza hapo sitting room
Afu jipige pige kifua Mara tatu
Sema mimi ni kengeee
Nilichoomba na ulichosema kinadhihirisha kenge ni nani kwa dhahiri.

Au ngoja niulize tena. Nikisha fanya hivyo ndio itamaanisha kwamba wako ulivyosema? Au ukweli kwako si kitu cha maana.

Ufunuo wa Yohana 21:8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Kwa hiyo kutaka kujua kwangu kutoka kwako wataka nijiite kenge? Hilo ndilo jibu kwa hayo maswali yangu?
 
All you have said here is hatred and lies. Kama unaichukia UWATA kwa sababu zako sema yaliyo ya kweli basi peke yake usiwasingizie.

Ukweli utakuweka huru.
 
Bado huwajui ww
 
Hao Uwata inabidi niwagoogle maana si kwa mapigo hayo
Kumbe hii ina mambo mengi ya kuburudisha na hamsemi.
 
haswaaaaa kweli kabisa ni cult moja mbaya sana hao wadau nawajua in out,
nikiwa toka utoto wangu mpaka nakua ndani ya familia wapo tena wa kutosha niliwagomea
katu katu kufuata udwanzi wao wakawa wananiita wa mataifa madogo wakawa wanaswagwa kama ng'ombe kwenda faraghani,
kiufupi walikua wananiona boy lost in hell,
pale Makambako wamejaa mtaa wa Kitisi,
Mbeya Isyesye mojaaaa

kiufupi nikikutana nao mahali popote nawajua code hata asipojitambulisha pia
mpaka harufu zao dadeq!
 
Pole kwa matatizo ya kifamilia,ila nasikitika kusema kuwa uliyoyaaandika kuhusu UWATA sio kweli,pengine kuna mambo mzee wako hajakuambianhaswa kuhusu familia yenu na anayoyapitia.
 
Pole kwa matatizo ya kifamilia,ila nasikitika kusema kuwa uliyoyaaandika kuhusu UWATA sio kweli,pengine kuna mambo mzee wako hajakuambianhaswa kuhusu familia yenu na anayoyapitia.
Mwambie aniambiye au pengine wewe unayajua unisimulie, rafiki?
 
Aiseee pole kuna ndugu yangu nae sijui kahamia kanisa gani huko kakatazwa kupika arobaini ya mama yake. Wooote wamekuja yeye haonekani kuja kuuliza ndiyo kuambiwa dini yake hairuhusu.Kazi kaacha mbwa yule kutwa kwenye mtandao anauza bidhaa za kupunguza mwili basi tafrani yaani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimaa
kiufupi ukisha mkiri Kristo Yesu kua ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako na ukaamini kupitia njia ya msalaba ulipewa msamahawa dhambi,

mosi una uzima wa milele
pili unafanyika kua mwana

then unatapokea ubatizo wa roho mtakatifu then utaenenda kwa imani na sio kwa amri kumi mlizo jipunguzia kutoka kwenye zile zaidi ya 600 na kanuni zake.

Torati ni mauti iliyoletwa kwa mkono wa Musa
bali Neema ni uzima wa milele kwa njia ya
Kristo Yesu

wakristo wengi hujiita Wakristo ila sio wa yule Kristo hapo inahitajika kweli iwafikie ili
mpractise uhalisia wa maisha ya Ukristo yaani kuenenda kwa imani ili upate matokeo ya kiuungu
nje ya hapo hivi viroja vya UWATA na takataka za madhehebu yenu mtaishia kuimba pambio na mtakua mateka na kushindwa kufaidi ufalme aliohubiri Yesu kua umefika na tubuni
(badili mnavyofikiri) na muamini habari njema nyie bado watumwa wakati the Super Power is inside you huhitaji kenge yeyote akuburuze
nimeandika kiufupi sana kwa jumla maana vikianza vifungu hapatatosha!

wake up you Child of Light!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…