Asiyependa hana Mungu. 1 Yohana 3:Sawa mwanauwata. Huwezi kuona uovu kama uovu u ndani yako. Siwapendi na yaliyotokea ni ushuhuda kwangu.
Basi hawajabadilika wako hivyo hivyoSiwatetei Uwata Ila Uwata Nawajua Toka Niko Mtoto Ilianzishwa Na Mzee mmoja Anaitwa Mwakiswalele ilianzishwa Mbeya Karibu Kabisa Na Shule Ya Msingi Maanga
Uwata Huenda Wamebadilika Lakini UWATA ninao Wajua mimi ni Walokole wastaarabu balaa nasema hivi maana mimi nimesoma Shule Ya Msingi Maanga iliyopo Mbeya Mjini Ukishuka tu mlima wa makunguru Au mlima mwanshinga Nawajua Vilivyo Sana Watu Wa Faraghani (UWATA) maana wengine kipindi hicho walikuwa jirani zetu ni Walokole haswa hawavai ovyo na nakumbuka kipindi hicho hata Faraghani kusali ulikuwa unavua viatu sijui kwa sasa.
Sasa Basi Watu Huwa wanabadilika mimi siwezi kungangania uwata ninayo ifahamu nikiwa mdogo kwamba hata wa sasa wako hivyo hivyo hapana Huenda ni kweli kabisa anayo yasema Mleta Uzi kuwa Uwata wameitenda hivyo hiyo familia na ikawa ndio ni kweli watu wanabadilika ila UWATA YA KIPINDI KILE CHA MZEE MWAKISWALELE ILIKUWA NI BALAA NI ULOKOLE FULL NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU, NARUDIA TENA UWATA YA KIPINDI KILE CHA MWAKISWALELE NI MFANO MZURI WA MLOKOLE APASAVYO KUWA.
Pole Sana mkuu, na wewe yamekukuta kumbe? Pamoja na madhaifu Yao yote wanaupendo wa kweli sio wanafikiacha ubishi kenge manyoya ebooo (joking broo)
mkuu hao jamaa wengi ni waumini wa Lutheran, Anglican etc
wana genge lao linaitwa faraghani hukutana kila jioni kwa neno na maombi
wanakanuni ngumu hoooooo!
mosi wanawake huvaa sketi za marinda no kusuka,kuvaa hereni nk
mabwana wanavaa sarawili za vitambaa na bwanga no jeans
ni washika Torati wayahudi wachumba tu
hawaijui Neema ya Mungu wanajua Mungu anachagua watu kwa matendo na tabia njema
na ndio wanaamini hivyo badala ya kumuamini kristo kama kigezo na kielelezo cha ukombozi
pia huomba kwa nguvu wakiamini Yuko mbinguni wakati yupo ndani yao,
kiufupi ni mazuzu wasioijua kweli wanahitaji injili ya kweli wafunguke kifikra!
Hao mazuzu wamechangia kuiharibu familia yangu pia washenzi sana kenge hao!
UWATA wanaamini katika Neno la Mungu, katika kujitenga na uovu, kuhurumia wengine, kufundisha wengine kwa habari ya injili na neema ya Yesu Kristo. Kuwa wokovu ni kwa Yesu tu na si mwingine. Mleta uzi tuwekee ushahidi hapa tumtqfute huyo mzee umwitaye baba dadaakeNILIPATA KUISHI JIRANI NA WAUMINI WA KANISA MOJA.
WAO WANA AMINI KUZAA NI DHAMBI
WALE KINA MAMA NI WATU WAZIMA NA HAWANA WATOTO!.
KABLA YA KUWA MUUMINI WA IMANI LAZIMA UWE MTUMWA WA FIKRA NA MAWAZO.
WATU HAO HAWASHAURIKI,
KIBAYA ZAIDI WAO WANAMUAMINI ZAIDI MTUMISHI KULIKO NENO LA MUNGU.
KWA SASA HAPA NCHINI,MWAMPOSA ANA WAFUASI WENGI KULIKO YESU KRISTO
Kumbe nawe ulikuwa mmoja wapo ukashindwa njia yao sasa wawasema vibaya? Huwezi kupata raha kwa kuwasema vibaya.. mtafute Mungu tu waache watu wa Mungu haoSio hisia wewe kama sio mpendwa wewe unaambiwa ni wa duniani sasa mi nikajiuliza wenyewe ni wawa wapi uzuri nimekaa nao hata salamu zao za kukumbatiana nazijua
Nina rafiki ni mwanauwata si mtu wa haya yaliyosemwa hapa. Kuna mwingine tunafanya kazi wizara moja ni mtu mwaminifu mno. Hii ya huyu mtoa hoja siyo hiyo ya hawa niwafaamuo. Itakuwa ya kwao au ameamua tu kuwasema vibaya hao watu wa Mungu.Bado huwajui ww
Sijawahi kuwa mpendwa nimeishi nao tu japo walinihubiri sana ila usipokuwa mpendwa kwao unaonekana una kila aina ya dhambi.Kumbe nawe ulikuwa mmoja wapo ukashindwa njia yao sasa wawasema vibaya? Huwezi kupata raha kwa kuwasema vibaya.. mtafute Mungu tu waache watu wa Mungu hao
Nilipita Soweto Mbeya nikaonyeshwa huyo jamaa aliopoanzia hiyo huduma yake. Lakini ktk kufuatilia kwa uchache nimeona kama ni cult fulani hivi. Sasa sijui ilibadilika baada ya jamaa kufa au tangu mwanzo maana na wewe unasema ulikuwa mdogo. Halafu kila anayesema alitoka, anasema alitoka akiwa mdogo.Siwatetei Uwata Ila Uwata Nawajua Toka Niko Mtoto Ilianzishwa Na Mzee mmoja Anaitwa Mwakiswalele ilianzishwa Mbeya Karibu Kabisa Na Shule Ya Msingi Maanga
Uwata Huenda Wamebadilika Lakini UWATA ninao Wajua mimi ni Walokole wastaarabu balaa nasema hivi maana mimi nimesoma Shule Ya Msingi Maanga iliyopo Mbeya Mjini Ukishuka tu mlima wa makunguru Au mlima mwanshinga Nawajua Vilivyo Sana Watu Wa Faraghani (UWATA) maana wengine kipindi hicho walikuwa jirani zetu ni Walokole haswa hawavai ovyo na nakumbuka kipindi hicho hata Faraghani kusali ulikuwa unavua viatu sijui kwa sasa.
Sasa Basi Watu Huwa wanabadilika mimi siwezi kungangania uwata ninayo ifahamu nikiwa mdogo kwamba hata wa sasa wako hivyo hivyo hapana Huenda ni kweli kabisa anayo yasema Mleta Uzi kuwa Uwata wameitenda hivyo hiyo familia na ikawa ndio ni kweli watu wanabadilika ila UWATA YA KIPINDI KILE CHA MZEE MWAKISWALELE ILIKUWA NI BALAA NI ULOKOLE FULL NA UNYENYEKEVU WA HALI YA JUU, NARUDIA TENA UWATA YA KIPINDI KILE CHA MWAKISWALELE NI MFANO MZURI WA MLOKOLE APASAVYO KUWA.
Wanakumbatianaje?Sio hisia wewe kama sio mpendwa wewe unaambiwa ni wa duniani sasa mi nikajiuliza wenyewe ni wawa wapi uzuri nimekaa nao hata salamu zao za kukumbatiana nazijua
upendo wao ni kwa wapendwa wenzao tu kiufupi ni wanafiki kama mafarisayo,kiufupiPole Sana mkuu, na wewe yamekukuta kumbe? Pamoja na madhaifu Yao yote wanaupendo wa kweli sio wanafiki
Baba yangu walianza kumtenga hivi juzi tuu lakini baada ya kusikia anakaribia kupata deal kubwa wakamrudisha kwa nguvu mpk kumpeleka wodi ya vichaa wakidai amechanganyikiwa… hawa watu wananijeruhi jamani vile tuu I can’t explain everything in details ila ni MASHETANI mambwa kabisa