UWATA wamesambaratisha familia yetu

UWATA wamesambaratisha familia yetu

Yaani wewe una kiburi daktari matola. Unapingana maaskofu na wachungaji, na wainjilisti, 😄😄😄😄
Mwanangu sana mm siyo kiongozi wa dini popote, na siitaji kuwa hivyo , ila kweli naijua
Ila naielimisha watu wanaopigwa ndoíge
Maisha yamekupulura na Mbinguni huendi
 
We tulia bana dingi yako alikua na pesa ili tuzipige tukawa tunampamba kuwa Imani yake ipo imara na amemshinda shetan tukampa na cheo uwata ndo hapo akaajaa kwenye mtego akaanza kumwaga hela
 
😀🤓🤓Weee jamaa jinga sana
 
Unamjua roho ?? Roho ni Mungu na Mungu ni Roho, awamaanishi roho tu?
Inamaana roho takatifu ya Mungu,nani kakwambia roho anachangamana na dhambi?
Hakuna swala la sheria wala nini usijidanye amua moja kula bata kama mwanangu sana leftyie worldie au amua kuwa mtakatifu na si mwanadini,
Usije Kukosa vyote bata hujala na mbinguni unaenda,
Achana na huu uuni wa likalabosika unafikir roho anakata kwa mchawi,mzinz,mla rushwa?
Unafikir roho wa Mungu anatangazwa hakuna kitu kigumu kama kuwa na roho wa Mungu hapa duniani,maana utaishi kama malika,
Maana yule kumtunza ni noma ni ngumu,na huwezi kumpata kizembe kumbuka shetani ni Roho,
Na Mungu na shetani ni washikaji,sehemu ambapo yupo Mungu shetani akosi,
Nawasilisha
wewe jamaa upo gizani na huijui kweli,unachojua ni pumba tupu hiyo injili fake ya kimapokeo ya dhehebu lako haina faida katika maisha halisia ya Ukristo ili ufikie utimilifu wa kiungu,

My take
Mtafute Mwalimu Huruma Gadi wa Neema na Kweli Ministry
hapa bongo, Afrika na Duniani ni moja ya watumishi wachache wanafundisha kweli yaani
God kingdom kua open mind akutoe hizo virus utakuja kushuhudia hapa hapa!
 
Bro Roho na kweli ina maana wewe ndio shuhuda wa Roho yako na ukweli wote. Tunaweza kuwa tunasali na kushea kila kitu Lakin mawazo yako yapo gizani ndio maana Mungu anakuhtaji umwabudu katika Roho Yako na ukweli wako sio kwa kulazimishwa na utaratibu flan wa sheria au kanuni. Ndio maana Roho mtakatifu yupo free kwa yeyote atendae yale yote apendayo Mungu. So kazana kumjua Mungu na hiyo haki yake then uko salama. Na kwa kukusaidia Mungu hakutuita ili tuteseke ameahid tutapata mara mia hapa then baadae ule ufalme wa milele.
 
Pole sana mm siitaji chochote kinitoe gizani tofauti,na biblia,kuabudu na maombi basi. Mapokeo gani injiri gani mm ni mkkt na leo ni siku ya ibada,so hamna sijui mwalimu wala nani mwalimu wangu ni yesu.
Na kweli ni neno basi hamna kweli ,mm siyo wale wa kumtafuta suguye aniombee najiombea mwenyewe,
Sina mapokeo zaidi ya biblia,ndo inaniongoza mkuu na siitaji dhehebu wala dini tofaut na Kkt,niliyokulia na kunyonyea
 
Bro uwepo wa roho mtakatifu ni sawa na kusema uwepo wa Mungu, ndo mana kuna neno Mungu ni roho na wamubudio inawapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Ukimwabudu Mungu kwa roho atashuka akusikilize Mungu hana ubaguzi. Uwezi mtenganisha roho na Mungu ,so ukiona unaomba katika roho ujue unaomba katika Mungu.
Na kama unaomba katika Mungu sheria ni moja imesimama,
Wagalatia inasema "basi Msingi wa Mungu umesimama wenye Muhuri hii,Bwana anawajua walio wake na kila alitajae jina la Bwana na auache uovu"

Kuomba katika Mungu ni rahisi ukiungama na kuomba kwa dhati(Toba)
but kujazwa roho mtakatifu ni kipengele kingine, inawezekana hujawahi kukutana na Mtu mwenye roho mtakatifu,kujazwa roho si kunena kwa lugha mazee,unaweza kuwa mcha Mungu na usiwe na roho mtakatifu,
na roho ilizingua anasepa na kumrudisha ni mtiti, so kama ukijijua ww ni kama mm usiangaike kumtafuta,maana roho si likalabosika,
Note; unaweza kuwa unaneka kwa lugha lakini huna roho mtakatifu usijidangaye pili unaweza kuwa mcha Mungu na roho mtakatifu usiwe naye,
Roho mtakatifu ni viwango vya juu sana vya ucha Mungu,ambapo ukimwita Mungu dk unasikia sauti yake ,akisema mm hapa je ulishawahi sikia sauti ya Mungu?
Acha na hawa profecise wewe.....elimu hii ni ya kibabe sana .
Ndo mana nakwambia usichanganye ukiamua kula bata kula mazima usiache ukiamua kumcha Mungu,mche mazima,
Neno linasema "mwenye kuzurumu azidi kuzurumu,na mtakatifu azidi kutakaswa " unajua maana yake?
Usijifanye mtakatifu unaenda kanisani wakati umetoka kula demu jana yake sawa,bora kama unakula mademu kula sana ,lewa fanya starehe zote amua moja kama umeamua kumcha Mungu usidip utakosa vyote
 
Angalizo: Ukishakuwa na hela tafuta ama mganga au kinga ya imani, muda wowote unakuwa target ya matapeli wa kiimani.
Utaamua imani yako uikabidhi kwa mababu wa Abrahamu au mababu wa Kiafrika.

It seems hiyo familia haina mtoto wa kiume, ingekuwa mimi ningeshafanya neutralisation fulani kwenye njia za uongo uongo anakopitishwa mzee.
[emoji28][emoji28]
 
Dah,kwenye masuala ya dini bwana daaah,em tuachanane nayo kwanza kwasababu Kila mtu anamoyo wake [emoji28] Mimi hapa mpagani
 
Pole sana mm siitaji chochote kinitoe gizani tofauti,na biblia,kuabudu na maombi basi. Mapokeo gani injiri gani mm ni mkkt na leo ni siku ya ibada,so hamna sijui mwalimu wala nani mwalimu wangu ni yesu.
Na kweli ni neno basi hamna kweli ,mm siyo wale wa kumtafuta suguye aniombee najiombea mwenyewe,
Sina mapokeo zaidi ya biblia,ndo inaniongoza mkuu na siitaji dhehebu wala dini tofaut na Kkt,niliyokulia na kunyonyea
Haaaahaaaa Budda Yesu angekua mwalimu wako usingekua weak kihivyo
Kingine ungeijua Bible usingeendelea kuburuzwa hapo KKKT na wachungaji weak lazima wangekutimua sababu ungehatarisha maslahi yao,
mtu yeyote akiijua kweli atapingana na mifumo ya dini na madhehebu yake
Hicho ndicho kilichomfanya Yesu a battle conflict na mafarisayo
Wake up uijue kweli uwe Spiritual ndugu kuna mambo nikiweka hapa utavurugwa
Ushauri tu ukitaka ukomboke kifikra find truth!
 
Bro uwepo wa roho mtakatifu ni sawa na kusema uwepo wa Mungu, ndo mana kuna neno Mungu ni roho na wamubudio inawapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Ukimwabudu Mungu kwa roho atashuka akusikilize Mungu hana ubaguzi. Uwezi mtenganisha roho na Mungu ,so ukiona unaomba katika roho ujue unaomba katika Mungu.
Na kama unaomba katika Mungu sheria ni moja imesimama,
Wagalatia inasema "basi Msingi wa Mungu umesimama wenye Muhuri hii,Bwana anawajua walio wake na kila alitajae jina la Bwana na auache uovu"

Kuomba katika Mungu ni rahisi ukiungama na kuomba kwa dhati(Toba)
but kujazwa roho mtakatifu ni kipengele kingine, inawezekana hujawahi kukutana na Mtu mwenye roho mtakatifu,kujazwa roho si kunena kwa lugha mazee,unaweza kuwa mcha Mungu na usiwe na roho mtakatifu,
na roho ilizingua anasepa na kumrudisha ni mtiti, so kama ukijijua ww ni kama mm usiangaike kumtafuta,maana roho si likalabosika,
Note; unaweza kuwa unaneka kwa lugha lakini huna roho mtakatifu usijidangaye pili unaweza kuwa mcha Mungu na roho mtakatifu usiwe naye,
Roho mtakatifu ni viwango vya juu sana vya ucha Mungu,ambapo ukimwita Mungu dk unasikia sauti yake ,akisema mm hapa je ulishawahi sikia sauti ya Mungu?
Acha na hawa profecise wewe.....elimu hii ni ya kibabe sana .
Ndo mana nakwambia usichanganye ukiamua kula bata kula mazima usiache ukiamua kumcha Mungu,mche mazima,
Neno linasema "mwenye kuzurumu azidi kuzurumu,na mtakatifu azidi kutakaswa " unajua maana yake?
Usijifanye mtakatifu unaenda kanisani wakati umetoka kula demu jana yake sawa,bora kama unakula mademu kula sana ,lewa fanya starehe zote amua moja kama umeamua kumcha Mungu usidip utakosa vyote
Sasa kama ndivyo unahtajika uende UWATA ili uwe na huyo Roho
 
Ai
Haaaahaaaa Budda Yesu angekua mwalimu wako usingekua weak kihivyo
Kingine ungeijua Bible usingeendelea kuburuzwa hapo KKKT na wachungaji weak lazima wangekutimua sababu ungehatarisha maslahi yao,
mtu yeyote akiijua kweli atapingana na mifumo ya dini na madhehebu yake
Hicho ndicho kilichomfanya Yesu a battle conflict na mafarisayo
Wake up uijue kweli uwe Spiritual ndugu kuna mambo nikiweka hapa utavurugwa
Ushauri tu ukitaka ukomboke kifikra find truthAin
Yule ashakuwa mchungaji ana dhamna jomba, mm sipingi neno naenda jpili nakula neno nalichenjua fresh ili lenyewe ili miyeyusho nafanya yangu,cna uongozi hakuna yoyote anayejua chochote kuhusu mm nasali usharika mmoja hapa dar wenye waumini wengi ili kwanzia sitaki kujulikana pili sitaki kufatiliwa nikitoka ni usafiri wangu ,nasepa .
So habari Za nan kafanya nn hazinihusu
 
Sasa kama ndivyo unahtajika uende UWATA ili uwe na huyo Roho
Nani kakwambia uwata wanamiliki roho!
Kuna msemo wa kilutheli wanasema wokovu hauuzwi,
Hamna mtu anayeweza mmiliki Mungu ,uwata ni njia tu si lazima uwe uko !
Mungu anatafutwa popote,so mm naamtafuta kibinafsi si lazima,niwe wa uwata,
Na roho wa Mungu sina ,nasina Mpango wa kuwa naye karibu ila najitahid kuish kitakatifu ingawa si kitakatifu ya ile nionekane ni ile ya kibinafsi yani,
Yani na hata ukiniona popote najichanganya yoyote napiga naye story hata kama najua huyu Mwamba jini napiga naye story,ila maswala ya kiibada ni kibinafsi,naamini sana katika self choice
 
Ai

Yule ashakuwa mchungaji ana dhamna jomba, mm sipingi neno naenda jpili nakula neno nalichenjua fresh ili lenyewe ili miyeyusho nafanya yangu,cna uongozi hakuna yoyote anayejua chochote kuhusu mm nasali usharika mmoja hapa dar wenye waumini wengi ili kwanzia sitaki kujulikana pili sitaki kufatiliwa nikitoka ni usafiri wangu ,nasepa .
So habari Za nan kafanya nn hazinihusu
Kwanini yeye na sio wewe?
Huo ujinga ndio uliomfanya Kristo Yashua aje atufungue akili play your part open mind amini Habari za Ufalme na wewe uwe top command!
 
Kwanini yeye na sio wewe?
Huo ujinga ndio uliomfanya Kristo Yashua aje atufungue akili play your part open mind amini Habari za Ufalme na wewe uwe top comman

Kwanini yeye na sio wewe?
Huo ujinga ndio uliomfanya Kristo Yashua aje atufungue akili play your part open mind amini Habari za Ufalme na wewe uwe top command!
Kwahiyo wewe anataka wote tuwe wachungaji nani atakuwa kondoo kuamua kuwa mchungaji ni kubeba dhamana ya roho za watu na si moja zaweza kuwa elfu,mia,laki n.k na kila roho ukiipoteza utalipa.
Neno linasema anayejua kwa upanga atakufa kwa upanga,
Damu inalipwa kwa damu nani anataka hivyo, afu uchungaji ni wito mm professional yangu ndo wito wangu naudumia jamii kupitia hivyo.
So sitaki stress tusipangiane la kufanya
 
Hapa kuna uongo mwingi ndugu mtoa post. Kwanza UWATA si dhehebu bali ni kikundi cha watu wa madhehebu mbali mbali wanaojumuika pamoja kusali (fellowship). Kila mtu husali kanisani kwake. Hawafungishi ndoa wala hawabatizi, ndoa utafungisha kanisani kwako (katika madhehebu yako) ni watu wanaoheshimu dini za watu wengine na ni watii. Ni watu wasiopenda kuumiza wengine kabisa. Kujiunga na fellowship yao ni hiyari.

Wanachoamini.
1. Biblia ni NENO la Mungu. Hivyo kila ajiungae huamini hivi si kwa kulazimishwa bali kwa kujua hivyo na kuamini mwenyewe.

2. Mwanauwata anaamini kuwa YESU Kristo ni mwana wa Mungu alizaliwa, akaileta injili kwa ajili ya kumkomboa yeyote amwaminie, akasulubiwa msalabani akafa akazikwa akafufuka na yu hai sasa, naye atawahukumu wote ambao hawakumwamini na kuishi uovu.
3. Wanaamini wokovu ni kwa Yesu tu , na kuufikia ni kutubu, yaani kuungama dhambi na kuzicha. Biblia, Mithali 28:13. Azifichae dhambi zake hatafanikiwa bali yeye aziungamae na kuziacha atapata msamaha.

4. Wanaamini kuwa kuishi wokovu wa Kristo Yesu ni kuwa na amani na watu wote. BIBLIA, Webrania 12:14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao;

5. Wanaamini kabisa kuwa familia ilianzishwa na Mungu, hivyo wao hawawezi kamwe kufusa ama kuharibu familia.

Kwa haya tu sidhani kama ndio hao au ni impersonation imefanywa na hao watu wabaya wanaojiita uwata lakini si UWATA niwafahamuo.
Mkuu umejibu hoja vyema kabisa sina cha kuongezea hapa
 
Mimi hapa nilikuwa UWATA japo sasa hivi nakunywa bia. Ulichozungumza mtoa mada napata ukakasi kwa sababu UWATA kama UWATA hawana mamlaka ya kufungisha ndoa bali utafungia kwenye kanisa lako mama.
UWATA wanakutanika faragha kila siku na kufundishana neno la Mungu ili kutimiza andiko lililoandikwa "kutanikeni kila siku maadamu iitwapo leo"
Tuendelee kunywa bia tuu😃😃
 
Back
Top Bottom