Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Ungeenda kwa mwaki ndio uhakika
 
Aisee
 
Wengine wanaitwa MAGARI RAHISI ni matapeli kama hao.

Nakushauri tafuta wakili file kesi. Kuna form unajaza ya mahakama kuu hao ndani ya mwezi wasipokulipa anatafutwa broker wanauza mali za kampuni mpaka hela yako irudi na kampuni inafungiwa.
 
Kiukweli mimi gari siwezi kukubali uniagizie, mi nakuja showroom kwako unipe gari nikupe
Pesa.
Dah! hakuna gari naziogopa kama hizo za showroom, bongo ujanja ujanja mwingi.........kwa makampuni kama BF unachagua mwenyewe gari kwenye website, wanachofanya ni kukuletea hiyo gari baada ya kulipia gharama zote za gari pamoja na pesa yao ya uwakala.......unalipia kupitia benki kwa hiyo unakuwa na ushahidi wa malipo nk..
 
Mi ndio natumia njia hiyo, naenda na fundi, tunakagua gari na kulitest, nalipa naondoka nalo, kadi nafuta kesho kutwa yake
 
Umenifurahisha sana ..hizo ndio huwa pigo sitakagi mchezo kwenye pesa...mtu akinidhurumu mimi basi ajiandae kulala macho
 
Kampuni bora kabisa ya kuagiza magari nchini ni Garnite Co. Ltd - "Better Way and Beyond Standards". Wapo Mwenge Tower ghorofa ya 4 mkabala na Mlimani City.

Ila Mkuu Wanasheria tupo. Una kesi nzuri sana ambayo inaweza kukupatia fidia ya kukuwezesha kupata gari lingine la ziada.

Play your part, it can be done.
 
Kesi ni kufaidisha watu, dawa ni kumfanya alale macho maisha yake yote
 
Samahani mkuu eleza hapa anachotakiwa kufanya, sio mumvutie huko PM mkamning'inize tena, no offense.

Mimi habari zangu mtazisoma kwenye gazeti la jumatatu wiki ijayo maana nitakachofanya hakitakua siri. Mil 5 na laki 4 ni pesa nyingi sana kwangu. Si mnaelewa vile moto umetumika kuresolve mambo mengi recently ee.. basi moto utasolve na langu.

Mkisikia tu habari za kufanana na kariakoo, karume, mapipa, cask (Mwanza), soko la katoro, ukumbi wa bunge Afrika kusini, msijiulize mengi.
 
Wabongo bado hatujafikia hatua hiyo, ukiona mambo ya lipia kwa awamu, ogopa sana
Hata kwenye viwanja lipa kwa awamu kampuni moja inaitwa VKP ya Yona kanipiga milioni 6 kawapiga watz 250 jumla ya bilioni 1.200 kesi ipo mahakamani hana hata kumi ya kutulipa sijui pesa alikuwa anapeleka kwa mpalange? Huyu ukimloga utakosea kweli watu wamepigwa milioni 20,30,nk.
Mswahili ajawahi kuwa seriously.
Hii kampuni ya magari tangazo lao linavutia kweli kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…