Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

Status
Not open for further replies.
Bwana IYENYI hapana,mimi asinifuate,nimemshauri tu nini afanye,zaidi ya hapo afuate taratibu za Demand Note Mahakamani nk maana anasema Ushahidi wa Mikataba anao,lakini kiukweli kuchukua Ml.5 ya mtu kisha kumwambia nenda popote hutanifanya kitu chochote si sawa,dawa ya jeuri ni kuwa jeuri zaidi yake
 
Mwanajf mmoja akiibiwa ni sawa na tumeibiwa wote ngoja kwanza twende kwenye page yao tukakichafue tuone wanatokea wapi
mkuu umeongea point, kama watu wote tutakua na moyo huu matapeli watakua na wkt mgumu. Wote jf tuingie kwny peji zao zote tuwachane makavu live lazima wazikimbie hizo peji. Ktk hizi social media hakuna kitu kina nguvu kama reviews, tukiwaaribia kwny reviews ujue biashara imekufa hapo.
 
Nilikuwa na-chart na jamaa wa hiyo Kampuni,wamenijibu hivi kuhusiana na suala la muanzisha Uzi
 
Mwaka 2015 Tsh 2.5m, ilikua pesa nyingi sana?
 
Sijamaanisha kumroga, bali kufanya maisha yake yote akose amani, na siku ya siku akijisahau unamtafutia watu wasiojulikana
Nimekuelewa mkuu. Ila watu wasiojulikana tena! Si ni kuua huko, au unataka wamtese tu [emoji3] ..
 
Asantee
 
Pole sana. Naona wewe watu wanapenda kukutapeli. Kuna Uzi mmoja umetapeliwa laki tano kwa kumuamini mtu ambaye ndio kwanza umemuona. Tahadhari sana binadamu wa sasa siyo wema.
 
Mwaka 2015 Tsh 2.5m, ilikua pesa nyingi sana?
Pesa nyingi ni subjective mkuu.. Mkulima wa jembe la mkono kijijini ukimwambia laki tano ataona ni pesa nyingi na ukimuibia anaweza kuona umeyakatili maishi yake, kuna mwajiriwa anatumia hizo kwenye outing yake. Bakhresa ukimwambia bilioni 1 mtu kaiba kwenye biashara zake anaweza kwenda bila kuwaza wakati kwako inaweza kuwa life dream.
 
Weka slip ya bank hapa na hiyo mikataba na namba za waliokuambia nenda popote. Kama maelezo ni kweli Story ikiwa balanced itakula kwao......

Humu kuna majabali zaidi yao, wakiamua kukupa msaada utaona tu muamala wako wala hata hawatakuambia ilikuaje. Ila lazima story iwe balance na wao wasikilizwe halafu maelezo yako yawe sahihi isije kuwa umeficha ficha mambo kuvutia upande wako.
 
Pamoja na utapeli uliopo kwenye biashara ya "kulipia kidogo kidogo" bado ni biashara yenye faida kubwa. Pakiwa na investor mzuri, bonge la biashara iwe ni viwanja au magari.
Utapeli upo kila sehemu hata kwenye viwanja vya kulipia mkupuo mmoja, vifaranga n.k
 
Ulaya, Marekani na nchi nyingi zilizoendelea watu wanamiliki gari mpya na nyumba nzuri kwasababu ya utaratibu huu mortgage/finance kununua cash gari mpya ni wachache sana wanaweza ndio maana tunaishia magari ya 2003 hadi leo tunashikana mashati!
 
Kudadekiiiii hivi ndIo wanavyotakiwa kufanyiwa wangese hawa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…