Uwekezaji nyumba za kupanga

Mimi nipo geita kwenye dhahabu hakuna wepesi huo asikuongepee mtu dhahabu sio lele mamá unakufa uku unatembea
Ila kweli biashara ya madini mmmh ni tabu tupu, mie baba angu mdogo kaanza tangu 2008, lakini amekuja kutoka mwaka juzi ndo tumeanza kuona ewaaaah sasa mambo mukideeh.
 
Ila kweli biashara ya madini mmmh ni tabu tupu, mie baba angu mdogo kaanza tangu 2008, lakini amekuja kutoka mwaka juzi ndo tumeanza kuona ewaaaah sasa mambo mukideeh.
Appolo
 
Kabla mpangaji hajaingia una msainisha pia mkataba wa kama akiharibu vitu ndani ya nyumba mfano mabomba,vitasa etc
Kuna uharibifu fulani ni wamakusudi

Ova
Kwa wapangaji wa kibongo hata kama utamsainisha mkataba wa namna gani atakuachia lijumba lako na defects (uharibufu) kibao na hutakuwa na cha kumfanya zaidi ya kusonya na kuumia roho. Labda umwekee ulinzi masaa 24! 😀 😀 😀
 
Mimi nina ref na hili wadau ndio nikaona niwadondoshee hii fursa kama mtu una uwezo huo lakini kama hauna kawekeze kwenye mambo mengine kama anavyosema mdau chunya na geita kwenye dhahabu alafu uje kutupa mrejesho ila atakayefanya hii atanikumbuka
 
kama umeshinda kabisa jenga chumba choo na siting room hizi zipange kama tano bei kupanga laki na nusu jengo la kwaida tu la 40m hivi
 
Mimi nina ref na hili wadau ndio nikaona niwadondoshee hii fursa kama mtu una uwezo huo lakini kama hauna kawekeze kwenye mambo mengine kama anavyosema mdau chunya na geita kwenye dhahabu alafu uje kutupa mrejesho ila atakayefanya hii atanikumbuka
Hii kuna watu wamelifanya na Faida inaonekana..
Biashara zinafanyika ila wakati wote roho iko juu,kila siku afadhalu ya jana

Ova
 
Yaani wewe dada natamani nikuone unipe maujanja
 
Hii biashara ni nzuri ila kiongozi kwa hio pesa uliyoweka hapo kwa mwezi wewe unataka upate shilingi ngapi maana inaweza kuja kuchukua muda mrefu zaidi mpaka kuja kuirudisha
Kibiashara napendelea kupangisha kwa siku zaidi kuliko kwa mwezi
 
Kuna biashara ukiziwaza unaona kwa mazingira yetu bado hazina uhakika, Real Estate kwa Tanzania bado sana haijafikia kiwango cha kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…