Idea zako ni nzuri tu na unaweza kuja na ushuhuda pia , ila tatizo si kila mtu ana mtaji ulio nao ,kama umeshinda kabisa jenga chumba choo na siting room hizi zipange kama tano bei kupanga laki na nusu jengo la kwaida tu la 40m hivi
Kwanini haya usiwaambie huko DM? Yaani mtu aje DM kuomba ufafanuzi wa biashara ya nyumba za kupanga? Kuna technic gani zaidi ya kuwa na hela na kujenga nyumba na kuzipangisha? Location ndio ina determine kiwango cha Kodi. Na mfuko wako ndio uta determine location utakayoweza kujenga. It's not rocket science.Kuna Wanaokuja dm wanataka ufafanuzi zaidi sasa sijui ufafanuzi upi naomba labda muulizeumaswali hapa ili wengine wanisaidie kujibu
M.b.w.e.m.b.w.eKwanini haya usiwaambie huko DM? Yaani mtu aje DM kuomba ufafanuzi wa biashara ya nyumba za kupanga? Kuna technic gani zaidi ya kuwa na hela na kujenga nyumba na kuzipangisha? Location ndio ina determine kiwango cha Kodi. Na mfuko wako ndio uta determine location utakayoweza kujenga. It's not rocket science.
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.
Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya vyumba 3 ambayo bajeti fanya 50m alafu ya vyumba 2 hii weka bajeti 35m alafu za vyumba kimoja fanya mbili kwa 50m hapo mradi umekamilika unaanza kusubiri return.
Ndo nini?Appolo
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]umevuka hata u motivation speaker we sijui tukuite nani
Ni Mara 100 achukue hizo 150M ununue bajaji utapata Bajaji kama 18 hivi ndani ya miaka 2 utakuwa umerudisha hela yako na faida kama 40M pia hizo bajaji utakuwa umebaki Nazo kama assets ambazo unaweza uza muda wowote,ambapo hata ukiziuza kwa bei ya hasara ya 3M@ utapa 54M plus 40M utakuwa na faida ya 94 M ndani ya miaka 2.Hesabu zako uko sawa. Ila mwingine ndio anapiga hesabu awekeze 150m halafu apate 1.1m kwa mwezi anaona sio sawa. Just imagine mwaka mzima unasubiri 13.2m wakati umeweka 150m.
Duh biashara ya vyombo vya moto ina wenyewe.Ni Mara 100 achukue hizo 150M ununue bajaji utapata Bajaji kama 18 hivi ndani ya miaka 2 utakuwa umerudisha hela yako na faida kama 40M pia hizo bajaji utakuwa umebaki Nazo kama assets ambazo unaweza uza muda wowote,ambapo hata ukiziuza kwa bei ya hasara ya 3M@ utapa 54M plus 40M utakuwa na faida ya 94 M ndani ya miaka 2.
😀😀 mibajaji ilivyojazana kitaa uongwze rundo 18?🤸♂️! MaybNi Mara 100 achukue hizo 150M ununue bajaji utapata Bajaji kama 18 hivi ndani ya miaka 2 utakuwa umerudisha hela yako na faida kama 40M pia hizo bajaji utakuwa umebaki Nazo kama assets ambazo unaweza uza muda wowote,ambapo hata ukiziuza kwa bei ya hasara ya 3M@ utapa 54M plus 40M utakuwa na faida ya 94 M ndani ya miaka 2.
Mkuu safari hii nibebe twende wote nikajifunze hiyo biznessHiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Haina shida ...tutachekianaMkuu safari hii nibebe twende wote nikajifunze hiyo bizness
Easy like that?Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Weka bank fixed 150m unavuna kiasi gani
😀😀😀! Njoo geita uwaone wahindi wanavyopiga hela huku pemben wanakunywa gahawa mkuu..na wanyantuzu! Hakuna kitu rahisi maishani lakini hizi figures zipo...ningekuwa mwandishi wa habari ningewarekodi nikaitupia humu..bahati mbaya hawaniamini hata kidg wananiona mpelelezi😆!Easy like that?
Wahindi na wanyantuzu kupiga pesa na figures siyo issue.Mimi mnyalukolo mwenzako nataka intro ya dili M50 iniingizie M15 kwa mwezi yaani nashika faida M60 kwa miezi minne baada ya matumizi yote na kodi za TRA na hongo za hapa na pale.Vipi kuhusu usalama haikutoki gharama yoyote bila koneksheni?Kwa hiyo kila mwezi ni lazima M15 faida au hakuna miezi yenye hasara?😀😀😀! Njoo geita uwaone wahindi wanavyopiga hela huku pemben wanakunywa gahawa mkuu..na wanyantuzu! Hakuna kitu rahisi maishani lakini hizi figures zipo...ningekuwa mwandishi wa habari ningewarekodi nikaitupia humu..bahati mbaya hawaniamini hata kidg wananiona mpelelezi😆!
Hizo fig zipo vinyantuzu vidogooo vinapiga hzo figures!
Kuna miezi mibovu balaa...miez ya mvua...ukaukaji wa mawe huwa kizungumkuti! Miez ya mvua ndo unatumia kurelax! Kuanzia june had jan unakimbizana hatari!Wahindi na wanyantuzu kupiga pesa na figures siyo issue.Mimi mnyalukolo mwenzako nataka intro ya dili M50 iniingizie M15 kwa mwezi yaani nashika faida M60 kwa miezi minne baada ya matumizi yote na kodi za TRA na hongo za hapa na pale.Vipi kuhusu usalama haikutoki gharama yoyote bila koneksheni?Kwa hiyo kila mwezi ni lazima M15 faida au hakuna miezi yenye hasara?
Acha theory issues kijana, kuna siku utasimama nje ya fensi unatusi nyumba yako ukiwaza jinsi ilivyokula hela ila iko mikononi mwa mdalali halaf wanakuja na wapangaji wanaangalia na kupita zao.Chukua mf hapo umezijenga dodoma kodi kwa ujumla wake hii ya vyumba vitatu fanya laki 4 hizi vyumba kimoja laki 4 hii ingine laki 3 total 1.1m kwa mwezi mara 12 ni karibu 1320000 kwa mwaka