Matapeli hao, wamehisi una hela, halaf mishe za humu za kufatana inbox nshaziona za kiduwanzi sana..na wenye tabia hizo utasikia niko ulaya ndugu zangu hawana exposure kiviile so tunaweza fanya ushirikiano na ww hapo Tz tufanye mambo.Kuna Wanaokuja dm wanataka ufafanuzi zaidi sasa sijui ufafanuzi upi naomba labda muulizeumaswali hapa ili wengine wanisaidie kujibu
Pia kuna kuwekewa dhahabu feki[emoji1] au kudakwa na majambazi .Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!
Kweli akili ni nywele!
Inatakiwa capital kiasi gani kwa kuanzia dear?Haina shida ...tutachekiana
Anadhan watu watoto huyu jamaa wa theory zakeM.b.w.e.m.b.w.e
Wity haya mambo ni akili yako ilivyo sharp...! Usihadaike na 50m...! Sema hyo amount utafanya kazi bila presha ya kukimbia wateja ..lakini kama ushanunua vifaa vyote husika hata 10m unajitupa tu...
Sawa!Pia kuna kuwekewa dhahabu feki[emoji1] au kudakwa na majambazi .
Au kudhulumiana [emoji1]
Kila biashara na utamu wake na uchungu wake
Ni swala la kuchagua wapi ucheze[emoji1787]
Ok dearWity haya mambo ni akili yako ilivyo sharp...! Usihadaike na 50m...! Sema hyo amount utafanya kazi bila presha ya kukimbia wateja ..lakini kama ushanunua vifaa vyote husika hata 10m unajitupa tu...
Unajitafutia presha ufe mapemaNi Mara 100 achukue hizo 150M ununue bajaji utapata Bajaji kama 18 hivi ndani ya miaka 2 utakuwa umerudisha hela yako na faida kama 40M pia hizo bajaji utakuwa umebaki Nazo kama assets ambazo unaweza uza muda wowote,ambapo hata ukiziuza kwa bei ya hasara ya 3M@ utapa 54M plus 40M utakuwa na faida ya 94 M ndani ya miaka 2.
Hapa sio vya kuchimbia tena....hapa ni jiko...yaan ww unaletewa dhahabu unaipima ubora wake unanunua! Kwahiyo hapa ni jiko na mzani wake...na mtungi ule mkubwa wa gesi,.haipungui 10m-15m! Na vibakuli vya kuchomea dhqhabu..kuna vibakuli.vyake maalumu maana kitu kinachomwa kwenye moto mkali!mara ya mwisho vibakuli bei ilikua 300k...hapo lazima uwe navyo si chini ya 6! Mzan wa kusoma purity ya dhahabu...mara ya mwisho ulikua btn 7-10m!hapa wanadai ya dubai ndo bora than china!Ok dear
Na vifaa vyote vya kuchimbia vinaweza cost kiasi gani?
Am real interested but no idea[emoji1745]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tunaoishi chini ya dola moja tutapotea wapi masikini!!!!Mkuu
Kwa mahesabu ya harakaharaka hapo ni umewekeza 155000000 kwa income ya 1000000 kwa mwezi sawa na 33000 kwa siku..hapo ni sawa kweli!!!!!!!!!!!!!Hujanishawishi bado.
Mbona tushavuka chini ya dola mkuu? Hujui tuko uchumi wa kati?Tunaoishi chini ya dola moja tutapotea wapi masikini!!!!
DuHapa sio vya kuchimbia tena....hapa ni jiko...yaan ww unaletewa dhahabu unaipima ubora wake unanunua! Kwahiyo hapa ni jiko na mzani wake...na mtungi ule mkubwa wa gesi,.haipungui 10m-15m! Na vibakuli vya kuchomea dhqhabu..kuna vibakuli.vyake maalumu maana kitu kinachomwa kwenye moto mkali!mara ya mwisho vibakuli bei ilikua 300k...hapo lazima uwe navyo si chini ya 6! Mzan wa kusoma purity ya dhahabu...mara ya mwisho ulikua btn 7-10m!hapa wanadai ya dubai ndo bora than china!
Sasa hii biashara lazima ujue hesabu! Hesabu zikikuchenga tunaambizanaga ....kuna zile kodi(mirahaba) ya serikali 7% usipoipigia hii mm.daily nakuletea mzigo maana ntapata faida nzuri mno daily....! So unawekq mtu walau wa form 6!
Yaan unaweza nunua mzigo wa 1m lakini makato yanafika hata 213,000! Sasa ww ukinipa yote 1m imekula kwako...Usipoikata hii ww utaning'inizwa mbeleni.itakula kwako!
Kakola kuna jiko walimuweka kilaza tulikula hela mno mno!
Hii shoga angu haina kuchafuka[emoji39]!hii hata ukibandika kucha haiswii[emoji3]!.uko ofisini na "dell" yako na kiyoyozi kikali kwa draw kuna kama 70m zinasubiri kuondoka[emoji3059]!tena na ulinzi wa mitutu kbs nje!
Siri ya hii biashara uwe na kauli nzuri...utapata wateja wanapanga folen kwako....! Na uwe loyal...mfano...mteja anakuletea dhahabu katoka nayo sehemu A, kila mchimbaj anajua area hii dhahabu zinasoma kuanzia asilimia 80_93%..ss wewe uje umshushe umwambie inasoma 75 hakika utamfukuza...ofcourse wanaibia hapo ila hakikisha hupishan naye saaana! Dhahabu ikisoma safi mfano 92% unauzia bei ya juu zaidi ya iloyosoma ya chini! Sasa wenye majiko wanachezea yale maji ya kupimia dhahabu...! Mtu anaamua kurudi na mzigo wake...!
Ah nna njaa mie !hope kidogo dogo utapata mwanga!
Usiingie kama una hofu nazo...!...sikiliza nafsi mkuu!Du
Umenishawishi .... Napenda sana biashara zenye maelezo yaliyonyooka kama haya, japo naogopa sana biashara ya hizo precious stones, haki sijijui kabisa
Mkuu
Kwa mahesabu ya harakaharaka hapo ni umewekeza 155000000 kwa income ya 1000000 kwa mwezi sawa na 33000 kwa siku..hapo ni sawa kweli!!!!!!!!!!!!!Hujanishawishi bado.
Utawaliza wenzio dada angu..hyo biashara inataka uwe umeifanya..ishakutia hasara.ukaamka ukaanza tena..unaijua kinaga ubaga..from there ukiwekeza pesa yoyte lazima ikulipe..ila..hao wanaotaka kuwekeza pesa kwa ushaur wako huo..wametoka zao kidimbwi wanataka ingia site..Usiingie kama una hofu nazo...!...sikiliza nafsi mkuu!
Kumbe unadhani niko hapa ili kumvuta mtu aje kwa mgongo wangu?.? Unakosea...tena umenikosea mno! Humu kuna zaidi ya watu 10 walitaka niwashike mkono nikawapotezea.na wenyewe wanajua ...ajitokeze mtu hapa aseme kama tulishakubaliana aje machimboni kupitia mimi...daily nasema nenda kwanza migodini ukasome mchezo unavyoenda...! Narudia sijawah na sitawah kumpokea mtu kwa mgongo wangu..never...! Mwenzako nilisoma mchezo 3mths nikajitupa kukimbiza mwalo nk nk!na nilianguka pia...hakuna biashara isiyo na changamoto... Siko hapa kumvuta mtu mzee !Utawaliza wenzio dada angu..hyo biashara inataka uwe umeifanya..ishakutia hasara.ukaamka ukaanza tena..unaijua kinaga ubaga..from there ukiwekeza pesa yoyte lazima ikulipe..ila..hao wanaotaka kuwekeza pesa kwa ushaur wako huo..wametoka zao kidimbwi wanataka ingia site..
Watalia na kusaga meno.
Mi nishafanya hyo kitu ila kwenye gemstones na dhahab kidogo...so naijua vizuuur...michezo ni ming mno kule.
Na ndomana tunashaur kama mtu anataka ingia huko..wala asiingie na hela nying..kdogo tu..ili akipigwa wimbi zile awe hajaumia sana...
Kama ni mtu wa mawe utakuwa umenielewa najua.
πππwametoka zao kidimbwi wanataka ingia site..