Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Ni everyday Business utatengeneza Everyday money ambazo wengi wanatengeza...Hutapata pesa nyingi zilizo kwenye Main Stream zile za kuweka Dell mezani una 70M kwenye droo 😂😂😃(ila watu).... kumbuka ume Shift toka mkoa moja mpaka mwengine nategemea usi shift kinyonge kama Mkuu wangu WM alivyo shift Moro to Geita.Aah. Hzo ni sustainable ndugu yangu..hzo zingne hazitak ukosee hata a minute...inakula kwako...na zinahitaj uzijue kwerikweri in magus voice....si umeona breakdown aliyoifanya wangar pale juu..mambo meng inabid uwe makin nayo hasaaa...
Najua nikiweka ofis ina hayo matakataka..ma pump.magenerator.vilipuz.crushers kadhaa.na mahitaj mengne ya kule.pombe.sigara etc etc..na unahakikisha unaenda kwenye migod active ile watu kibao..tunaitaga milio..yaan sehem yenye mlio.yaan imelipuka watu wanafanya yao..huko mahitaj ni meng sanaa
Katika ubora wangu sitaja move toka DSM to IRINGA kuwafungulia mgahawa PLAYER wanao DEAL na mbao Nitaenda kuwa PLAYER wa mbao na mimi.