Uwekezaji nyumba za kupanga

Uwekezaji nyumba za kupanga

Aah. Hzo ni sustainable ndugu yangu..hzo zingne hazitak ukosee hata a minute...inakula kwako...na zinahitaj uzijue kwerikweri in magus voice....si umeona breakdown aliyoifanya wangar pale juu..mambo meng inabid uwe makin nayo hasaaa...

Najua nikiweka ofis ina hayo matakataka..ma pump.magenerator.vilipuz.crushers kadhaa.na mahitaj mengne ya kule.pombe.sigara etc etc..na unahakikisha unaenda kwenye migod active ile watu kibao..tunaitaga milio..yaan sehem yenye mlio.yaan imelipuka watu wanafanya yao..huko mahitaj ni meng sanaa
Ni everyday Business utatengeneza Everyday money ambazo wengi wanatengeza...Hutapata pesa nyingi zilizo kwenye Main Stream zile za kuweka Dell mezani una 70M kwenye droo 😂😂😃(ila watu).... kumbuka ume Shift toka mkoa moja mpaka mwengine nategemea usi shift kinyonge kama Mkuu wangu WM alivyo shift Moro to Geita.

Katika ubora wangu sitaja move toka DSM to IRINGA kuwafungulia mgahawa PLAYER wanao DEAL na mbao Nitaenda kuwa PLAYER wa mbao na mimi.
 
Kuna mtu pale juu Kasema amechukua miaka 10 kujifunza biashara moja na ana miaka 40, najaribu kuwaza amefikiria nini kuishi na falsafa za namna hiyo kwenye biashara, nachojua unatakiwa kufahamu biashara zaidi ya moja kwa mfano unajiongeza kwenye mazao kwamba alizeti singida ni msimu fulani ni mavuno gunia ni 50 ukinunua june unakomaa december na january inafika laki moja hivo faida asilimia zote hapo ni issue ya stock
 
Ni everyday Business utatengeneza Everyday money ambazo wengi wanatengeza...Hutapata pesa nyingi zilizo kwenye Main Stream zile za kuweka Dell mezani una 70M kwenye droo [emoji23][emoji23][emoji2](ila watu).... kumbuka ume Shift toka mkoa moja mpaka mwengine nategemea usi shift kinyonge kama Mkuu wangu WM alivyo shift Moro to Geita.

Katika ubora wangu sitaja move toka DSM to IRINGA kuwafungulia mgahawa PLAYER wanao DEAL na mbao Nitaenda kuwa PLAYER wa mbao na mimi.
Hahaha...ni kwel mkuu...anewei..mi kurud kule sidhan..labda nipate hela nying ..mtaj mkubwa..halaf niwaajiri watu kama wangar kama wa3 hiv ambao wao wanaijua biashara vilivyo niwalipe mshahara...wai manage hyo biashara...

Hata hvyo kurud huko sidhani....mi nishajikita urban huku na michongo yake..michongo ya huku ni ming sana..ila inahitaj akil nying sana na ukiipatia aisee we ni kutanua branches tu...mim sasa hiv nipate hyo 150m....nauhakika wa kufungua magoli yangu mengne kama 40-50 hiv...kila goli likinipa 100k a week nna hela nying sana...na hayo magol yangu kwasasa ni sustainable sabab nimeshaimasta hyo biashara.
 
Kuna mtu pale juu Kasema amechukua miaka 10 kujifunza biashara moja na ana miaka 40, najaribu kuwaza amefikiria nini kuishi na falsafa za namna hiyo kwenye biashara, nachojua unatakiwa kufahamu biashara zaidi ya moja kwa mfano unajiongeza kwenye mazao kwamba alizeti singida ni msimu fulani ni mavuno gunia ni 50 ukinunua june unakomaa december na january inafika laki moja hivo faida asilimia zote hapo ni issue ya stock
Binafsi mm nilishindwa stick na biashara moja...
Yaan itakuletea umaskini tu!..siwezi kbs
 
Hahaha...ni kwel mkuu...anewei..mi kurud kule sidhan..labda nipate hela nying ..mtaj mkubwa..halaf niwaajiri watu kama wangar kama wa3 hiv ambao wao wanaijua biashara vilivyo niwalipe mshahara...wai manage hyo biashara...

Hata hvyo kurud huko sidhani....mi nishajikita urban huku na michongo yake..michongo ya huku ni ming sana..ila inahitaj akil nying sana na ukiipatia aisee we ni kutanua branches tu...mim sasa hiv nipate hyo 150m....nauhakika wa kufungua magoli yangu mengne kama 40-50 hiv...kila goli likinipa 100k a week nna hela nying sana...na hayo magol yangu kwasasa ni sustainable sabab nimeshaimasta hyo biashara.
Kwani mpaka sasa umefika goli la ngapi Mkuu maana tulikubaliana mpaka lini vile utakuwa na mangapi sijui.

Na kariakoo ushaingia
 
Duh...tumetofautiana...100k in a week? Hapana...! Ntakujia pm siku moja!
 
Theory na practical ni vitu viwili tofauti, na kikubwa maisha ya utafutaji usikate tamaa lakini jitahidi kujifunza kila siku, ndio maana unaanza na mtaji mkubwa lakini biashara inakufa na mwingine anaanza na mtaji mdogo biashara inakua na anafanikiwa kwenye biashara ileile wewe uliyopata hasara, na bila kuanguka hauwezi kujifunza kitu, ukianguka ukakata tamaa umekwenda hivo lakini pia kua na uzoefu na biashara zaidi ya moja,
hapo nimereflect hesabu za makaratas anazotupigia mtoa mada vs uhalisia wa biashara husika,hajaconsider risk na ongezeko la gharama za uendeshaji wa mradi husika,ameangalia income kwanza badala ya strength ya biashara
 
Kwani mpaka sasa umefika goli la ngapi Mkuu maana tulikubaliana mpaka lini vile utakuwa na mangapi sijui.

Na kariakoo ushaingia
Yapo 10 sasa...lisema had 2022yawe 30..naona speed inapungua..si mchezo..nataka nikope niyapige kama 10 mengne kwa mpigo ila mawazo yanakua meng..mi na kukopa ni mbalmbal
 
Duh...tumetofautiana...100k in a week? Hapana...! Ntakujia pm siku moja!
Magol ya mitaj midogo hyo...mi nna uwezo wa kuwela 1m ikanipa elf50 kila week..bila stress bila mim kua involved na chochote..mi napiga sim au kuzungukia maeneo....untraced..no TRA no nothing..kama machinga tu.ila ndo hvyo..ni kila week 50k....sasa ukidouble mtaj huo manake una 100k..ukidouble una 150k...mi nacheza humo..doing corporate niliacha manaa kubembelezana kwing vingereza ving...connection kibao za kujipendekeza...mi nafanya kitu basic need utake usitake utafanya tu..na sio chakula wala nn..sasa hapo ndo akili ilibid itumike baada ya mda mref wa failures
 
😂😂😂viingereza vingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]viingereza vingi
Vingereza ving..suti za hapa na pale picha nying za ofisini.instagram.business card za kutosha.tai nyiiing.maneno mengiiii...halaf unapata kaz aliekupa kaz had akulipe ni mshasumbuana vya kutosha..serikalin ndo utadai had ufe....
 
Sasa Mkuu kama una magoli alafu unasema hayo magoli sio lazima uwepo ili yaende ndio muda sasa wa kujenga Corporate au ukiona ganzi chukua Online Hustle uishi kama Calfornia.
 
Hiyo 50m mimi naingia Geita au Chunya nakuwa na jiko kabisa..nakusanya dhahabu naenda June hii mvua imekata mashimo yanaishia maji uhakika wa kupata mzigo mwingi ni mkubwa kbs ila siku nanunua dhahabu. End of of month nna faida sio chini ya 15m tukitoa na kodi!

Kweli akili ni nywele!
Unanunua tail au

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sasa Mkuu kama una magoli alafu unasema hayo magoli sio lazima uwepo ili yaende ndio muda sasa wa kujenga Corporate au ukiona ganzi chukua Online Hustle uishi kama Calfornia.
Yakifika 30 nafufua kampun yangu..ipo tayar ila ilipumzika kdogo..na hata ikirud ntafanya michongo flan si ya kubembelezana...ntafanya exports /imports basi..

Mambo ya corporate vikaz kaz vile vya mabank sjui deal la kuprint nin za bank.mara corporate marketing ya bidhaa gan sjui..mara event management etc etc...kaz za kubembelezana...kuna ofisi flan had leo nawadai kama 4m hiv...mwaka wa 3 huu. ...sasa 4m si hela ndogo..kaz za kuoneana huruma
 
Yakifika 30 nafufua kampun yangu..ipo tayar ila ilipumzika kdogo..na hata ikirud ntafanya michongo flan si ya kubembelezana...ntafanya exports /imports basi..
Nice Niche
Mambo ya corporate vikaz kaz vile vya mabank sjui deal la kuprint nin za bank.mara corporate marketing ya bidhaa gan sjui..mara event management etc etc...kaz za kubembelezana...kuna ofisi flan had leo nawadai kama 4m hiv...mwaka wa 3 huu. ...sasa 4m si hela ndogo..kaz za kuoneana hurumao
B2C, nice Model.
 
Back
Top Bottom