Uwekezaji wa vyumba vya kupanga, mrejesho wa uwekezaji

Hii biashara ni nzuri hasa ukiwa kazini na mambo yako yanakwenda vzr.

Wakati naanza maisha nilikopa then nikajenga nyumba ya 3 rooms,

Baadae nikaongeza nyumba 2 za
wapangaji ya chumba na sebule

Kwa sasa nimepangisha zote, nyumba kubwa 270,000 na nyumba ndogo 2 kwa 150,000 each. Kila baada ya miezi mi3 nikawa nachukua hela

Matokeo
Niliweza Jenga nyumba self ya 2 bedroom for 2 yrs kutumia hela ya Kodi (of course iliegemea ukuta so initial cost nilikuwa nimeiweka na maybe plus small addition from mfukoni kwangu)

Kwa sasa nachukua Kodi ya 800,000 kwa mwezi na nazipokea kila baada ya miezi mi4.

Kwa sababu Niko kazini, all is going well na target yangu nikumaliza haka kamjengo Ka 2bedroom nilikokaanza mwaka huu kwa hela ya pango Tu. Yaani faida ya kuoangisha najengea.
 
Hongera sana. Ungeweka na kajiko kadogo ka kizushi ungeweza kulamba kodi kubwa zaidi. Hapo inabidi wapikie nje...
 
Ok safi sana mkuu. Fursa nzuri hii.
 
Afadhali leo nimemjua member wa JF wa kwanza kiuhalisia, nimempangiehia my small wife hapo. Tukikutana sijui itakuwaje maana mwezi mtukufu unaanza! Dah ngoja nikukwepe hadi mwezi uishe.
Uchune mkuu kama hatujuani, piga kimya😂😂
 
Hongera sana. Ungeweka na kajiko kadogo ka kizushi ungeweza kulamba kodi kubwa zaidi. Hapo inabidi wapikie nje...
Uko sahihi, ila niliona mambo yasiwe mengi sana mkuu in terms of costs. Na pia ninaowalenga wengi ni wale ma bachela..... Ndo kuna demand kubwa sana huku kwa makazi ya mabachela (chumba self peke yake, au chumba self + sebule).
 
Pesa tunapata zinapiriza tunashindwa ku save unajua mwisho manyanyasi kwa wenenyumba ni makubwa wajari wapangaji zako maana wanachokipitia kumbuka na wanao huenda wakawa wanapitia izo code🤣🤣🤣muwaeshimu wapangaji maana hao ndio wanawaweka mjini
 
Safi sana aisee...!! Nimependa ulivyoanza mdogo mdogo.
Na mimi nitanogewa nahisi, naanza kujipanga tena kukusanya hela nijenge zingine tena!!
 
Sisi kama binadamu kuheshimiana ni muhimu sana mkuu, bila kujali status zetu au tuna nyumba, ah hatuna, au tuna hela au hatuna.Tuheshimiane kwa ubinadamu wetu!
 
Ongera Sana , Uwekezaji Wa Nyumba Auongopi , Unachotakiwa Kwa Sasa Funga Msuri Kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…