LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Weka hoja mezaniKujanga nyumba na kukodisha sio uwekezaji ni biashara kichaa au kuhifadhi pesa yako ns kuichukua kidogo kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hoja mezaniKujanga nyumba na kukodisha sio uwekezaji ni biashara kichaa au kuhifadhi pesa yako ns kuichukua kidogo kidogo
Kushida Dar?Dodoma makazi expensive sana aisee!
Hongera sana. Ungeweka na kajiko kadogo ka kizushi ungeweza kulamba kodi kubwa zaidi. Hapo inabidi wapikie nje...Wakuu mko vizuri?
Kuna kipindi nilileta thread humu ya kujaribu kupata ideas ya namna ya kuiwekeza shs milioni 64 niliyokua nimei save, kwenye link hii hapa.
Nimekuja hapa kuleta mrejesho wa namna nilivyotumia ile pesa.
Ule mzigo wote niliuchimbia kwenye ujenzi wa vyumba vya kupanga wakuu. Vyumba hivi nimejenga maeneo ya Kibaha hapo (karibu na Miembe 7), na nimejenga kwa style ya chumba chenye choo ndani (self-contained) + sebule yake. Nimejenga jumla ya units 8 (zikiwa zimeunganika).
Maeneo hayo niliyojenga uhitaji wa makazi ni mkubwa sana.
Nimezijenga katika style ya unit nne nne (majengo mawili, kila moja unit nne). Jumla ya gharama nimetumia sio chini ya shilingi milioni 76 kukamilisha kila kitu hapo (hii ni kabla ya kuweka fence).
Tangia wakati nanyanyua boma, watu wengi sana walikua wanaulizia kila mara. Sasa hivi nimemaliza, nimeweka na fence pia (ujenzi wa fence unaendelea-bado mageti).
Tayari nimeanza kula kodi wakuu, hadi sasa unit zote 8 zimeshaingia wapangaji, nimeanza kula kodi kuanzia mwezi huu wa pili.
Napangisha kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi kwa kila unit.
Nawashukuru wote ambao mlinipa ideas na mawazo mbalimbali wakuu. Mbarikiwe sana!
Nimeweka picha chache hapa chini kwa uelewa zaidi.
View attachment 3241776View attachment 3241777
Kwa kweli hiyo biashara haimfai kabisa jamaa😂😂Wewe hii kazi haikufai, Kwa maana utajikuta unaacha kazi ya msingi na kwenda madirishani "kupiga deo" kuona wateja wanavyopelekeana moto 😜
Sawa sawa, kazi halali kabisa ya wapambanaji!Hamna shida kabisa.
Pambana mkuu, inawezekana!Asante sana sana nitajitahidi sana
Inaonekana unafahamu sana mazingira ya Kibaha.Yeaaah naelewa pia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok safi sana mkuu. Fursa nzuri hii.Kwa wale wanaopenda real estate Kibaha ,ila hawajui pa kuanzia tuwasiliane kwa 0713 039 875
Nina viwanja vyenye hati nilivyonunua toka Manispaaa ya Kibaha,viko eneo linalozunguka hopitali ya wilaya Kibaha,kata ya picha ya ndege. Eneo hili ni kilomita 3 toka stend ya Kibaha,zinakoanzia mwendokasi za kwenda kariakoo. Pia kuna kiwanja kina vyumba viwili vya kuanzia
View attachment 3242945View attachment 3242950
Uchune mkuu kama hatujuani, piga kimya😂😂Afadhali leo nimemjua member wa JF wa kwanza kiuhalisia, nimempangiehia my small wife hapo. Tukikutana sijui itakuwaje maana mwezi mtukufu unaanza! Dah ngoja nikukwepe hadi mwezi uishe.
Kwa baadhi ya maeneo yale ya high end, inaweza kuzidi maeneo ya Dar.Kushida Dar?
Uko sahihi, ila niliona mambo yasiwe mengi sana mkuu in terms of costs. Na pia ninaowalenga wengi ni wale ma bachela..... Ndo kuna demand kubwa sana huku kwa makazi ya mabachela (chumba self peke yake, au chumba self + sebule).Hongera sana. Ungeweka na kajiko kadogo ka kizushi ungeweza kulamba kodi kubwa zaidi. Hapo inabidi wapikie nje...
Nimeanza kidogo kidogoPambana mkuu, inawezekana!
Safi sana aisee...!! Nimependa ulivyoanza mdogo mdogo.Hii biashara ni nzuri hasa ukiwa kazini na mambo yako yanakwenda vzr.
Wakati naanza maisha nilikopa then nikajenga nyumba ya 3 rooms,
Baadae nikaongeza nyumba 2 za
wapangaji ya chumba na sebule
Kwa sasa nimepangisha zote, nyumba kubwa 270,000 na nyumba ndogo 2 kwa 150,000 each. Kila baada ya miezi mi3 nikawa nachukua hela
Matokeo
Niliweza Jenga nyumba self ya 2 bedroom for 2 yrs kutumia hela ya Kodi (of course iliegemea ukuta so initial cost nilikuwa nimeiweka na maybe plus small addition from mfukoni kwangu)
Kwa sasa nachukua Kodi ya 800,000 kwa mwezi na nazipokea kila baada ya miezi mi4.
Kwa sababu Niko kazini, all is going well na target yangu nikumaliza haka kamjengo Ka 2bedroom nilikokaanza mwaka huu kwa hela ya pango Tu. Yaani faida ya kuoangisha najengea.
Sisi kama binadamu kuheshimiana ni muhimu sana mkuu, bila kujali status zetu au tuna nyumba, ah hatuna, au tuna hela au hatuna.Tuheshimiane kwa ubinadamu wetu!Pesa tunapata zinapiriza tunashindwa ku save unajua mwisho manyanyasi kwa wenenyumba ni makubwa wajari wapangaji zako maana wanachokipitia kumbuka na wanao huenda wakawa wanapitia izo code🤣🤣🤣muwaeshimu wapangaji maana hao ndio wanawaweka mjini
Ongera Sana , Uwekezaji Wa Nyumba Auongopi , Unachotakiwa Kwa Sasa Funga Msuri KakaWakuu mko vizuri?
Kuna kipindi nilileta thread humu ya kujaribu kupata ideas ya namna ya kuiwekeza shs milioni 64 niliyokua nimei save, kwenye link hii hapa.
Nimekuja hapa kuleta mrejesho wa namna nilivyotumia ile pesa.
Ule mzigo wote niliuchimbia kwenye ujenzi wa vyumba vya kupanga wakuu. Vyumba hivi nimejenga maeneo ya Kibaha hapo (karibu na Miembe 7), na nimejenga kwa style ya chumba chenye choo ndani (self-contained) + sebule yake. Nimejenga jumla ya units 8 (zikiwa zimeunganika).
Maeneo hayo niliyojenga uhitaji wa makazi ni mkubwa sana.
Nimezijenga katika style ya unit nne nne (majengo mawili, kila moja unit nne). Jumla ya gharama nimetumia sio chini ya shilingi milioni 76 kukamilisha kila kitu hapo (hii ni kabla ya kuweka fence).
Tangia wakati nanyanyua boma, watu wengi sana walikua wanaulizia kila mara. Sasa hivi nimemaliza, nimeweka na fence pia (ujenzi wa fence unaendelea-bado mageti).
Tayari nimeanza kula kodi wakuu, hadi sasa unit zote 8 zimeshaingia wapangaji, nimeanza kula kodi kuanzia mwezi huu wa pili.
Napangisha kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi kwa kila unit.
Nawashukuru wote ambao mlinipa ideas na mawazo mbalimbali wakuu. Mbarikiwe sana!
Nimeweka picha chache hapa chini kwa uelewa zaidi.
View attachment 3241776View attachment 3241777
Atajikuta anaingilia faragha za wateja bure 😜Kwa kweli hiyo biashara haimfai kabisa jamaa😂😂
Asante sana mkuu!Ongera Sana , Uwekezaji Wa Nyumba Auongopi , Unachotakiwa Kwa Sasa Funga Msuri Kaka