Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Ngoja tukawekeze aisee unavyosema ni sahihi Sasa hivi kufika kibaha ni fasta tuSana yani... Unajua kibaha zamani watu walikua wanapaona mbali ila zile barabara zilipoongezwa ni kama ile distance imepungua coz watu wanateleza tu kwa maana zile foleni za ajabu ajabu hazipo, plus mwendokasi ndio kabisa shida ya usafiri imepunguzwa na kufanywa kuwa rahisi hata kwa mtu kutoka katikati ya mji kikazi kurudi zake home kulala.
Sasa hivi njia ya bagamoyo haishikiki na huko kibaha nako hakushikiki vile vile.
Jiji limepanuka balaa balaaa.Magwepande huko halmashauri ya Kino wameanza kuuza viwanja vya kupima nendeni mkajikadirie kulingana na urefu wa kamba zenu🤗🤗🤗Sana yani... Unajua kibaha zamani watu walikua wanapaona mbali ila zile barabara zilipoongezwa ni kama ile distance imepungua coz watu wanateleza tu kwa maana zile foleni za ajabu ajabu hazipo, plus mwendokasi ndio kabisa shida ya usafiri imepunguzwa na kufanywa kuwa rahisi hata kwa mtu kutoka katikati ya mji kikazi kurudi zake home kulala.
Sasa hivi njia ya bagamoyo haishikiki na huko kibaha nako hakushikiki vile vile.
Yeah uko sahihi mkuu, kuchelewa chelewa siku unajikuta unaishia kugombania viwanja huko ubena🤣🤣🤣Kibaha inakuja kuwa kaeneo ka kimkakati nyie subirini.
Kama unahela nenda upande ule wa kwa mfipa ndanindani huko karibu n kambi ya jeshi kuna maeneo yanauzwa 20×20 6M.
Kuna watu walihamishwa jangwani kisa mafuriko na kupelekwa huku ila walipadharau kisa mapori ila sasa hivi ukienda utabaki kushika mdomo tu, watu wanapanda hizo nyumba ni balaa tu😅😅😅... Kama ilivyokuaga madale zamani au mbweni.Jiji limepanuka balaa balaaa.Magwepande huko halmashauri ya Kino wameanza kuuza viwanja vya kupima nendeni mkajikadirie kulingana na urefu wa kamba zenu🤗🤗🤗
Mimi hela ya kuzika sina nimeweka nadhiri ya kulimbikiza maviwanja baadae niuze nije nitoe vibanda kadhaa vya kupangisha🤝Yeah uko sahihi mkuu, kuchelewa chelewa siku unajikuta unaishia kugombania viwanja huko ubena🤣🤣🤣
Yeah, yaani kibaha imefungana na mbezi for now... Huoni zamani watu walikua wanachukua viwanja kibamba na kiluvya ila kuna watu walidharau kwakuona mbali, ila check now tuko hapa tunaijadili kibaha😅😅😅Ngoja tukawekeze aisee unavyosema ni sahihi Sasa hivi kufika kibaha ni fasta tu
Awamu hii nyumba hazijengwi ni kuotesha na kumwagili😂😂😂😂Kuna watu walihamishwa jangwani kisa mafuriko na kupelekwa huku ila walipadharau kisa mapori ila sasa hivi ukienda utabaki kushika mdomo tu, watu wanapanda hizo nyumba ni balaa tu😅😅😅... Kama ilivyokuaga madale zamani au mbweni.
Ni biashara nzuri kwasababu iko na uhakika halafu Haina stress wala, thou inaingiza fedha kidogo kidogo ila ile cash flow yake ni ya uhakika sana.Mimi hela ya kuzika sina nimeweka nadhiri ya kulimbikiza maviwanja baadae niuze nije nitoe vibanda kadhaa vya kupangisha🤝
Muhimu kujikuna urefu wa mkono wako!!!Ni biashara nzuri kwasababu iko na uhakika halafu Haina stress wala, thou inaingiza fedha kidogo kidogo ila ile cash flow yake ni ya uhakika sana.
Yeah, ndio maana wanasema usiseme pesa hakuna ila sema Mimi sina pesa... 😅😅😅Awamu hii nyumba hazijengwi ni kuotesha na kumwagili😂😂😂😂
Watu wanapesa bwana alaahh...
Yeah, na uzuri wa hiyo biz ukishaanza na moja ni rahisi kwenda ya pili na kuendelea.Muhimu kujikuna urefu wa mkono wako!!!
Watapikia wapi?Hapana mkuu. Hapo ni chumba self contained na sebule TU.
📌Njia ya mkuranga vipi kuchele ???au bado wanakusini wamelala.Niliona kuna viwanja ila bei zake bado reasonable.Yeah, na uzuri wa hiyo biz ukishaanza na moja ni rahisi kwenda ya pili na kuendelea.
Duuh kweli ila nahisi viwanda vimechangia kukuza mjiYeah, yaani kibaha imefungana na mbezi for now... Huoni zamani watu walikua wanachukua viwanja kibamba na kiluvya ila kuna watu walidharau kwakuona mbali, ila check now tuko hapa tunaijadili kibaha😅😅😅
Huku viwanja bado bei chini sana... Halafu Mimi naonaga kama hakujakaa poa sana ndio maana sijawahi kuwa interested na huko ingawa huwa nafuatilia fatilia.📌Njia ya mkuranga vipi kuchele ???au bado wanakusini wamelala.Niliona kuna viwanja ila bei zake bado reasonable.
Yeah ndio maana mdau amesema hapo juu kwamba kibaha ni kamji fulani ka mkakati.Duuh kweli ila nahisi viwanda vimechangia kukuza mji
Duuh kweli aiseeYeah ndio maana mdau amesema hapo juu kwamba kibaha ni kamji fulani ka mkakati.
Kama 9.5m hivi kwa kila unit yenye chumba self na sebule.
Wanakusini hawana hela.Njia ya kibaha inamnyororo wa thamani pia na bagamoyo nayo ni muundelezo wa tegeta na bunju.Huko ukipeleka hela huwezi jutia.Huku viwanja bado bei chini sana... Halafu Mimi naonaga kama hakujakaa poa sana ndio maana sijawahi kuwa interested na huko ingawa huwa nafuatilia fatilia.