TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #61
Hapana mkuu. Ni uwekezaji wa muda mrefu (long-term investiment). Inalipa sana in the long run. Sema usiwe na haraka navyo.Kujanga nyumba na kukodisha sio uwekezaji ni biashara kichaa au kuhifadhi pesa yako ns kuichukua kidogo kidogo
Ni vipya hivyo mkuu. Nimekula kodi kwa mara ya kwanza kuanzia mwezi huu wa pili.Sawa mkuu umevijenga mwaka gani
Sahihi kabisa, nakubali.Mkuu huo ni uwekezaji mkubwa sana dunia nzima.
Na ni biashara ambayo ina vihatarishi vidogo sana (very low risk).
Halafu ni biashara inayolipa unapata kitu kinaitwa passive income
Uko sawa kabisa!!Kila mtu na maisha yake na akili yake mzee
Umefanya na wewe hii mambo eeehh? Tupe misingi wageni, na pia ambao hawajaanza!Hongera sana mkuu mambo yangu hayo
Hawezi kuelewa huyo hao ndio wale wanaosema kujenga nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa Sasa jiulize yeye anaishi porini hao ndio wanajikuata wamezeekea kwenye upangaji na mfukoni hamna hata mia watoto wanaanza kumuita mchawi anawatishia laanaHapana mkuu. Ni uwekezaji wa muda mrefu (long-term investiment). Inalipa sana in the long run. Sema usiwe na haraka navyo.
Cha muhimu kuwa na multiple sources of income mkuu.... Yaani usiwe unategemea kodi za nyumba ndo zikulishe, ndo usomeshe, hapana. Ila unakua na sources kama 4 hivi, mojawapo ikiwa ndo hiyo kodi. Kwa hiyo huu ni uwekezaji mzuri tu wa long term na usio na risk.
Kwa kweli😂Hawezi kuelewa huyo hao ndio wale wanaosema kujenga nyumba ya kuishi ni kupoteza pesa Sasa jiuleze yeye anaishi porini hao ndio wanajikuata wamezekea kwenye upangaji na mfukoni hamna hata mia watoto wanaanza kumuita mchawi anawatishia laana
Sahihi yaani binadamu jitahidi hata uwe na kwako tuKwa kweli😂
Nyumba ni investiment nzuri sana.
Asante bhana! Hauna unachojua wewe endelea kukuna pumbu kwenye nyumba ya shemeji yakoKujanga nyumba na kukodisha sio uwekezaji ni biashara kichaa au kuhifadhi pesa yako ns kuichukua kidogo kidogo
Nafikiri tuweke tu general mfanyabiashara usitegemee chanzo kimoja cha mapatoHapana mkuu. Ni uwekezaji wa muda mrefu (long-term investiment). Inalipa sana in the long run. Sema usiwe na haraka navyo.
Cha muhimu kuwa na multiple sources of income mkuu.... Yaani usiwe unategemea kodi za nyumba ndo zikulishe, ndo usomeshe, hapana. Ila unakua na sources kama 4 hivi, mojawapo ikiwa ndo hiyo kodi. Kwa hiyo huu ni uwekezaji mzuri tu wa long term na usio na risk.
Kweli kabisa.Sahihi yaani binadamu jitahidi hata uwe na kwako tu
😂😂Hahahaha!! Nimecheka sanaAsante bhana! Hauna unachojua wewe endelea kukuna pumbu kwenye nyumba ya shemeji yako
Sahihi asilimia 100.Nafikiri tuweke tu general mfanyabiashara usitegemee chanzo kimoja cha mapato
Bwana mdogo mimi nimejenga wakati wewe unajikojolea na kujinyeaAsante bhana! Hauna unachojua wewe endelea kukuna pumbu kwenye nyumba ya shemeji yako
Basi usidogoshe thamani ya makazi mkuu!Bwana mdogo mimi nimejenga wakati wewe unajikojolea na kujinyea
Shukrani mkuu, tunajaribu kuzisaka huku na kule!Hongera sana.
Sahihi 💯Plus thamani ya ardhi inakua kadri muda unavyokwenda