Maco marco
Senior Member
- Jun 10, 2023
- 108
- 86
Kwani hapa tunazungumzia karata tatu au huo ulikiwa mfano tu..... Hivyo basi kwenye karata inaweza kuwa tricks na uchawi unawez kuwa ni tricks pia lakini whether ni tricks au sio haiondoi kwamba uchawi upo kwa sababu hata ukiuita ni tricks je unaweza thibitisha...Karata tatu ni uchawi?
Aisee unajifanya mjanja eh? Ngoja sasa niwacheki wataalamu kutoka Gambosi π€£.Miaka mingi imepita tangu nilipotoa kidau kwa mchawi yeyote atakayeweza kuniroga vidole vyangu visiweze ku type, nisiweze kuja JF kuandika.
Mpaka leo hakuna mchawi akiyeweza kufanya kazi hiyo.
Cc Nyani Ngabu
Hakika, asingekuwepo dunia nzima isingekuwa inataabika na migogoro ya Israel na Wapalestina; fikiria tu hiyo nguvu ya sote kuvutwa huko inatokana na nini? ...Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Si kwamba wanaona siko serious. Hakuna uchawi wa kuniroga. Hakuna uchawi.JF wananiangusha sana, ila labda wanaona hauko serious
Unajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi ni kitu nisichokijua tu?Kwani hapa tunazungumzia karata tatu au huo ulikiwa mfano tu..... Hivyo basi kwenye karata inaweza kuwa tricks na uchawi unawez kuwa ni tricks pia lakini whether ni tricks au sio haiondoi kwamba uchawi upo kwa sababu hata ukiuita ni tricks je unaweza thibitisha...
Mti mpaka umeweza kupigika picha na picha ikawekwa JF hakuna uchawi hapo.Aisee unajifanya mjanja eh? Ngoja sasa niwacheki wataalamu kutoka Gambosi π€£.
View attachment 2837881
Unauona huu mti? Sasa hapo ndo penyewe makao makuu ya hao wataalamu.
Ila tusilaumiane tuβ¦.π
View attachment 2837891
Mungu kutoeleweka kwa uwazi, bila utata, kwa wote, ni moja ya classic arguments against the existence of God.Ili awe Mungu lazima asieleweke,mtoto wa miaka 5kushuka chini anaamini baba yake ndo mwanaume bora na mwenye nguvu kupita wote ,na hii ndiyo Msingi halisi Ili heshima yake ibaki lazima pawe na gape ki fikra Kati ya Muumba na waumbwa, ina maana Kati ya Muumba na waumbwa hawawez kuwa na mawazo sawa,Ili kutenganisha.
Bisha kila kitu lakini uwepo wa Mungu unathibitika katika monitoring.
Unaamka asubuhi,nan kakuamsha ,kibofu kinajaa kinaleta signal kwny ubongo nataka ku urinate ,moyo unapinga mara 60, nani kaweza coding chakula kinachakatwa KWA masaa 3,
Sayari zinazunguka jua,na usiku na mchana unatokea KWA dunia kujizungusha ufikirii hizo programming code ,assume y it's take 24 hours huoni ni programming? Au unazani ni bahati mbaya.
Mbegu za mwaume kutengenezwa kila siku na mwanamke kabla hajazaliwa na kukoma before 40,don't you see it's code? What if mbegu zitengenezwe hadi kufa.
Y kuna kufa n hatuwezi kurenew maisha so don't you see it's prog na
Assume ukila kitu kichafu mwili utatoa signal KWA kutapika na kuharish it's not programming,any signal is coded with coder ?
Usisahau ishu ya energy ,Mungu katupa urithi mmoja wa energy ,na akili ,mkosoe Mungu KWA principle za energies na siyo theories za wanasayansi viduchu duchu nimemuona jamaa mmoja anatumia mitazamo ya watu anaiita fact uyo jamaa anajiita Kiranga mkosoe Mungu KWA principle na siyo theories ,theories and laws ni man made na hazina uhalithia
Sifahamu kwa hakika,Swali zuri. Nakujibu kwa swali, unakubali Kuna mwanzo yaani wa kwanza katika binadamu ? Huyu wa kwanza alitokeaje mpaka ukawepo wewe ? Je alitokana pasi na chochote au alijiumba yeye mwenyewe ?
Lakini, hata kama kuna uchawi, kwa nini picha ishindikane kupigika?Mti mpaka umeweza kupigika picha na picha ikawekwa JF hakuna uchawi hapo.
Wenyeji niliwauliza swali kama ulivyoeleza hapo. Wakasema kwamba kama mtu umeenda kwa amani na si kwa shari, hayo mauzauza ya kichawi huwezi kuyaona.Makao makuu penyewe nilitegemea pawe hapaonekani kwenye picha hivi, kila ukipiga picha picha inaungua kwa namna ambayo sayansi haiwezi kuelezea π€£π€£π€£
πππNi ngumu kama unataka kulazimisha Mungu ambaye hayupo awepo.
Vinginevyo unaweza kuthibitisha kimantiki kuwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo, kama vile unavyoweza kuthibitisha 10 si square root ya 2 katika base 10 math.
Mabikira 72 Mito ya pombe, hizi ni nadharia nzuri sana
πππ kuna nadharia za kushangaza sana kwenye hizi dini
Wa kweli wapo na wapigaji wapo piaVitu vingine havihitaji kufikilia.
Jiulize,miaka kumi iliyopita mtaani kwako kulikuwa na madhehebu mangapi. Leo? Je, kila kukicha kuna Mungu mpya?
Haya,ndo yale yale. Mchungaji akihitaji kodi ya nyumba,ada za shule watoto,godolo kubwa, waumini mchangie. Muumini unaumwa pesa yote ulimalizia kwa matapeli,ohhh njoo uombewe. Gari la mchungaji halina mafuta,toeni elfu 50 apitie shell. Kudadeki zetu. Acha tupigwe tumetaka wenyewe.
Wenzetu hizo sadaka wanaweka akiba,mtoto anakuwa mamilioni yamesogea kwenye akaunti,huku tunawapa wajanja za kujengea kanisa na kununua vyombo vya mziki. Ukihoji viko wapi, mleteni akaombewe huyo ana pepo mchafu
π€£π€£π€£Hivi kweli,ni haki mpaka wa leo akili zetu zitawaliwe na utapeli wa watu kama sisi,wanaotaka tuiname wapite?
Kila siku wanadai muombeni,unaumwa lakini unaenda hospitali,wengine wanakata pumzi. Matatizo kibao,mara kwa waganga,kesho kanisani. Tena mara mia utapeliwe na mganga unayeona anajifanya anaongea na wakubwa.
Kila unaemuuliza Mungu ni nini? Anakujibu muumba. Kaumba lini? Jibu hamna. Niaminije? Eti we si umezaliwa ukakuta wanaamini?
Kwa hiyo,Mungu ni kufata mkumbo tu basi. Hawa hawa wanaojifanya wanamjua Mungu,wanakuja kwetu huku,ukinunuliwa bodaboda tu za 1500, unatoa ngombe eti fungu la 10 mijama inaenda kuuza na kupiga hela.
Waooo sasa umekuja pale patamu, kumbe shida yako ni kuwa hujamuelewa vizuri ,hajaonekana ,unapata contradictions za upendo na hasira zake vizuri.Mungu kutoeleweka kwa uwazi, bila utata, kwa wote, ni moja ya classic arguments against the existence of God.
Ukishaanza na "ili awe Mungu lazima asieleweke" hapo tayari umeacha mlango hata mimi kukuambia kuwa Mimi ndiye Mungu mwenyewe, ila sieleweki tu kuwa mimi ndiye Mungu mwenyewe.
Kwa sababu ili niwe Mungu, ni lazima nisieleweke uungu wangu.
Kiukweli, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa ujuzi wake wote, uwezo wake wote na upendo wake wote, atajulikana, atajulikana na viumbe wote, atajulikana na viumbe wote bila utata, hatahitaji kitabu, tafsiri, nuktadha, muongozo, mjadala ili aeleweke bila utata wowote ule.
Ukishaona Mungu anajadiliwa, anaelezewa, ameandikwa, anatafsiriwa, anawekewa muktadha, anahubiriwa, etc, ujue hakuna Mungu hapo, hizo ni siasa za watu tu hizo.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kutojitambulisha ajulikane bila utata ni ukatili mkubwa unaosababisha vita vya kidini, migogoro ya kimataifa, crusades za maelfu na maelfu ya miaka.
Mungu mwenye tabia hizo (ujuzi wote, uwezo wote, upendo wote) hsi mkatili hivyo.
Ama Mungu mwenye tabia hizo yupo, na watu wanamuelewa bila utata, ama watu wanamuelewa Mungu huyo kwa utata na Mungu huyo hayupo.
Watu wanamuelewa Mungu kwa utata, ndiyo maana mijadala hii haiishi hapa JF.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Yupo kwa sababuMpaka sasa.
1. Hakuna mtu aliyethibitisha Mungu yupo.
2. Hakuna mtu aliyetatua mikanganyiko ya kimantiki inayojitokeza katika hoja na dhana za kuwepo Mungu, kama vile "the problem of evil", kwa nini Mungu hajioneshi kwa uwazi usio na utata wowote kwa wote, freewill's incompatibility with God's perfect knowledge, etc.
3. Hakuna mtu aliyeweza kutatua mikanganyiko ya kimantiki ya kwenye vitabu vya imani vinavyojinadi kuwa ni vitakatifu na vya Mungu, kama Quran na Biblia, kwa mifano ya kuanzia tu.
Haya yote yanatokana na ukweli kwamba, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo kiuhalisia. Mungu huyu ni muhusika wa hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hadithi hizo, Mungu huyu hayupo.
Kama unabisha, tatua masuala yaliyoorodheshwa hapo juu katika 1, 2 na 3.
Usiwe open minded kwa kuacha mashimo au matundu ambayo yataruhusu uongo kutumbukia kwako.Huwezi kuelewa mambo ya kiroho ikiwa haupo open minded GOD is really ila ukiwa low minded you can't understand this power
1. Energy ni nini?Yupo kwa sababu
1.Energy ipo energy ndo Msingi wa kujua kujua Mungu yupo, kama unabisha uwepo wake basi bisha na energy maana hakuna aliyeunda.
2.Kwanini ipo katika dhana ya mtazamo binasfi ,namm nikuulize wewe kwanini unakataa Mungu hayupo,kwanini siyo fact kwanini ni dhana wa mpishano wa mafikirio binasfi na kujitengenezea swali lakini si kila mtu amejitengenezea swali kama wewe.
3.Evil ni kiumbe kilicho na uhuru kama wewe na chenyewe kinajua kutumia nishati vizuri aliyoumba Mungu mwenyezi,kwasababu wewe hujui kikaamua kutumia udhaifu wako kukutengenezea tatizo, na wewe tatizo unaliita evil problems,sasa hizo evil kama unaziamini , basi automaticatically unaamini Mungu ,bcoz evil ni tangable,sasa wewe inaonekana unajichanganya kimantic maana unaamini evil problems ambapo nikikwambia u prove unaweza ??
3.Kutatuaje wakati wewe ndo umejitungia maswali ,kama ulivyo yatunga hapa ya kutokuwepo KWA Mungu, hivyo vitabu vipo katika Msingi wa imani,
Narudia tena Mungu ni roho kimuundo Ili umuelewe lazima uwe katika muundo wa roho, sasa wewe upo katika muundo wa kimwili ,automatically haiwezekani kumwelewa ,change state .nakama imeshindikana
Basi tunachange gear imani ni alternative ya kujua misingi ya kiroho kama huwezi kuwa kwenye state ya kiroho