Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Mungu wako umemuumba au umempataje. hebu tujuze kuhusu huyo mungu wako
 
Hao wanakataa uwepo wa Mungu wakupe maelezo namna ulimwengu ulivyoumbwa
 
Tupe uzibitisho Kwamba hivi vitu vimeumbwa na mungu,
Mbona haendelei na huumbaji?
Uthibitisho ni huu.Duniani kuna viumbe chungu mzima na kila kiumbe kuanzia virus mpaka papa kila kimoja kina DNA yake ya kipekee.
 
Complexity haiwezi kutokea by chance. Complexity inaamaanisha kuna creator who is a master planner
 
Kwa huvyo kwa vile swala analiwa na Simba basi Mungu hayupo? Ndio hoja yajo hii ??
 
Atheists mkifa mnazikwaje? Mnaona vipi?
 
Naomba kufahamishwa how the universe was created kwa mujibu wa atheists? Na wanyama na viumbe?
 
Complexity haiwezi kutokea by chance. Complexity inaamaanisha kuna creator who is a master planner
Unajuaje hilo?

Unajuaje uchaguzi ni creator au chance tu?

Na kama complexity haiwezi kutokea by chance, lazima kuna creator, unaelewa hapo unaelezea ulimwengu ambao hauna Mungu muumba vyote?

Unaelewa kuwa ikiwa kuna Mungu, tayari ni complex by definition, na kama complexity haitokei tu, inahitaji muumbaji, huyo Mungu naye atahitaji muumbaji, na muumbaji wake atahitaji muumbaji wake, ad infinitum ad nauseam?
 
Naomba kufahamishwa how the universe was created kwa mujibu wa atheists? Na wanyama na viumbe?
Atheism has nothing to do with defining hiw the universe was created.

Atgeism has everything to do with the notion tgat God does not exist.

I don't have to know how the universe was created to be an atheist.

I just need to know that God does not exist.
 
You need to have an alternative explanation of the origin of life so that we can understand you.
Simplly being adamant that God does without giving reasons does not make sense.
 
You need to have an alternative explanation of the origin of life so that we can understand you.
Simplly being adamant that God does without giving reasons does not make sense.

Your argument is a logical non sequitur fallacy.

I am telling you, in base 10 nath, the square root of 2 cannot be 10. It nust be smaller than 2. It cannot be 10, because 10 is larger than 2.

You are asking me what is tge square root if 2. I say I don't know. I only know tgat 10 is not the square root if 2.

I don't need to know the square root if 2 to know tgat 10 is not tge square root if 2.

But you are still insisting I must shiw you what is tge square root of 2.

But I never claimed to know the square root of 2, only that it is not 10.

Your objection is a logical fallacy, logical non sequitur.

I have given reasons why I say God does not exist.

I mentioned that the all knowing, all capable and all loving God can be proved to not exist, by proof by contradiction, using Epicurean Paradox and the problem of evil.

I have eliminated that as the origin of life.

I can say this is a wrong answer without knowing the right answer.

If I know the square root if 2 must be smaller than 2, I can know that 10 is not tge square root if 2 without knowing what is the square root of 2.

Why are you forcing me to know the right answer to be able to say another answer is the wrong answer?
 
 
 
blah blah nyingi ila hamna chochote ulichoandiaka hahaha.

mwacheni Mungu aitwe MUNGU
 
blah blah nyingi ila hamna chochote ulichoandiaka hahaha.

mwacheni Mungu aitwe MUNGU
This logical fallacy is called ad hominem attack.

This happens when the attacker cannot reply with an answer, a critique or a rebuttal on the points raised, instead, a personal attack is used.

Nimekwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Nimekwambia kwa nini hayupo. Logical consistency, problem of evil, Epicurean paradox.

Proof by contradiction kwamba huyo Mungu hayupo ipo.

Nimekupa mfano wa hesabu rahisi.

Hata hujaelewa naongelea nini (ndiyo maana huwezi kujibu kwa point), unakimbilia kunishambulia kwa personal attack badala ya kujibu hoja.

Discuss the problem of evil. Discuss the Epicurean paradox.

Acha kuni discuss mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…