Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Abu Huraira (god be pleased with him) relates that the messenger of God (peace be upon him) said ;God does not look at your bodies and your shapes, He looks at your heart; (Muslim) So hiyo wala hainipi shida endelea kuamini unacho kiamini
Wewe si ulisema hujui Kiingereza wewe?

Au hujui Kiingereza inapokufaa wewe tu?

Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri imani tu.

Mimi sina haja na mahubiri ya imani, nataka proof kwamba Mungu yupo, nataka uondoe contradictions za kwenye Quran nilizokupa.
 
Hujajibu hoja yoyote hapa zaidi ya kubwabwaja........msome tena mleta mada kwa utulivu halafu urudie kujibu, na kwa nini ufikiri ni lazima Mungu awe ameumbwa kwa sababu ya kufanya uumbaji wa kustaajabisha ikiwemo binadamu na viumbe hai wengine.
Does every ordered complexity need to be created by a higher ordered complexity?

Or, can a higher ordered comolexity just appear/be created by a lower ordered complexity?

Do you even understand the questions?
 
Kiufupi tu binadamu ndio kamuumba Mungu na kumfanya awe mkuu ,ni yupo kichwani tu kwa mhusika.
Exactly.

Kwenye Quran imeandikwa kwamba, kuna watu fulani wala msijisumbue nao, Allah amewafanya mioyo yao iwe mizito, amewafunga macho na masikio wasimjue, halafu atawaadhibu kwa adhabu kubwa.

Hii inamanisha Muislamu anayebishana na Kiranga hapa kila siku hata haielewi Quran, kwa sababu haifuati aya hii. Kwa sababu inawezekana Kiranga ndio hao waliozibwa macho, masikio na kufanywa moyo uwe mgumu.

Sasa hapo mtu ukifikiri kwa mantiki utajiuliza. Sasa huyu Allah anawaziba macho, masikio na kufanya mioyo ya watu iwe migumu wasimuelewe, yeye mwenyewe anafanya hivi, na kwa kuwa wanasema nguvu zake hazina kifani, akishafanya hivyo, hakuna anayeweza kufungua hicho kifungo, halafu anaenda kuwachoma moto wa milele hao watu aliowafungia wasimjue.

Yani ujinga mtupu. Ni kama vile unamzuia mtoto wako kwenda shule kujifunza kusoma, halafu, akishindwa kujua kusoma, unamuadhibu vikali maisha yake yote kwa kushindwa kusoma.

Quran imejaa ujingaujinga kama huu sehemu zote, Biblia nayo ni hivyo hivyo.
 
Sio rahisi mkuu , ila wakifikiri vizuri hujikuta wanakua na mgogoro wa nafsi kwa sababu kuna vitu ata mtoto mdogo anaelewa tu .

Sema shida inakuja pale mtu kajengwa hivyo toka mtoto kwa vitisho na ahadi kibao .

Wengi wanaogopa kwa sababu wakifa wanahisi kuna adhabu na maisha tena .
They have fear of unknown.

Imaginations just an illusion.
 
Wewe ndo umeharibu kabisaaaaa, mjinga mkubwa(ni utani lakini si kwamba nimekutukana). Mfano mimi ni sehemu ya mungu,na yupo ndani yangu.

Sawa kabisa. Swali linakuja je,maovu nahotenda mimi,kama ni sehemu yangu si tunashirikiana? Chukulia mfano naiba tikiti la mke wa mtu. Af ni sehemu yangu kumbuka? Si hapo tumekula 50/50??? Mungu gani huyo sasa!!! Muovu kama mimi! Haya,ana nguvu mnazompachika,lakini hawezi kunikemea huku anajua nafanya aliyoyakataza. Si ananiogopa mimi?
.. unapojuka kwny mabaya na mazuri io ndio nature ilivyo ni swala la nishat kama vle hasi na chanya,kila jema lina baya lake.. "a man is still a man ,the only difference is whether him good or evil". tupo kwny ushindan,sisi tupo katikati ya hizi nguvu mbili (good n evil) so,ili maisha yaendelee hv v2 lazma viwepo hakuna wakukusaidia kutoka isipokua wewe mwenyewe, kwahy uckaririshwe cjui shetan mbaya cjui mungu mzuri hakuna jambo kama ilo ila uhalisia ndivyo ulivyo
 
Does every ordered complexity need to be created by a higher ordered complexity?

Or, can a higher ordered comolexity just appear/be created by a lower ordered complexity?

Do you even understand the questions?
Mtoa mada kataja mambo ambayo yanayodhihirisha tuamini uwepo wa Mungu, ukiwemo wewe kiranga namna ulivyo........kuleta mambo ya ordered complexity ni janja janja ya kuukwepa ukweli ulio dhahiri.
 
Mtoa mada kataja mambo ambayo yanayodhihirisha tuamini uwepo wa Mungu, ukiwemo wewe kiranga namna ulivyo........kuleta mambo ya ordered complexity ni janja janja ya kuukwepa ukweli ulio dhahiri.
Ama hujaelewa hoja, ama unaikwepa. Yote majanga.

Wewe unayelazimisha kila kilicho complex kiwe na muumba, unaelewa kwamba hapo unachosema kiukweli ni kwamba hata Mungu naye ni lazima awe na muumba wake, na muumba wake awe na muumba wake, na katika ulimwengu huo, kiukweli, hakuna Mungu?

Kusema mimi nathibitisha uwepo wa Mungu ni logical fallacy ya logical non sequitur.

Usiseme tu kuwa mimi nathibitisha uwepo wa Mungu, thibitisha hilo.

Kwa mfano, mimi nimesema mimi ni mtoto wa James Bond 007, natakiwa kuthibitisha hilo, kuonesha DNA evidence, au any type of logically consistent proof.

Sio kusema tu "Mimi kuwapo hapa kunathibitisha mimi ni mtoto wa James Bond 007".

Hata kichaa anaweza kusema hivyo bila proof.

Kuwepo kwangu kunathibitisha vipi Mungu yupo? Hebu unganisha mambo mawili haya ambayo kwangu mpaka sasa hujayaunganisha.
 
Exactly.

Kwenye Quran imeandikwa kwamba, kuna watu fulani wala msijisumbue nao, Allah amewafanya mioyo yao iwe mizito, amewafunga macho na masikio wasimjue, halafu atawaadhibu kwa adhabu kubwa.

Hii inamanisha Muislamu anayebishana na Kiranga hapa kila siku hata haielewi Quran, kwa sababu haifuati aya hii. Kwa sababu inawezekana Kiranga ndio hao waliozibwa macho, masikio na kufanywa moyo uwe mgumu.

Sasa hapo mtu ukifikiri kwa mantiki utajiuliza. Sasa huyu Allah anawaziba macho, masikio na kufanya mioyo ya watu iwe migumu wasimuelewe, yeye mwenyewe anafanya hivyi, na kwa kuwa wanasema nguvu zake hazina kifanu, akishafanya hivyo, hakuna anayeweza kufyngua hicho kifungo, halafu anaenda kuwachoma moto hao watu aliowafungia wasimjue.

Yani ujinga mtupu. Ni kama vile unamzuia mtoto wako kwenda shule kujifunza kusoma, halafu, akishindwa kujua kusoma, unamuadhibu vikali kwa kushindwa kusoma.

Quran imejaa ujingaujinga kama huu sehemu zote, Biblia nayo ni hivyo hivyo.
Kuna ile story kwenye biblia pia , Mungu akaufanya moyo wa farao uwe mgumu , asiwaruhusu Israel, baada ya apo akaua kila mzaliwa wa kwanza wa misri kwa wanyama mpka watoto.

Ili tu kila mtu ajue kwamba yeye ni bwana .
 
.. unapojuka kwny mabaya na mazuri io ndio nature ilivyo ni swala la nishat kama vle hasi na chanya,kila jema lina baya lake.. "a man is still a man ,the only difference is whether him good or evil". tupo kwny ushindan,sisi tupo katikati ya hizi nguvu mbili (good n evil) so,ili maisha yaendelee hv v2 lazma viwepo hakuna wakukusaidia kutoka isipokua wewe mwenyewe, kwahy uckaririshwe cjui shetan mbaya cjui mungu mzuri hakuna jambo kama ilo ila uhalisia ndivyo ulivyo
Mungu alilazimika kuumba ulimwengu ambao evil inawezekana?

Au hakulazimika, aliumba ulimwengu wenye kuweza kuwa na evil kwa kupemda tu?

Kama alilazimika, je, ni kweli ana uwezo wote?

Kama hakulazimika, je, ni kweli ana upendo wote?

Unaona contradiction hapa? Unaelewa kuwa Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuwapo pamoja na ulimwengu unaoruhusu mabaya ni contradiction, that the two are mutually exclusive?
 
Kuna ile story kwenye biblia pia , Mungu akaufanya moyo wa farao uwe mgumu , asiwaruhusu Israel, baada ya apo akaua kila mzaliwa wa kwanza wa misri kwa wanyama mpka watoto.

Ili tu kila mtu ajue kwamba yeye ni bwana .
Mungu anapenda kuabudiwa kuliko Idi Amin!

Yani anaua watoto kibao, iki watu wamjue tu.

Kwani alishindwa kuandika maandiko makubwa mawinguni watu wote wamjue bila utata, bila kuua watoto?

Huyu Mungu yupo kweli au watu wamemtunga tu?
 
Ni watu wametunga tu ndio maana kabla ya ukoloni tulikua na mambo mengne kabisa

Ila baada ya wamisionari wa mwanzo kuhubir utamaduni wa kiebrania tuka hamisha fikra taratibu toka kizazi na kizazi na kuona yale ya kale ni ushirikina.
 
Energy ina sifa hizi :

1. Maarifa
2. Utashi
3. Matakwa
4. Nguvu
5. Hekima

???

Kama haina sifa hizi vipi useme ni Energy ?
Unadefine vipi energy hadi ukasema ina sifa hizo? Sound, heat, upepo n. K zote ni energy, vipi zina maarifa, utashi , hekima na matakwa?
 
Mungu kaumbwa na fikra za watu baada ya kujiuliza maswali wanayoshindwa kuyajibu , ndio maana kila jamii ina fikra za Mungu kwa mitazamo tofauti.
Hii sio kweli labda utakuwa hujui Historia za mitume na Wanafalsafa.

Wanafalsafa wa kale wa Magharibi wao ndio walikuwa wanajiuliza sana nini chanzo Cha uhai na ulimwengu, kutokea hapo paka zuka majibu mengi sana, msome Pythagoras na chanzo Cha uhai, wasome wakina Plato, Socrates, Aristotle, na wengine katika Wanafalsa.

Lakini kabla yao walipita mitume na manabii wengi ambao walifunuliwa kuhusu uwepo wa Mungu na sifa zake na ukamilifu wake.

Kwahiyo haya unayo yaandika huwezi kuyathibitisha hata kwa ushahidi wa uongo uwe wa Kihistoria au wa kisayansi.
 
Unadefine vipi energy hadi ukasema ina sifa hizo? Sound, heat, upepo n. K zote ni energy, vipi zina maarifa, utashi , hekima na matakwa?
Hakuna sehemu niliyo define energy bali hapo nimeonyesha hicho mnacho kidai kuwa ni Energy sio hicho sababu Muhusika ana sifa hizo na energy Haina sifa hizo.
 
Hii sio kweli labda utakuwa hujui Historia za mitume na Wanafalsafa.

Wanafalsafa wa kale wa Magharibi wao ndio walikuwa wanajiuliza sana nini chanzo Cha uhai na ulimwengu, kutokea hapo paka zuka majibu mengi sana, msome Pythagoras na chanzo Cha uhai, wasome wakina Plato, Socrates, Aristotle, na wengine katika Wanafalsa.

Lakini kabla yao walipita mitume na manabii wengi ambao walifunuliwa kuhusu uwepo wa Mungu na sifa zake na ukamilifu wake.

Kwahiyo haya unayo yaandika huwezi kuyathibitisha hata kwa ushahidi wa uongo uwe wa Kihistoria au wa kisayansi.
Upo sawa ila uwepo wa mungu ni imani tu pia nawewe hauwezi udhibitisha kama ni kweli yupo zaidi yakukariri maneno ya kuambiwa tu.
 
Hivi mwanadamu ambaye Ni mavumbi tuuu anapata wapi ujasiri wa kusema hakuna Mungu.
Hata kama Ni ujuaji au kiburi tusifike huko.
God exists and will exist forever.
Amen
Kama mavumbi tu yanapinga mungu hayupo, ni dhahiri hawezikuwepo hata kwa bahati mbaya. Kinyago hakiwezimkataa aliekichonga.
 
Hii sio kweli labda utakuwa hujui Historia za mitume na Wanafalsafa.

Wanafalsafa wa kale wa Magharibi wao ndio walikuwa wanajiuliza sana nini chanzo Cha uhai na ulimwengu, kutokea hapo paka zuka majibu mengi sana, msome Pythagoras na chanzo Cha uhai, wasome wakina Plato, Socrates, Aristotle, na wengine katika Wanafalsa.

Lakini kabla yao walipita mitume na manabii wengi ambao walifunuliwa kuhusu uwepo wa Mungu na sifa zake na ukamilifu wake.

Kwahiyo haya unayo yaandika huwezi kuyathibitisha hata kwa ushahidi wa uongo uwe wa Kihistoria au wa kisayansi.
Siwezi kudhibitisha vip wakati ata wewe unaona kila mtu ana Mungu wake kichwani , kilichobaki ni kushawishiana tu kila mtu aone wa kwake ni bora kuliko wa mwingne , vitu virahisi unafanya viwe vigumu mkuu.
 
Uthibitisho;
للذي خلق سبع سموت طباقا ماتري في خلق الرحمن من تفوت فارجع البصر هل تري من فطور
Ambae ameumba mingu saba kwa tabaka hutaona tofauti yoyote katika uumbaji wake mwingi wa rehema basi rudisha jicho. Je, utaona ufa wowote?

Rudisha jicho lako mbinguni na tazama kwa makini. Je, pamoja na ukubwa wake na upana wake utaona humo mpasuko au ufa wowote?
Hadithi haijawaikuwa evidence.
 
Upo sawa ila uwepo wa mungu ni imani tu pia nawewe hauwezi udhibitisha kama ni kweli yupo zaidi yakukariri maneno ya kuambiwa tu.
Hili tumeshalifanya zaidi ya mara kumi humu. Ila nyinyi mnao dai hayupo ndio hamuwezi kuthibitisha hilo.

Labda tuanzie hapa, kwako wewe uthibitisho ni nini na ili uthibitisho uwe uthibitisho unatakiwa ukidhi vigezo gani ?
 
Hivi mwanadamu ambaye Ni mavumbi tuuu anapata wapi ujasiri wa kusema hakuna Mungu.
Hata kama Ni ujuaji au kiburi tusifike huko.
God exists and will exist forever.
Amen
Yupo kwenye fikra za mtu tu aliyekubali kujijengea hivyo usilazimishe uwepo wake kwa kila mtu.

Ndio maana ata waamin mungu kila mtu anaamin kwa mtazamo tofauti tofauti .
 
Back
Top Bottom