SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Sawa bac wote hatujui...so yaisheSawa na wewe jua ya kuwa kushindwa kuelewa uwepo wa kitu haufanyi hicho kitu kisiwepo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bac wote hatujui...so yaisheSawa na wewe jua ya kuwa kushindwa kuelewa uwepo wa kitu haufanyi hicho kitu kisiwepo...
Yes, na sio peke yangu na pia wala hakuna mtu alikulazimisha wewe binafsi kukubali...Hayo ni mawazo yako ni sawa na mi niseme kila demu mweupe ana mapepe...ni mawazo tu.. hujaprove bado kuwa Mungu yupo
Sio kila kitu REAL kina uthibitisho....... Tukikwambia uthibitishe uwepo babu zako 'vizazi kumi' nyuma utaweza?Hoja iliyopo mezani ni udhibitisho
Kwanza kabisa, hata kama si lazima process hii irudi nyuma ad infinitum, si lazima viwe vimeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote at one point.Vitu ambavyo ni complex lazima vimeumbwa/vimetengenezwa lakini si lazima process hii irudi nyuma ad infinitum kwani kwa logic hai make sense au haiwezekani ila kwa logic ina make sense kuwa itabidi iishie mahali fulani.
Kwa mara nyingine tena.Labda ni kujibu swali kwa swali, wewe una akili?
Ooh nimekupata unachotaka ni ushindi sasa chukua umeshinda.... Swali unalielewa ila unakwepa makusudi ili ushinde ndugu hatupo mahakamani.... 😂😂😂Kwa mara nyingine tena.
Kabla ya kujibu swali lako, nataka kuelewa unachouliza ni nini.
Unaposema "akili", unamaanisha nini?
Akili ni nini?
Hujajibu swali hili. Naanza kupata mashaka kama hata wewe mwenyewe unayeuliza kama mimi nina akili, unajua hicho unachouliza ni nini, unaju akili ni nini?
Kabla sijakujibu swali lako, naomba ufafanue nipate kuelewa, akili ni nini?
Katika wale "spiritual but not religiois" kuna wengi ni various shades of agnostic/atheist, ila unajua katika jamii nyingi kujitambulisha kama agnostic/atheist kuna penalty, hivyo wanaenda na label hiyo.😂Ila mi nachokuambia reality ni kwamba kwa educated peers atheism inakuwa kitu normal, watu wengi ni passive Muslims/christians, watu wengi Wanaona uhuni wa ma fake pastors n sheikhs.. watu Wanaona problems za evil, instruction, errors n inconsistent revelations, watu Wanaona vyote, watu ambao bado wameshika dini ni wale watu uneducated au wale walikuwa indoctrinated Sana kuamini supernatural Kama uchawi na mapepo...others most ppo as we grow tunaona flaws nyingi za dini...Watu siku hizi wanajiita Mara spiritual but not religious ndo hivyo...so critical thinking inakuwa na ushahidi wake ni huku jamii forums na peers wetu pia
Good boyYes, na sio peke yangu na pia wala hakuna mtu alikulazimisha wewe binafsi kukubali...
Why Mungu hajionyeshi?God is really kitu kinachofanya baadhi ya waswahili na Atheist kukataa kutukuwepo uwepo wa MUNGU ni kushindwa kuelewa kuwa binadamu anauwezo wa Kuwa na freewill na ukitumia freewill utapata matokeo chanya.
God is really.
Anyways mada kama hizi in jf zinaonyesha bongo tunaondoka kwenye utapeli huuKatika wale "spiritual but not religiois" kuna wengi ni various shades of agnostic/atheist, ila unajua katika jamii nyingi kujitambulisha kama agnostic/atheist kuna penalty, hivyo wanaenda na label hiyo.
Halafu hata kama hawajafika kuwa agnostic/atheist, they are certainly on their way there. Step ya kwanza ni kukataa religion, kwingine polepole mtu anaji liberate.
It is quite possible for one to be agnostic/atheist and spiritual but not religious, finding spirituality for example in the natural vastness of the universe and the natural laws that governs it, without needing to inject God or religion.
Ndio ntawezaSio kila kitu REAL kina uthibitisho....... Tukikwambia uthibitishe uwepo babu zako 'vizazi kumi' nyuma utaweza?
Hapana,Ooh nimekupata unachotaka ni ushindi sasa chukua umeshinda.... Swali unalielewa ila unakwepa makusudi ili ushinde ndugu hatupo mahakamani.... 😂😂😂
Kabla ya kusoma post yako hii, nime address swali lako hili, kwa nfano huo huo wa mababu ambao mnaoenda kuutumia, kwenye post yangu namba #393 mwishoni.Sio kila kitu REAL kina uthibitisho....... Tukikwambia uthibitishe uwepo babu zako 'vizazi kumi' nyuma utaweza?
....Hakuna mungu, Mkuu ! Kuna Mungu...! Tofautisha Hapo tafadhali...!Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Freewill is an illusion.God is really kitu kinachofanya baadhi ya waswahili na Atheist kukataa kutukuwepo uwepo wa MUNGU ni kushindwa kuelewa kuwa binadamu anauwezo wa Kuwa na freewill na ukitumia freewill utapata matokeo chanya.
God is really.
Hata huyo Mungu hayupo, huwezi kuthibitisha yupo na huwezi kupangua hoja zinazoonesha mapungufu ya kimantiki katika dhana ya uwepo wake.....Hakuna mungu, Mkuu ! Kuna Mungu...! Tofautisha Hapo tafadhali...!
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Bro zamani nilikuwa nakuona una shida ila duh nimekuja kugundua ni mmoja ya magenius wachache niliowahi kuwashuhudia. Umekuwa ni moja ya sababu zilizonibadilisha sana kutoka kwenye utumwa wa fikra.Hata huyo Mungu hayupo, huwezi kuthibitisha yupo na huwezi kupangua hoja zinazoonesha mapungufu ya kimantiki katika dhana ya uwepo wake.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote, angekuwapo, angejionesha wazi kwa viumbe wake wote wamjue bila utata wala mgogoro wa uelewa.
Kutojionesha hivyo ni ukatili mkubwa sana kwa Mungu huyo. Ukatili ambao umeleta ujinga wa migawanyiko ya dini na mizozo iliyoua mamilioni ya watu.
Mungu huyo mwenye upendo wote si mkatili hivyo.
Hivyo, ama ukatili huu upo, na Mungu hayupo. Ama Mungu yupo na ukatili huu haupo.
Ukatili huu upo. Ndiyo hii dunia ya mabishano ya JF kuhusu Mungu, vita za Waislamu na Wayahudi, Wakristo na Waislamu, crusades za miaka nenda rudi etc.
Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Angekuwapo, watu wote tungemjua bila utata.
Na hata huu mjadala wa kubishana kama Mungu yupo usingewezekana kufanyika.
Duh si mchezo, nondo deep sanaFreewill is an illusion.
You did not even choose to be born.
Dr. Robert Sapolsky of Stanford pretty much lays a rigorous scientific foundation to debunk the existence of freewill. Read his niew book.
"Determined: A Science of Life Without Free Will"
Also, freewill is mutually exclusive with an omniscient God.
We either have freewill in a universe where God does not know everything, or God knows everything but we have no freewill.
We can't have freewill and a universe in which God knows everything. There is a mutual exclusivity between the two.
Bro nashukuru sana kwa maneno yako.Bro zamani nilikuwa nakuona una shida ila duh nimekuja kugundua ni mmoja ya magenius wachache niliowahi kuwashuhudia. Umekuwa ni moja ya sababu zilizonibadilisha sana kutoka kwenye utumwa wa fikra.