Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Vitu ambavyo ni complex lazima vimeumbwa/vimetengenezwa lakini si lazima process hii irudi nyuma ad infinitum kwani kwa logic hai make sense au haiwezekani ila kwa logic ina make sense kuwa itabidi iishie mahali fulani.
Kwanza kabisa, hata kama si lazima process hii irudi nyuma ad infinitum, si lazima viwe vimeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote at one point.

Kwa mfano, hakuna ushahidi wowote wa kupinga kwamba ulimwengu umekuwapo milele, na hata maana ya muda hatujapata kuielewa vizuri zaidi.

Katika quantum physics, hakuna tatizo kabisa kwa cause A kutoa effect B ambayo pia hiyo effect B ni cause ya A.

Katika ulimwengu kama huo, vitu vitakuwa vinajirudia tu inna circular way, muumbaji wa kwanza hahitajiki.

Ukitafuta muumbaji wa kwanza hapo, ni kama unatafuta sehemu moja ambayo unataka uende kuona "mwianzo wa dunia" katika dunia ambayo ni tufe kama yai, surface yake haina mwanzo wala mwisho.

Pili, tumeshaona problem Of evil inakataza Mungu huyo kuwepo. Bila ku resolve problem of evil, unacheza tu.

As long as we ooerate under logic, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo hayuko compatible na ni mutual exckusive na ulimwengu unaoruhusu mabaya.

Ama ulimwengu huo upo na Mungu huyo hayupo, ama Mungu huyo yupo na ulimwengu huo haupo. The two are mutually exclusive.

We know that ulimwengu huo upo, ndio huu tunaoishi.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Ukikataa logic ndiyo kabisaa, umeruhusu ulimwengu ambao ni random, haumuhitaji first mover, na hauhitaji Mungu awepo.

So. Ukikubali logic, Mungu hayupo kwa sababu ya logical contradictions nyingi sana.

Ukikataa logic, Mungu hahitajiki kabisa, in a non logical world, anything can exist without needing God to create it.

Tatu, ukisharuhusu tu at any point kitu kilicho complex kuweza kuwepo bila kuumbwa, umeshafungua mlango wa Mungu kutohitajika. Maana, ukitaka kuweka exception at any point ya kitu kilicho complex kuweza kuwepo bila kuumbwa, unaondoa ile rule ya kwamba kitu kilicho complex hakiwezi kuwepo bila kuumbwa. Ukishaondoa hiyo rule mara moja, huna msingi wa kukataa hiyo rule kuvunjwa sehemu nyingine yoyote. Hiyo rule ikiwezekana kuvunjika sehemu nyingine yoyote, Mungu hahitajiki.

Nne, hapa Mungu ana survive kwa concept ya "Deus ex Machina" tu. Wagiriki walikuwa wanapenda sana michezo (plays) na tamthiliya. Sasa, mara nyingi stories zao zilikuwa zinaendelea sana na kuwa so complex, mpaka muandishi akawa ana shindwa kufanya resolution ya kila kitu mwisho wa story. Basi wakalitengeneza limashine moja la mbao, story ikiwa ngumu kumalizia vizuri kwa resolution ya kueleweka, wanalishusha hilo li wooden God katikati ya stage. Wanasema "Mungu akashuka, akamaliza kila kitu". Deus ex Machina, linamaliza mchezo. Mungu kashuka, kamalza kila kitu.

Hapa ndicho mnachofanya.

Mnalazimisha tu kuwa Mungu awe muumba kila kitu.

Hiyo ni habari ya mchezo ambao hatujapata resolution ya story, tume conclude tu kwa kutunga mwisho wa Deus ex Machina.

Mpaka leo, katika literature, katika book review, ukisema "muandishi huyu kamaliza kitabu kwa Deus ex Machina", ina maana mbaya sana kwa muandishi yule. Maana yake mwisho wa kitabu kau force. Story haina resolution nzuri.

Kwa nini mnalazimisha ulimwengu una chanzo kimoja na chanzo hicho ni Mungu? Kwa nini Mungu mnampa u special ambao haujawa proved na wala hau make sense? Kwa nini Mungu u special wake unavunja sheria mlizokubali? Kwa nini u special huu unakuja arbitrarily na kutoka watu wa dini ambao historia inatuonesha wamekosea mambo mengi sana, kuanzia kutufundisha jua linazunguka dunia mpaka kutuambia habari nyingi sana ambazo nimeziweka hapo juu zinazoonesha contradictions za kwenye Bible na Quran?

If the problem of evil shows logically, that God the omnipotent, omniscient and all benevolent cannot exist, how could he have created the universe?
 
Labda ni kujibu swali kwa swali, wewe una akili?
Kwa mara nyingine tena.

Kabla ya kujibu swali lako, nataka kuelewa unachouliza ni nini.

Unaposema "akili", unamaanisha nini?

Akili ni nini?

Hujajibu swali hili. Naanza kupata mashaka kama hata wewe mwenyewe unayeuliza kama mimi nina akili, unajua hicho unachouliza ni nini, unaju akili ni nini?

Kabla sijakujibu swali lako, naomba ufafanue nipate kuelewa, akili ni nini?
 
God is really kitu kinachofanya baadhi ya waswahili na Atheist kukataa kutukuwepo uwepo wa MUNGU ni kushindwa kuelewa kuwa binadamu anauwezo wa Kuwa na freewill na ukitumia freewill utapata matokeo chanya.

God is really.
 
Ooh nimekupata unachotaka ni ushindi sasa chukua umeshinda.... Swali unalielewa ila unakwepa makusudi ili ushinde ndugu hatupo mahakamani.... 😂😂😂
 
😂Ila mi nachokuambia reality ni kwamba kwa educated peers atheism inakuwa kitu normal, watu wengi ni passive Muslims/christians, watu wengi Wanaona uhuni wa ma fake pastors n sheikhs.. watu Wanaona problems za evil, instruction, errors n inconsistent revelations, watu Wanaona vyote, watu ambao bado wameshika dini ni wale watu uneducated au wale walikuwa indoctrinated Sana kuamini supernatural Kama uchawi na mapepo...others most ppo as we grow tunaona flaws nyingi za dini...Watu siku hizi wanajiita Mara spiritual but not religious ndo hivyo...so critical thinking inakuwa na ushahidi wake ni huku jamii forums na peers wetu pia
Katika wale "spiritual but not religiois" kuna wengi ni various shades of agnostic/atheist, ila unajua katika jamii nyingi kujitambulisha kama agnostic/atheist kuna penalty, hivyo wanaenda na label hiyo.

Halafu hata kama hawajafika kuwa agnostic/atheist, they are certainly on their way there. Step ya kwanza ni kukataa religion, kwingine polepole mtu anaji liberate.

It is quite possible for one to be agnostic/atheist and spiritual but not religious, finding spirituality for example in the natural vastness of the universe and the natural laws that governs it, without needing to inject God or religion.
 
God is really kitu kinachofanya baadhi ya waswahili na Atheist kukataa kutukuwepo uwepo wa MUNGU ni kushindwa kuelewa kuwa binadamu anauwezo wa Kuwa na freewill na ukitumia freewill utapata matokeo chanya.

God is really.
Why Mungu hajionyeshi?
 
Anyways mada kama hizi in jf zinaonyesha bongo tunaondoka kwenye utapeli huu
 
Ooh nimekupata unachotaka ni ushindi sasa chukua umeshinda.... Swali unalielewa ila unakwepa makusudi ili ushinde ndugu hatupo mahakamani.... 😂😂😂
Hapana,

Lugha yetu haija define mambo vizuri, nakutaka unielezee una maana gani unapotumia neno akili? Umeshindwa.

Umeshindwa hata kuuliza swali!

Suppose nikikwambia sina akili, au nina akili, hilo lina prove vipi Mungu yupo au hayupo?

Jibu lolote nitakalokupa, hali prove Mungu yupo au hayupo.

Nikikwambia nina akili, ukaniambia thibitisha una aklli. Nikakwambia siwezi. Kutoweza kwangu kuthibitisha kuwa nina akili hakuthibitishi Mungu yupo.

Ukitaka kufanya kushindwa kwangu kuthibitisha kuwa nina akili kuwa sawa na Mungu kuwepo ila watu kushindwa kumthibitisha tu, utakuwa unafanya logical fallacy ya logical non sequitur.

Na mimi naweza kukwambia, una akili? Ukasema ndiyo. Nikakwambia thibitisha una akili. Ukasema siwezi, ila ninazo. Na mimi nikakwambia ahaa, basi kwa kuwa wewe una akili na huwezi kuthibitisha kuwa una akili, basi na mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, na kama ambavyo wewe huwezi kuthibitisha una akili, ndivyo hivyo hivyo huwezi kuthibitisha kuwa mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ika wewe huwezi kuthibitisha hilo tu, kama ambavyo wewe una akiki, ila huwezi kuthibitisha hilo tu.

Logical non sequitur.

Wewe kushindwa kuthibitisha kuwa una akili hakuthibitishi kwamba mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Nikisema mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, inabidi nithibitishe hilo.

Ukisema Mungu yupo, thibitisha hilo. Usitake kufanya mimi kushindwa kuthibitisha nina akili ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo, ila hatuwezi kuthibitisha yupo.

Mimi nikishindwa kuthibitisha nina akili, hilo halithibitishi Mungu yupo, litathibitisha tu kwamba mimi siwezi kuthibitisha nina akili.

Umeelewa kuwa swali lako, katika kuthibitisha Mungu yupo au hayupo, ni irrelevant?

Nikisema nina akili, nikashindwa kuthibitisha akili ninayo, hilo hali prove Mungu yupo.

Nikisema nina akili, nikaweza kuthibitisha akili ninayo, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Nikisema sina akili, nikashindwa kuthibitisha akili sinayo, hilo hakithibitishi uwepo wa Mungu.

Nikisema sina akili, nikaweza kuthibitisha akili sinayo, hilo halithibitishi uwepo wa Mungu.

Swali ni irrelevant. Kwa sababu jibu lolote halitusogezi popote katikankujua zaidi kama Mungu yupo au hayupo.

Maswali kama haya ya kuokoteza kwenye video clips za comedy za Wa Nigeria yanaweza kuonekana magumu na ya muhimu kwa watu wajingawajinga wasiojua kutumia mantiki katika kuwaza.

Watu wanaoangalia kila sentensi kimantiki, wanaona logical non sequitur fallacu katika huu mchezo wa kitoto wa Ki Nigeria kuwakamata atheists.

Zaidi ya yote, madai ya kusema Mungu hayupo hayatokani tu na ukweli kwamba watu hawawezi kuthibitisha Mungu yupo.

Ni kweli, inawezekana kitu kikawepo halafu watu wakashindwa tu kukithibitisha kuwa kipo. Hivyo, ingekuwa madai ya kwamba Mungu hayupo yanatokana tu na watu kushindwa kuthibitisha Mungu yupo, madai hayo ya kusema Mungu hayupo yangekuwa dhaifu. Tumeishi miaka mingi bila ya kujua formulaes za kemikalo za madawa ya antibiotics kwa mfano, ila sisi kutojua formulaes za kemikali hizo hakukufanya kemikali hizo zisiwepo.

So, kusema tu Mungu hayupo kwa sababu watu hawawezi kuthibitisha yupo ni weak argument.

Ni sawa na kusema babu wa babu yako hajawahi kuishi, kwa sababu wewe leo huwezi kuthibitisha babu wa babu yako aliishi. Pengine huna record tu, lakini huyo babu wa babu yako aliishi.

Tunapinga uwepo wa Mungu kwa sababu hamuwezi kuthibitisha Mungu yupo na pia dhana ya kuwepo Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote iko contadicted na ulimwengu huu tunaouona unaoruhusu mabaya, the problem of evil shows God and this universe are mutually exclusive, and because this universe exists, Gid does not.

I am not sure you can get that through your head.
 
Sio kila kitu REAL kina uthibitisho....... Tukikwambia uthibitishe uwepo babu zako 'vizazi kumi' nyuma utaweza?
Kabla ya kusoma post yako hii, nime address swali lako hili, kwa nfano huo huo wa mababu ambao mnaoenda kuutumia, kwenye post yangu namba #393 mwishoni.

Soma.

Umuhimu wa uthibitisho wa uwepo wa Mungu si nguzo pekee, wala ya muhimu sana katika kupinga uwepo wa Mungu.

Umuhimu wa uthibitisho wa uwepo wa Mungu unakuja tukiangalia, kwa nfano, ukweli kwamba dhana yenyewe ya kuwepo Mungu ina contradiction.

Yani ni hivi, habari ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya ina contradiction kubwa sana, kwa sababu Mungu huyo na ulimwengu huo ni mutually exclusive, viwili ambavyo haviwezi kuwapo pamoja.

Ni kama wewe leo utuambie kuwa una miaka 30 leo, halafu mama yako mzazi ana miezi 6 leo.

Habari hiyo ina contradiction inayoonesha kuw habari hiyo si kweli. Wewe kuwa na miaka 30 leo ni mutually exclusive na mama yako kuwa na miezi 6 leo. Ama wewe una miakan30 na mama yako hana miezi 6, ama hata ukitokea muujiza mtoto wa miezi 6 leo akazaa, basi mwanae huyo mtoto wa miezi 6 hatakuwa na miaka 30 leo.

Kwa hiyo, point ya uthibitisho inapata umuhimu ukianzia kwenye point ya contradiction.

Ukisema Mungu yupo, na kaumba ulimwengu, ni sawa na umesema kuna binti mwenye miezi 6 leo ambaye ni mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo.

Hapo kuna contradiction inayoonesha hiyo habari si kweli.

Na hapo ndipo umuhimu wa uthibitisho unapokuja.

Unaambiwa thibitisha huyu binti wa miezi 6 leo ni mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye miaka 30 leo.

Ukiweza kuthibitisha, unemaliza ubishi.

Ukishindwa kuthibitisha, point ya kushindwa kuthibitisha tu haikumalizi, point ya contradiction inakumaliza.

Tunapokutaka uthibitishe Mungu yupo, tunakupa nafasi tu ya kumaliza ubishi.

Nafasi ambayo huwezi kuitumia kumakiza ubishi.

Kwa sababu huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Contradiction katika the problem of evil inatuonesha Mungu hayupo.
 
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.

Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.

Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.

Ni ingie kwenye point.

Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.

Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.

Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.

Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.

Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
....Hakuna mungu, Mkuu ! Kuna Mungu...! Tofautisha Hapo tafadhali...!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
God is really kitu kinachofanya baadhi ya waswahili na Atheist kukataa kutukuwepo uwepo wa MUNGU ni kushindwa kuelewa kuwa binadamu anauwezo wa Kuwa na freewill na ukitumia freewill utapata matokeo chanya.

God is really.
Freewill is an illusion.

You did not even choose to be born.

Dr. Robert Sapolsky of Stanford pretty much lays a rigorous scientific foundation to debunk the existence of freewill. Read his niew book.

"Determined: A Science of Life Without Free Will"​

Also, freewill is mutually exclusive with an omniscient God.

We either have freewill in a universe where God does not know everything, or God knows everything but we have no freewill.

We can't have freewill and a universe in which God knows everything. There is a mutual exclusivity between the two.
 
....Hakuna mungu, Mkuu ! Kuna Mungu...! Tofautisha Hapo tafadhali...!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Hata huyo Mungu hayupo, huwezi kuthibitisha yupo na huwezi kupangua hoja zinazoonesha mapungufu ya kimantiki katika dhana ya uwepo wake.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, angekuwapo, angejionesha wazi kwa viumbe wake wote wamjue bila utata wala mgogoro wa uelewa.

Kutojionesha hivyo ni ukatili mkubwa sana kwa Mungu huyo. Ukatili ambao umeleta ujinga wa migawanyiko ya dini na mizozo iliyoua mamilioni ya watu.

Mungu huyo mwenye upendo wote si mkatili hivyo.

Hivyo, ama ukatili huu upo, na Mungu hayupo. Ama Mungu yupo na ukatili huu haupo.

Ukatili huu upo. Ndiyo hii dunia ya mabishano ya JF kuhusu Mungu, vita za Waislamu na Wayahudi, Wakristo na Waislamu, crusades za miaka nenda rudi etc.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Angekuwapo, watu wote tungemjua bila utata.

Na hata huu mjadala wa kubishana kama Mungu yupo usingewezekana kufanyika.
 
Hata huyo Mungu hayupo, huwezi kuthibitisha yupo na huwezi kupangua hoja zinazoonesha mapungufu ya kimantiki katika dhana ya uwepo wake.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote, angekuwapo, angejionesha wazi kwa viumbe wake wote wamjue bila utata wala mgogoro wa uelewa.

Kutojionesha hivyo ni ukatili mkubwa sana kwa Mungu huyo. Ukatili ambao umeleta ujinga wa migawanyiko ya dini na mizozo iliyoua mamilioni ya watu.

Mungu huyo mwenye upendo wote si mkatili hivyo.

Hivyo, ama ukatili huu upo, na Mungu hayupo. Ama Mungu yupo na ukatili huu haupo.

Ukatili huu upo. Ndiyo hii dunia ya mabishano ya JF kuhusu Mungu, vita za Waislamu na Wayahudi, Wakristo na Waislamu, crusades za miaka nenda rudi etc.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Angekuwapo, watu wote tungemjua bila utata.

Na hata huu mjadala wa kubishana kama Mungu yupo usingewezekana kufanyika.
Bro zamani nilikuwa nakuona una shida ila duh nimekuja kugundua ni mmoja ya magenius wachache niliowahi kuwashuhudia. Umekuwa ni moja ya sababu zilizonibadilisha sana kutoka kwenye utumwa wa fikra.
 
Freewill is an illusion.

You did not even choose to be born.

Dr. Robert Sapolsky of Stanford pretty much lays a rigorous scientific foundation to debunk the existence of freewill. Read his niew book.

"Determined: A Science of Life Without Free Will"​

Also, freewill is mutually exclusive with an omniscient God.

We either have freewill in a universe where God does not know everything, or God knows everything but we have no freewill.

We can't have freewill and a universe in which God knows everything. There is a mutual exclusivity between the two.
Duh si mchezo, nondo deep sana
 
Bro zamani nilikuwa nakuona una shida ila duh nimekuja kugundua ni mmoja ya magenius wachache niliowahi kuwashuhudia. Umekuwa ni moja ya sababu zilizonibadilisha sana kutoka kwenye utumwa wa fikra.
Bro nashukuru sana kwa maneno yako.

Watu wengi huniuliza, kwa nini unashikilia sana hizi habari? Huchoki?

Jana mtu kaniuliza, "What is your mission?"

Nilimjibu kifupi tu.

To shine the light of knowledge where there is darkness of ignorance.

Watu wengine hawanielewi kabisa, wengine wanafikiri mimi Freemason. Hawajui kwamba Atheists hawakubaliwi kuwa Freemasons, unatakiwa kuamini Mungu au nguvu fulani ya kimungu ili ukubaliwe kuwa Freemason, hivyo wao waamini wapo karibu na Freemasons kuliko mimi atheist.

Watu wengi hawanielewi kabisa.

Ila naona tusioamini tumeongezeka, hili linanipa faraja sana.

Nikiona post kama yako hata moja kwa mwezi, inanipa nguvu sana, inaniambia kwamba kazi ninayofanya haipotei bure.

Na yumkini kama wewe mmoja umeandika hivi, kuna wengi wanapata maarifa na kupiga like tu, au hata kusoma bila kupiga like, lakini, kuongeza maarifa fulani yanayokwenda kuvunja minyororo ya utumwa wa dini na imani ya Mungu.
 
Back
Top Bottom