Sasa kama huna hoja na elimu juu ya unachokipinga, kwahiyo uendelee kujadili ? Ina maana huu ujinga unao ufanya huuoni ?Tuache tena🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama huna hoja na elimu juu ya unachokipinga, kwahiyo uendelee kujadili ? Ina maana huu ujinga unao ufanya huuoni ?Tuache tena🙄🙄
Lakini unakubali kwamba kuna contradictions fulani za kimantiki zinazoonesha kitu fulani hakipo?Sawa na wewe jua ya kuwa kushindwa kuelewa uwepo wa kitu haufanyi hicho kitu kisiwepo...
Mambo ya kiroho Kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo.Freewill is an illusion.
You did not even choose to be born.
Dr. Robert Sapolsky of Stanford pretty much lays a rigorous scientific foundation to debunk the existence of freewill. Read his niew book.
"Determined: A Science of Life Without Free Will"
Also, freewill is mutually exclusive with an omniscient God.
We either have freewill in a universe where God does not know everything, or God knows everything but we have no freewill.
We can't have freewill and a universe in which God knows everything. There is a mutual exclusivity between the two.
Mkuu unahubiri wala huna hoja , ndio maana nmekupotezea , pia unachokitolea madai hakina udhibitisho ni imani tu , ndio maana hizo imani zipo tofauti kwa baina ya jamii na jamii.Sasa kama huna hoja na elimu juu ya unachokipinga, kwahiyo uendelee kujadili ? Ina maana huu ujinga unao ufanya huuoni ?
Huwezi kuelewa mambo ya kiroho ikiwa haupo open minded GOD is really ila ukiwa low minded you can't understand this powerWhy Mungu hajionyeshi?
Kiroho, Mungu zote hizo zipo kichwan kwa mwamini tu, ndio maana tunaita imani tu , hazina uthibitisho wowote.Huwezi kuelewa mambo ya kiroho ikiwa haupo open minded GOD is really ila ukiwa low minded you can't understand this power
Nasisitiza hakikisha unakijua unacho kijadili.Mkuu unahubiri wala huna hoja , ndio maana nmekupotezea , pia unachokitolea madai hakina udhibitisho ni imani tu , ndio maana hizo imani zipo tofauti kwa baina ya jamii na jamii.
Personally I used to bealive this lakini nilipoanza kutumia hizi nguvu toward my stuff nikangundua God is really na ametupa freewill ukiamua kuwa unavyotaka utakuwa it up to youKiroho, Mungu zote hizo zipo kichwan kwa mwamini tu, ndio maana tunaita imani tu , hazina uthibitisho wowote.
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?Mambo ya kiroho Kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo.
Unabidi kuwa open minded kuelewa how universe works
Tushakataza kutumia mambo ya kiroho Kama Chaka la kujifichiaMambo ya kiroho Kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo.
Unabidi kuwa open minded kuelewa how universe works
😂Kiroho ni Nini? Na what's the difference with kitu ambacho ni Cha kiroho na kitu ambacho hakipo ..mi naweza sema nimelala na mke wako kiroho ndo maana amechoka mapaja...how can u prove that..hebu niambieHuwezi kuelewa mambo ya kiroho ikiwa haupo open minded GOD is really ila ukiwa low minded you can't understand this power
As I mention Above that spiritual matters is not for low minded but is for those who are already reached at the high peak of being open minded .😂Kiroho ni Nini? Na what's the difference with kitu ambacho ni Cha kiroho na kitu ambacho hakipo ..mi naweza sema nimelala na mke wako kiroho ndo maana amechoka mapaja...how can u prove that..hebu niambie
Tushakataza kutumia mambo ya kiroho Kama Chaka la kujifichia
Freewill is an illussion.Personally I used to bealive this lakini nilipoanza kutumia hizi nguvu toward my stuff nikangundua God is really na ametupa freewill ukiamua kuwa unavyotaka utakuwa it up to you
Kwenye "Spiritual Matters" anything goes, there is no fornula. Kitu kinaweza kuwa explained simply as "the lord works in mysterious ways".As I mention Above that spiritual matters is not for low minded but is for those who are already reached at the high peak of being open minded .
Ata ukiitumia bangi ikutume ufanye jambo fulani gumu unalifanya , nguvu ya mawazo na fikra na kutaka kuwa unavyotaka ipo sawa lakini haidhibitishi uwepo wa Mungu jambo hili linabaki kuwa ni imani tu.Personally I used to bealive this lakini nilipoanza kutumia hizi nguvu toward my stuff nikangundua God is really na ametupa freewill ukiamua kuwa unavyotaka utakuwa it up to you
Hakikisha unatetea kiumbe unachokijua na sio kutaka kila mtu aamini hadith za kiarabu za juma na uledi.Nasisitiza hakikisha unakijua unacho kijadili.
Upo sahihi Kwa upande wakoAta ukiitumia bangi ikutume ufanye jambo fulani gumu unalifanya , nguvu ya mawazo na fikra na kutaka kuwa unavyotaka ipo sawa lakini haidhibitishi uwepo wa Mungu jambo hili linabaki kuwa ni imani tu.
Kwel kabisa upo sawa , ndio maana kila jamii na Mungu wake kichwan , wengne Allah , wengne yaweh wengne yesu , wengne mizimu , kila mtu yupo sahihi kwa sababu kwenye imani kila mtu anayo haki ya kuamni anavyo amini .Upo sahihi Kwa upande wako
Bro usichoke, Hustle hizi zinazaa matunda. Ukweli ni kuwa jamii zetu bila kutoka kwenye utumwa huu wa Dini na Miungu hatutaweza kufikia maendeleo ya Nchi za Dunia ya kwanza. So mission ya kwanza ni kuwatoa watu usingizini.Bro nashukuru sana kwa maneno yako.
Watu wengi huniuliza, kwa nini unashikilia sana hizi habari? Huchoki?
Jana mtu kaniuliza, "What is your mission?"
Nilimjibu kifupi tu.
To shine the light of knowledge where there is darkness of ignorance.
Watu wengine hawanielewi kabisa, wengine wanafikiri mimi Freemason. Hawajui kwamba Atheists hawakubaliwi kuwa Freemasons, unatakiwa kuamini Mungu au nguvu fulani ya kimungu ili ukubaliwe kuwa Freemason, hivyo wao waamini wapo karibu na Freemasons kuliko mimi atheist.
Watu wengi hawanielewi kabisa.
Ila naona tusioamini tumeongezeka, hili linanipa faraja sana.
Nikiona post kama yako hata moja kwa mwezi, inanipa nguvu sana, inaniambia kwamba kazi ninayofanya haipotei bure.
Na yumkini kama wewe mmoja umeandika hivi, kuna wengi wanapata maarifa na kupiga like tu, au hata kusoma bila kupiga like, lakini, kuongeza maarifa fulani yanayokwenda kuvunja minyororo ya utumwa wa dini na imani ya Mungu.