Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Sawa na wewe jua ya kuwa kushindwa kuelewa uwepo wa kitu haufanyi hicho kitu kisiwepo...
Lakini unakubali kwamba kuna contradictions fulani za kimantiki zinazoonesha kitu fulani hakipo?

Kwamba, kama tunajua kamwe binti wa umri wa miezi 6 leo hawezi kuwa na mtoto wa kumzaa yeye mwenyewe, halafu tunaambiwa kuwa kuna binti wa miezi 6 leo, Anna, ana mtoto wa kumzaa mwenyewe, Juma, mwenye miaka 30 leo, tutajua habari hiyo ni ya uongo, kwa sababu ime contradict principle ya kwamba binti wa miezi 6 hawezi kuwa na mtoto wa kumzaa, na pia ime contradict timeline, binti wa miezi 6 ni mdogo kuliko mwanaume wa miaka 30.

Hivyo tunaweza kujua kuwa, binti wa umri wa miezi 6 leo, hawezi kuwa mama mzazi wa kibaiolojia wa mwanamme mwenye umri wa miaka 30 leo?

Unakubali mantiki hii ya proof by contradiction?
 
Freewill is an illusion.

You did not even choose to be born.

Dr. Robert Sapolsky of Stanford pretty much lays a rigorous scientific foundation to debunk the existence of freewill. Read his niew book.

"Determined: A Science of Life Without Free Will"​

Also, freewill is mutually exclusive with an omniscient God.

We either have freewill in a universe where God does not know everything, or God knows everything but we have no freewill.

We can't have freewill and a universe in which God knows everything. There is a mutual exclusivity between the two.
Mambo ya kiroho Kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo.

Unabidi kuwa open minded kuelewa how universe works
 
Sasa kama huna hoja na elimu juu ya unachokipinga, kwahiyo uendelee kujadili ? Ina maana huu ujinga unao ufanya huuoni ?
Mkuu unahubiri wala huna hoja , ndio maana nmekupotezea , pia unachokitolea madai hakina udhibitisho ni imani tu , ndio maana hizo imani zipo tofauti kwa baina ya jamii na jamii.
 
Huwezi kuelewa mambo ya kiroho ikiwa haupo open minded GOD is really ila ukiwa low minded you can't understand this power
Kiroho, Mungu zote hizo zipo kichwan kwa mwamini tu, ndio maana tunaita imani tu , hazina uthibitisho wowote.
 
Kiroho, Mungu zote hizo zipo kichwan kwa mwamini tu, ndio maana tunaita imani tu , hazina uthibitisho wowote.
Personally I used to bealive this lakini nilipoanza kutumia hizi nguvu toward my stuff nikangundua God is really na ametupa freewill ukiamua kuwa unavyotaka utakuwa it up to you
 
Mambo ya kiroho Kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo.

Unabidi kuwa open minded kuelewa how universe works
Roho ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?

Au ndiyo unaambiwa uthibitishe uongo mmoja, habari za Mungu, unatupiga chenga nabm kutupeleka kwenye uongo mwingine, roho, ambao nao pia huwezi kuuthibitisha?

Ukianza kwa principle ya "mambo ya kiroho kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo" ndiyo mwanzo wa kumruhusu mchungaji amchukue mke wako akamfanye vibaya.

Mchungaji atakuja na kukuomba amfanye vibaya mke wako, kwa msingi wa "mambo ya kiroho".

Utambishia? Utamkatalia?

Utamkatalia kwa kanuni gani wakati ushakubali "mambo ya kiroho kwa kutumia akili huwezi kuyaelewa hata kidogo"?

Na mchungaji anakwambia hili ni jambo la kiroho, huwezi kukielewa hata kidogo!

Utakubali mchungaji aende kumdinya mke wako kwa sababu hilo ni jambo la kiroho na wewe huwezi kulielewa hata kidogo kwa kutumia aklli?
 
Huwezi kuelewa mambo ya kiroho ikiwa haupo open minded GOD is really ila ukiwa low minded you can't understand this power
😂Kiroho ni Nini? Na what's the difference with kitu ambacho ni Cha kiroho na kitu ambacho hakipo ..mi naweza sema nimelala na mke wako kiroho ndo maana amechoka mapaja...how can u prove that..hebu niambie
 
😂Kiroho ni Nini? Na what's the difference with kitu ambacho ni Cha kiroho na kitu ambacho hakipo ..mi naweza sema nimelala na mke wako kiroho ndo maana amechoka mapaja...how can u prove that..hebu niambie
As I mention Above that spiritual matters is not for low minded but is for those who are already reached at the high peak of being open minded .
 
Personally I used to bealive this lakini nilipoanza kutumia hizi nguvu toward my stuff nikangundua God is really na ametupa freewill ukiamua kuwa unavyotaka utakuwa it up to you
Freewill is an illussion.

Wewe hujuchagua hata kuzaliwa.

Hukuchagua uzaliwe nchi gani. Hukuchagua uzaliwe na wazazi gani. Hukucjagua uzaliwe na genes gani. Hukuchagua mwaka wa kuzaliwa. Hukuchagua sura yako itakuwaje, utakuwa mrefu au mfupi vipi.

Hukuchagua kuzaliwa mtu.

Hivi ni vitu vinavyokuja kuathiri maisha yako yote.

Na kama hukuvichagua, vingine vyote utakavyoona umechagua ni illusion tu.

Unaweza kujiona kwamba umechagua kwa uhuru wako kuingia JF leo

Kumbe, sehemu ya wewe kuchagua kuingia JF si uamuzi wako, ni matokeo ya wewe kuzaliwa mwaka fulani. Ungezaliwa mwaka 1600, usingeijua JF.

Ni matokeo ya wewe kuzaliwa Tanzania.

Ungezaliwa North Korea ambako internet yao haina access na sites za nje, usingeiona JF.

Ni matokeo ya wewe kuwa na access ya internet.

Ungekuwa ni kati ya watu wasio na access na internet, usingeingia JF.

Ni matokeo ya Max na wenzake kuitengeneza JF.

Max na wenzake wasingeitengeneza JF, usingeingia JF leo.

Ni matokeo ya server la JF kufanya kazi bila hitilafu leo.

Server la JF lingeharibika na kufanya JF isiwe kwenye internet, usingeingia JF.

Sasa, kwako wewe, unajiona leo umeingia JF kwa kuamua wewe mwenyewe. Una freewill iliyokupa uamuzi wa kuingia JF, ukaingia.

Wakati hiyo option ya kuweza kuingia JF yenyewe kuwapo inategemea vitu vingine vingi sana ambavyo viko nje ya uwezo wako, na hivyo, huwezi kusema uamuzi wa kuingia JF umetokana na freewill yako tu.

Kuna website haijatengenezwa na hukupewa option ya kuingia hiyo website, kwa hivyo hata hizi unazoingia, si full set of possible websites useme umechagua kwa freewill yako.

Umechagua ulivyopewa uchague tu.

Ni kama unatazama movies za Netflix.

Pale unapochagua movies, unajiona wewe una uwezo wote wa kuchagua movie unayotaka.

Kumbe, katika zile movies unazochagua, zote umechaguliwa na Netflix uchague, na kuna nyingi sana hazipo katika ucjmhaguzi wako Netflix.

Unajiona unachagua, kumbe umechaguliwa cha kuchagua na hivyo huna uchaguzi bali kuchagua zile movies zilizochaguliwa uchague!

Freewill is an illussion.
 
As I mention Above that spiritual matters is not for low minded but is for those who are already reached at the high peak of being open minded .
Kwenye "Spiritual Matters" anything goes, there is no fornula. Kitu kinaweza kuwa explained simply as "the lord works in mysterious ways".

How is that high minded when compared to the rigors of natural science that operate under well established matematically precise formulaes?
 
Personally I used to bealive this lakini nilipoanza kutumia hizi nguvu toward my stuff nikangundua God is really na ametupa freewill ukiamua kuwa unavyotaka utakuwa it up to you
Ata ukiitumia bangi ikutume ufanye jambo fulani gumu unalifanya , nguvu ya mawazo na fikra na kutaka kuwa unavyotaka ipo sawa lakini haidhibitishi uwepo wa Mungu jambo hili linabaki kuwa ni imani tu.
 
Ata ukiitumia bangi ikutume ufanye jambo fulani gumu unalifanya , nguvu ya mawazo na fikra na kutaka kuwa unavyotaka ipo sawa lakini haidhibitishi uwepo wa Mungu jambo hili linabaki kuwa ni imani tu.
Upo sahihi Kwa upande wako
 
Upo sahihi Kwa upande wako
Kwel kabisa upo sawa , ndio maana kila jamii na Mungu wake kichwan , wengne Allah , wengne yaweh wengne yesu , wengne mizimu , kila mtu yupo sahihi kwa sababu kwenye imani kila mtu anayo haki ya kuamni anavyo amini .

Shida inaanza pale sisi wamatumbi tulioletewa hiz iman na tukaacha zetu , tunapobaguana na kuona imani yako ndio ipo sahihi kuliko mwingne .

Sasa imefika hatua hadi kutoana uhai kwa misingi ya kiimani.
 
Bro nashukuru sana kwa maneno yako.

Watu wengi huniuliza, kwa nini unashikilia sana hizi habari? Huchoki?

Jana mtu kaniuliza, "What is your mission?"

Nilimjibu kifupi tu.

To shine the light of knowledge where there is darkness of ignorance.

Watu wengine hawanielewi kabisa, wengine wanafikiri mimi Freemason. Hawajui kwamba Atheists hawakubaliwi kuwa Freemasons, unatakiwa kuamini Mungu au nguvu fulani ya kimungu ili ukubaliwe kuwa Freemason, hivyo wao waamini wapo karibu na Freemasons kuliko mimi atheist.

Watu wengi hawanielewi kabisa.

Ila naona tusioamini tumeongezeka, hili linanipa faraja sana.

Nikiona post kama yako hata moja kwa mwezi, inanipa nguvu sana, inaniambia kwamba kazi ninayofanya haipotei bure.

Na yumkini kama wewe mmoja umeandika hivi, kuna wengi wanapata maarifa na kupiga like tu, au hata kusoma bila kupiga like, lakini, kuongeza maarifa fulani yanayokwenda kuvunja minyororo ya utumwa wa dini na imani ya Mungu.
Bro usichoke, Hustle hizi zinazaa matunda. Ukweli ni kuwa jamii zetu bila kutoka kwenye utumwa huu wa Dini na Miungu hatutaweza kufikia maendeleo ya Nchi za Dunia ya kwanza. So mission ya kwanza ni kuwatoa watu usingizini.

Inataka nguvu kubwa sana ya mtu wa aina yetu kuelewesha watu hawa wakaelewa.

Most of these people are not ready to be unplugged. And many of them are so inured, so hopelessly dependent on the system,
that they will fight to protect it.
 
Back
Top Bottom