Kwenye kuleta vifungu vya katiba kama biblia ndo nimechemka.Ndio, nina uhakika na jibu langu.
Wewe leta ushahidi wa kifungu cha katiba, Sheria au uamuzi wa kisa ambao unampa hiyari rais kuamua kufika au kutofika mahakamani kama shahidi.
Hakuwa Rais wakati huyo. Alishastaafu.Mkapa alishaenda kumtetea Mahalu
Hata mm nilisikia kwa Wanasheria kuwa Raisi ana hiyari ya kwenda au kutokwenda kama shahidi Mahakamani. Na Mahakama haiwezi kumshurutisha/kumlazimisha kama akisema hataki kuwa shahidi.Kwenye kuleta vifungu vya katiba kama biblia ndo nimechemka.
Leta wewe kifungu kinachosema ni lazima Rais kwenda.
Upo sahihiHata mm nilisikia kwa Wanasheria kuwa Raisi ana hiyari ya kwenda au kutokwenda kama shahidi Mahakamani. Na Mahakama haowezi kushurutisha kama akisema hataki kuwa shahidi.
Walitoa maelezo yoyote zaidi ya ufafanuzi kuhusu kifungu chochote cha Katiba, Sheria au ruling ya mahakama kusapoti maelezo yao ?Hata mm nilisikia kwa Wanasheria kuwa Raisi ana hiyari ya kwenda au kutokwenda kama shahidi Mahakamani. Na Mahakama haiwezi kumshurutisha/kumlazimisha kama akisema hataki kuwa shahidi.
Umewekewa sheria pale juu unataka nini tena?Alikuwa amestaafu tayari,
Je ingewezekana kwenda akiwa madarakani ?
Kwa ushahidi huu uliouweka hapa je yeye akigoma kwenda mahakamani kwa sababu anayo kinga kisheria atalazimishwa na mahakama?
Lissu anataka kupin down mpaka kwa muhusikaTatizo Lissu anataka kukwamisha hii kesi, sijui anapenda jela?
Hii kesi ya kubambika kwanini anataka kui complicate Hadi isisikilizike?
Sasa mtuhumiwa akisema ushahidi wake wa utetezi hauwezi kukamilika bila rais kuwepo kesi itaamuliwaje ?Mimi sio mwanasheria ila kwa mtazamo wangu kwakuwa Raisi anakinga ya kutokushtakiwa hvyo ata asipoenda sioni chochote atakachofanywa hvyo ni vile vile naungana na maoni ya wanaosema kwenda ni hiyar yake
kama kuna kitu nakipenda kutoka kwako ni unavyojibu hoja kiakili sana ndugu yangu. Yaani unaweka mihemko kando na unaeleza jambo kiufupi na inaeleweka. Big up sana kiongozi. Tukipata watu kama wewe wanne watano tutaenda mbali sana.Rais ana kinga kisheria! Mahakama itapeleka ombi kwa Rais ya kua shahidi.
Rais atachagua kwenda au kukausha, ni hiyari kuhudhuria na sio lazima.
Umeelewa ulichokiandika?Tatizo Lissu anataka kukwamisha hii kesi, sijui anapenda jela?
Hii kesi ya kubambika kwanini anataka kui complicate Hadi isisikilizike?
Kumbe na kwenye siasa umo ewe mfilisti? 😂Rais ana kinga kisheria! Mahakama itapeleka ombi kwa Rais ya kua shahidi.
Rais atachagua kwenda au kukausha, ni hiyari kuhudhuria na sio lazima.
yaan wewe mtu wewe! Hiyo mahakama ya wapi nduguMAHAKAMANI PART II
LISSU: Ni kweli kwamba wewe una elimu ya usekretari?
BI MDASHI: Lissu naomba unikome, nina mshono.
Raisi anapewa wito na mahakamaRais anakutanishwa vipi na muhaini?yaani huo ni mpango wa kutaka kumalizia nia ovi ya uhaini
Chuo mwaka wa kwanza hujasoma somo la law?Kumbe na kwenye siasa umo ewe mfilisti? 😂
AtakamatwaKwa ushahidi huu uliouweka hapa je yeye akigoma kwenda mahakamani kwa sababu anayo kinga kisheria atalazimishwa na mahakama?