Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.

Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.

Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.

Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
 
Dah mwaka unaenda kuisha lakini naona hili tukio kama limetokea jana.Mbaya zaidi hakuna kiongozi ambaye kajitokeza kutoa hata pole ya kinafiki.Kweli bongo viongozi wetu wana roho za wanyama
 
"on paper" uchunguzi unaendelea
 
Huyu ni moja ya

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma

Balile ni moja Kati ya waandishi waovu, wasio na utu, Chawa grade one, wauaji na Shetani asiyejitambua. Binadamu anayethamini vitu kuliko utu wa Mtu ni Mnyama tu kama hayawani wengine.
 
kuonesha kuna juhudi zimefanyika
Kupoteza tu muda na pesa za walipa kodi.Unachunguza kwamba kuna raia bongo wanamiliki siraha kinyume na taratibu au? Wenye siraha nje na majeshi wote si wamesajiliwa na vifo vilitokana na siraha za moto.Lakini ni sawa tu hakuna atakaye ishi milele wote tutakufa na wao pia wasilisahau hili
 
Niliona ile documentary yake kafanya na mnaijeria mmoja hivi. Jamaa anapinga kabisa kuwa hakuna watu wengi waliouwawa tarehe 29 eti kisa hakuona msiba mtaani kwake.

Tokea pale nikajua huyu jamaa ni katili sana na ameuza utu wake kulinda masahi yake. Sielewi kivipi bado yupo ofisini, kama ameshaamua kuwa CCM basi astaafu uandishi akagombee ubunge.
 
Kupoteza tu muda na pesa za walipa kodi.Unachunguza kwamba kuna raia bongo wanamiliki siraha kinyume na taratibu au? Wenye siraha nje na majeshi wote si wamesajiliwa na vifo vilitokana na siraha za moto.Lakini ni sawa tu hakuna atakaye ishi milele wote tutakufa na wao pia wasilisahau hili
naunga mkono
 
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.

Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.

Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.

Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
Katika binadamu ambayo hukumu alilobebeshwa lilimpwaya,ama alipwayushwa ni huyu mwamba,hivyo ni Bora aifiche hii aibu kuliko kijana kutupayukia humu,iwapo press kadi imetekwa kama sharti la yeye kuwa huru pia ni kheri anasema kuliko kuendelea kutukaripia,🤭
 
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.

Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.

Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.

Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
ok. :1Head:
 
ITV siku hiyo wanaripoti watu wameandamana Ila ndani ya habari hiyo hiyo ndani ya sekunde 10 hapo hapo wanasema watu walijitokeza kupiga kura.

Yani kichwa cha habari ni watu kuandamana ila video imeonyesha watu wakiandamana kwa sekunde kumi ila dkk zngn zote n watu kupiga kura 🙌
 
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.

Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.

Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.

Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
Hivi viandishi vya kalamu ya mama ni vijitu vijinga. Balile alikuwa kwenye timu ya kikosi kazi kuunda ile tume uchwara ya uchaguzi. Msiwaendekeze hao takataka
 
"on paper" uchunguzi unaendelea

Kwamba hadi leo hao wanaojiita wana "intelijensia" ya kuzuia mikutano na maandamano kabla hayajafanyika wakidai kuna viashiria vya uvunjifu wa amani hadi leo hawajui chanzo na sababu za yale maandamano????

They must be joking.
 
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.

Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.

Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.

Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
Hii siku staki hata kuikumbuka Kuna mtu alipotea hii siku na mbaka Leo hajulikani kama amekufa, ameshazikwa, au yupo wapi.
 
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.

Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.

Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.

Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.

Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
Jana Balile alionekana mjinga sana kwenye mdahalo.Aliongea upumbavu mtupu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Dah mwaka unaenda kuisha lakini naona hili tukio kama limetokea jana.Mbaya zaidi hakuna kiongozi ambaye kajitokeza kutoa hata pole ya kinafiki.Kweli bongo viongozi wetu wana roho za wanyama
Kwamba uamue kutoka unakotoka ufanye fujo uchome moto vituo vya kupigia kura na majengo ya serkali kisha utegemee kusaidiwa

USSR
 
Back
Top Bottom