residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Pole sana.Hii siku staki hata kuikumbuka Kuna mtu alipotea hii siku na mbaka Leo hajulikani kama amekufa, ameshazikwa, au yupo wapi.
Pole sana.Hii siku staki hata kuikumbuka Kuna mtu alipotea hii siku na mbaka Leo hajulikani kama amekufa, ameshazikwa, au yupo wapi.
Jamaa amegeuka 'Pro-government' kwenye Kila kitu.Niliona ile documentary yake kafanya na mnaijeria mmoja hivi. Jamaa anapinga kabisa kuwa hakuna watu wengi waliouwawa tarehe 29 eti kisa hakuona msiba mtaani kwake.
Tokea pale nikajua huyu jamaa ni katili sana na ameuza utu wake kulinda masahi yake. Sielewi kivipi bado yupo ofisini, kama ameshaamua kuwa CCM basi astaafu uandishi akagombee ubunge.
watu wavute subiraKwamba hadi leo hao wanaojiita wana "intelijensia" ya kuzuia mikutano na maandamano kabla hayajafanyika wakidai kuna viashiria vya uvunjifu wa amani hadi leo hawajui chanzo na sababu za yale maandamano????
They must be joking.
Mkuu Anaitwa Balile na Bakile. Mwanzo nilidhani ni spelling error, lakini naona imejirudia hadi mwisho! Unakwama wapi?Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise
Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.
Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.
Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.
Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.
Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
Wauwaji walidhania watu watasahau muda wa miezi michache.Dah mwaka unaenda kuisha lakini naona hili tukio kama limetokea jana.Mbaya zaidi hakuna kiongozi ambaye kajitokeza kutoa hata pole ya kinafiki.Kweli bongo viongozi wetu wana roho za wanyama
watu wavute subira
tume muhusika mkubwa hasa ni anayeoneshwa ni "wadau wa maendeleo" au kwa jina lingine "mabeberu"Hakuna haja ya subira, kwa mtu aliyekua "keen"kufuatilia mijadala mwaka jana katika mitandao ya kijamii aliona hatari ya mambo yale ni basi tu hao policcm walizoea kuishi katika kitabu cha zamani mara waingie barabarani kutishia watu wakijidai wanafanya mazoezi na mabunduki wakiamini hawatoandamana.
Ukweli ni kwamba mtu yoyote aliyekua makini dalili zilikua zinajionyesha , baada ya mwaka mmoja hatuna sababu za kusema tunasubiri tena kujua chanzo au waliofanya maandamano yale ni watu gani huu utakua zaidi ya utani hata hizo tume zinafuja pesa tu za walipa kodi , wahusika wanajua chanzo na watu gani walifanya maandamano.
tume muhusika mkubwa hasa ni anayeoneshwa ni "wadau wa maendeleo" au kwa jina lingine "mabeberu"
wangefunika chapchap tuanze mambo ya katiba tu mkuu
Mkuu ukisha anza kuona mtu ameanza kuwa na kichwa cha mviringo basi jua huyo si mwenzenu tena ni kupe na ashaanza kulamba asali, we angalia wale ambao hapo mwanzo walikuwa na vichwa vya kawaida tu lakini ghafla wameanza kuumuka na kuwa vichwa vya duara.Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise
Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine.
Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala barabarani tu.
Anajibu alishindwa kuandika kama waliuawa na walio waua ni polisi au la maana siku hiyo na yeye aliingia akiwa chini ulinzi mkali wa polisi.
Upo ushahidi, ulio wazi jukwa la wahariri lilikuwa miongoni mwao watu walio chochea mauaji maana wao kabla ya uchaguzi walipewa fungu ambalo liliwataka wazunguke nchi nzima kuwaaminisha yakuwa uchaguzi utakuwa huru na haki kwa hiyo wajitokeze.
Wapo watu walijitokeza na kuishia kuuliwa je tume ya haki lita inaawaachaje wakina Bakile na wenzake waliopitishwa umma?
Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise

wanaotaka katiba kwa kuanamana waandamane tu, wanaotaka kwa njia zingine nao watafuteWanajidanganya sana huyo anayeitwa beberu hana uhusika kwenye yale maandanano na kama angekua nayo wala yasingepoa siku zile zile yale yalikua maandamano organic kabisa.
Katiba mpya itapatikana tena kwa mtindo ule ule kama wa October 29, kuna upande mmoja unayo maumivu na mwingine unafurahi heshima huwa inakuja pande zote zikishakua na majeraha sasa wanakaa kujadiliana mfano mzuri ni Kenya 2007 December hadi February 2008 ilitosha kuwaweka mezani wakaachana na katiba ya 1963.
CCM hawawezi kukubali katiba mpya chini ya wanachokiita amani hata Tibaijuka kada wao alishasema hilo wanajifahamu , wanakifahamu chama chao kwamba wanachokiongea wala si cha kweli kuhusu katiba mpya wananchi ndio watalazimisha ipatikane ila sio CCM.
*****
wanaotaka katiba kwa kuanamana waandamane tu, wanaotaka kwa njia zingine nao watafute